Public Debate on Land Grabbing in Tanzania

Public Debate on Land Grabbing in Tanzania

That is what happens when a country is led by corrupt people. Every deal is done with their stomachs in mind.
 
i dont mind kama wanauza kwa ocal ivestora.... kibaya ni kuuzia wageni
 
I have read the whole document and I understand that the ruling party once again is going to do what it does best.. giving urithi wa watoto wetu kwa wageni katika jina la uwekezaji! Jamano mbona huko Marekani kuna maeneo mengi tu ya kilimo cha kisasa cha GM kwanini wasilime huko? Kwanini wasije na kilimo cha organic food kwa njia za kisasa zaidi?
 
Mwanakijiji acha huko kwa akina Pinda, bonde lote la Rufiji sasa lipo sokoni wanavijiji wanaambiwa wasubirie modals watakaoathirika watalipwa fidia...sasa sijui kama hiyo fidia itakuwa endelevu au ndio yale yale kutuletea mambo ya India....
 
MTM si ndio akina Idd Simba local investors wana team up na foreign investors...hyo ndiyo unayopenda kama modal? kwanini wasiwashirikishe wanakijiji ikawa joint venture kati ya kijiji au vijiji kwa mfano na huyo investor....umesoma lakini hayo ma tax holiday wanayoomba na incentives nyingine kibao..kilichoniacha hoi ati ma meneja watatoka South Africa...
 
Ahsante kwa thread.

Mimi naona maswala ya investments yasiachiwe serikali ifanye kisiri siri.

Kwanza kwa sababu yanatugusa na kutuadhiri moja kwa moja wananchi kwa kuporwa rasilimali muhimu tulizopewa kwa utanzania wetu.

Pili serikali imedhihirika kuwa haina dhamira, uwezo wa maamuzi na inafanya hila kuwakomoa wananchi wake ama kwa makusudi au kwa kutokujua.

Kwa sasa nipo nje ya nchi; lakini hili suala limefika hatua ambayo hata baadhi yetu tumeombwa (kwa kulipwa) tuprovide taaluma zetu ili lifanikishwe. Nadhani consultants wanajikusanya kwenda TIC kunegotiate baadhi ya mambo mwezi ujao (Julai).

Mimi naomba wakereketwa tupige kelele tu ili wananchi wawe na taarifa
 
[h=1]Meet The Millionaires And Billionaires Suddenly Buying Tons Of Land In Africa[/h] 1/13
[h=2]Bruce Rastetter and his various companies are accused of breaking promises to hire locals[/h]
bruce-rastetter-and-his-various-companies-are-accused-of-breaking-promises-to-hire-locals.jpg

Bruce Rastetter

Who's buying: Bruce Rastetter (CEO of Pharos Ag, co-founder of AgriSol Energy, CEO of Summit Farms, and a donor to the Iowa State University), the Iowa-based Summit Group and Global Agriculture Fund of the Pharos Financial Group, in partnership with AgriSol Energy LLC and the College of Agriculture and Life Sciences at Iowa State University, and Serengeti Advisers Limited, a Tanzanian investment and consulting firm led by Iddi Simba (non-executive director and the former Tanzanian Trade and Industry minister) and Bertram Eyakuze (partner and co-founder)
The land they're buying: Three “abandoned refugee camps”– Lugufu in Kigoma province (25,000 ha), Katumba (80,317 ha), and Mishamo (219,800 ha), both in Rukwa province in Tanzania.
The future development: Large-scale crop cultivation, beef, and poultry production, and biofuel production. The Tanzanian government is expected to approve the title of occupancy within 3 months, which will result in the evacuation of the current inhabitants: refugees. Also, the Tanzanian government is expected to create a regulatory framework for the use of genetically modified crops.
The scandal: Some refugees apparently received citizenship in 2010, but were told that their certificates were being withheld until they re-located to other areas of Tanzania. AgriSol claims that it's looking to hire local farm project managers to work on the project, however AgriSol told the Oakland Institute that they were bringing in white South African farm managers.
Source: Oakland Institute (PDF)



Read more: Meet The Millionaires And Billionaires Suddenly Buying Tons Of Land In Africa


Meet The Millionaires And Billionaires Suddenly Buying Tons Of Land In Africa

Inauma kuona Majangili hawa tunaowaita Viongozi kuiuza nchi kama wanuza Karanga kwa Wageni
 
Hii ISHU. Tusikilize vuguvugu la wakaazi. na hio ardhi wamenunua freehold? Napenda uwekezaji lakini sheria zifuatwe na kuwe na uwazi.
 
