mpe dudu atulie. STDs bado zipo lakini.
He he hhe he, makubwa. Nyie wanamme wa kisasa mna mambo. Tutafika tu lakini.
Dawa yake ni nini?
Hawa vijana sijui hata wakoje...enzi zetu mwanamume hali vibudu aisee....
Lazima uchinje mwenyewe na kufurahia jitihada zako!!