hiyo siyo dawa, wengi wanatumia hiyo kitu. Usikute nae(ps) ni muumini wa hiyo kitu halafu jamaa akapata mtihani zaidDawa ake muombe 0653..naamin atakimbia na ataandika barua ya kuomba likizo
hahaha ngoja aje kuvuna mabua
Kama kufungua thread Jf ndio hatua pekee uliyochukua basi thread itakayofata itakuwa "PS ana mimba yangu"
Mi nikiona tu jina lako kabaaaaang!!!!!
Sijui nachizika yaani!!!!
Hawa yuu!!!!
Wewe lazima :busu, najua huna ujanja kwani paw mwenyewe siku hizi nasikia kakushiti amehamia nyumba ndogo! Utajipa matumaini kwamba atarudi lkn hatarudi hizo mali kakuachia lkn dushe ndiyo hutapata! Njoo kwangu upate ulichokimisi uone nilivyo kidume kwani haitachukua muda mrefu :mimba:kitu ambacho paw alikuwa ameshindwa!
hehehe, utajijuaaaa maneno hayo hata kwenye shuka za muhimbili yapoo.
mimba tena? hapa nilipo nna mitoto mizuriii kama baba yao, 5 kids the african way, unipe mimba ingine nipeleke wapi?
tena paw nikimuona anakula ugali wa mhogo nampokonya manake hapa tu namshindwa. kwenda kujipooza kwa small house mara moja moja nimemruhusu manake najua ananizidi pumzi.
upo eeh? hehehe, nshakuambia utasubiri mnoooo!:croc:
peaneni.....
Wewe ndio unamtega. Weka sura ya kazi uone kama ataendelea kujishaua. Unawekewa manyonyo hapo una 'jikausha'? Ngoja atakulowesha afu ujikaushe upya!
Wewe ndio unamtega. Weka sura ya kazi uone kama ataendelea kujishaua. Unawekewa manyonyo hapo una 'jikausha'? Ngoja atakulowesha afu ujikaushe upya!