Usiku
Senior Member
- Aug 30, 2013
- 174
- 47
According Code of Ethics and Conduct for the Public Service in Tanzania;Wapendwa wana JF mwenzenu nimekwepa majaribu mara kadhaa kutoka kwa secretary wangu hua ananitega mara kwa mara, majuzi nilikuwa Iringa safari ya kikazi akanipigia simu saa tano za usiku baada ya kunisalimia akaniuliza vipi habari za Iringa?
Nilimjibu huku salama ila baridi ni kali sana ndipo alipo niambia kwanini hukuniambia tusafiri wote? nilibaki kimya huku nikisubiri aniambie tatizo la kunipigia simu usiku ule , akaishia kusema haya nilitaka kukusalimia tu ila usikose kuniletea zawadi.
Nilipo rudi akawa ananiangalia kwa macho ya kulembua kila anapo ingia ofisini. Kuna siku nimempa kazi ya kuchapa barua alipo maliza akaniletea laptop ili nii proof read ile barua akasimama nyuma ya kiti changu na kunigusisha nyonyo zake kwenye bega la kulia ,nilijikausha kama sioni kitu pamoja na kuwa mwili wangu ulipatwa na mfadhaiko.
Ilipo fika muda wa chai nilipo maliza kunywa chai nikanawa mikono akanifuta mikono kwa kutumia kitaulo kidogo wakati sio utaratibu ulio zoeleka.
Jana wakati ninatoka ofisini akasimama mlangoni kama vile anataka kunizuia nisitoke ,mimi nikasimama kusubiri anipishe akaniangalia usoni kwa sekunde kadhaa na baadaye akatoa bonge la tabasamu, nikaendelea kumuangalia akakimbia huku anacheka. jamani hii kama si mitego ni nini?
Dawa yake ni nini?
6. A Public Servant shall refrain from having sexual relationships at the workplace. Likewise he/she will avoid all types of conduct which may constitute sexual harassment which include:-
i) Pressure for sexual activity or sexual favors with a fellow employee;
ii) Rape, sexual battery and molestation or any sexual assault;
iii) Intentional physical conduct which is sexual in nature such as unwelcome touching, pinching, patting, grabbing and or brushing against another employee's body, hair or clothes;
iv) Sexual innuendoes, gestures, noises, jokes, comments or remarks to another person about one's sexuality or body;
v) Offering or receiving preferential treatment, promises or rewards and offering or submitting to sexual favours