Huku Tunakokwenda sasa na vizazi vijavyo hawatalitambua hili kuuza ardhi, ipo siku Tanzania atatokea rais kama MUGABE na kuchukua ardhi yote inayomilikiwa na Wageni na kuwarudishia wenyewe Watanzania wanonyanyaswa na utawala huu wa Kifisadi unaongozwa na fisadi papa Kikwete
 
mi sioni tatizo kama hiyo ardhi ilikuwa makambi ya wakimbizi na yako njiani kufungwa
 
Mtoto wa mkulima pia ana share kwa wazungu hao maana anahangaika kweli kuwapatia eneo hilo ambalo sasa liko Inyonga ktk wilaya mpya ya mkoa mpya wa Katavi...Magamba mtatumaliza.
 
Ni upole wenu wabongo ndio mnaokula sasa na baaaaado mbona mmeingia kwenye soko huria juzi tu hata miaka 15 bado! Watu bado hawaijui Tanzania ukiwa huko nje ya nchi ukiwaambia watu umetoka tanzania wanakuambia ni wapi huko, unawaambia East Africa, wanasema in Kenya, halafu na wewe unasema south of kenya, ndio wanaanza kupata picha. Sasa wakijua vizuri kuna nini tanzania si ndio watainunua yote pamoja na raia wake!!! Wake up watanzania!!!!
 
Kumbukeni kuwa Rukwa ndiko kuliko Deposite kubwa sana ya Madini ya nchni hii ambayo hayaja anza kuchimbwa.

Wakatoliki waliiba sana madini kupitia huko, samahani sana ndugu zangu wakatoliki hii hai husiani na dini bali inahusiana na tuliyofanyiwa na Mamluki na Majasusi yaliyokuja kama Ma-padre; Roma imevuna sana madini yetu hata pale Nyamongo Tarime, maana kipindi hicho yalikuwa ni ya kuchimba kwa mikono, jaama wakijifanya kujenga majengo underground milimani hatari sana, kweli kama ni kuibiwa tumeibiwa sana.
 
mi sioni tatizo kama hiyo ardhi ilikuwa makambi ya wakimbizi na yako njiani kufungwa

Tatizo siyo hilo eneo walilo nunuwa tatizo ni kutuabarisha nini malengo yao kununua ardhi hiyo? na hata kuweka wazi mikataba na kuridhisha Umma juu ya malengo safi waliyo nayo!

Siyo kesho usikie kuwa walinunu ardhi na chini ya ardhi kuna madini fulani kwahiyo ni mali yao kulingana na mkataba walio nao.
 
Hii ISHU. Tusikilize vuguvugu la wakaazi. na hio ardhi wamenunua freehold? Napenda uwekezaji lakini sheria zifuatwe na kuwe na uwazi.

Maskini Pinda....kwao kunauzwa wakati yeye ni PM
 
Kahama tumepoteza kwa wachimba dhahabu, Selous tumepoteza kwa ajili ya uranium, Ifakara na Rufiji tumeuza kwa walima jathropa ( whatever) sasa rukwa na mpanda kwa hao wazungu. Loliondo ndo kapewa mfalme wa Qatar, Wakorea nao wananyemelea maeneo. Tunakwenda wapi? Tunafanya nini? Kwa nini?

Walahi hii inchi inauzwa hivi hivi kidogo kidogo wajukuu watabaki na nini jamani?


Watanzania tunafaidika nini, kizazi kijacho kitafaidika nini?

Duh, hivi viongozi wetu wana uchungu na nchi hii kweli au ni usingizi na udenda tu.
 
mi sioni tatizo kama hiyo ardhi ilikuwa makambi ya wakimbizi na yako njiani kufungwa
Tatizo ni kwamba hao wakimbizi wameishi huko wengine kwa zaidi ya miaka 30. Wamejenga huko, sasa wanakuwa blackmailed kuwa lazima wahame kama wanataka kupewa hati zao za uraia. Kwa nini tusiwafikirie hao kwanza? Halafu lini tulibadilisha sheria zetu za ardhi kuruhusu wageni wanunue?
 
Back
Top Bottom