Kama kuna kitu wenzio hawajali ni hiki cha kuuza ardhi. Kwa taarifa tu ni kwamba waziri Mkuu Pinda alipoenda Korea kuwaalika waje kuwekeza aliwaahidi hekta 100,000. wale jamaa wamekuja ndio wameanzia hapo Bonde la Rufiji wanaendelea kule Kilombero. wameingia ubia na RUBADA ambao hata hawana hatimiliki ya hayo maeneo kwa kuanzia na hekta 10,000. This was widely reported in the media since last year.
Kuna wadatch wanajiita BIOSHAPE walipewa msitu wa karibu hekta 200,000 kule Mavuji KIlwa, wakafyeka msitu kuuza magogo pale Ngaramtoni Arusha wakafungasha virago zao hakuna cha Jatropha wala nini kuna vibarua wanalinda magofu ya karakana pale Mavuji
Kampuni jingine la Sweden linaitwa SEKAB lilitaka hekta 500,000 Rufiji wakaishia kupata 50,000 kwa kuwahadaa wanavijiji kwa pilau na nyama na nyingine 25,000 kule Bagamoyo karibu na Ranchi ya Zanzibar na Bagamoyo (RAZABA) nao wakazuga na kilimo cha Miwa sasa wameuza kila kitu kwa kampuni ya ECOENEJIA wako karibu na hoteli ya Sea cliff pale.
Kwa kifupi makampuni kibao tu yanajimegea ardhi kadri watakavyo huku TIC wakiendelea kuwakuwadia na Wizara ya ardhi wakiwa wamelala fofofo. Kue Mufindi, Kilolo na Kiulombero kuna kampuni zimegeuza vijiji vya Mapanda, Idete, Chogo na Uchindile kuwa Misitu hadi kukosekana kwa ardhi ya kilimo ni mahekta kwa mahekta. Hao wanajiita New Forest and wengine Green Resources co. Hii kitu muda si mrefu italeta tifu nchini hapa. Basi angalau tuchangamke na sie kupata japo viwanja tusije kosa hata pa kuweka mguu kesho tu.
Najua wavivu na wazee wa cheap politics hawatasoma haya wanapenda vya udaku tu. lets wake up men!!!!!!!!!