Naona ndio umeamkahiyo haijalishi we ni kobazi au muebrania, jamii nzima imekumbwa na hofu hiyo na wanavaa wote, sio waebrania hata kobazi wanavaa
Ngoja tutafute mchongo mwngnDahh nimeumia sana..
Bichwa lako🤣Nilifundwa milimani mama, huoni unavyoenjoy saivi!!
DuuuuhHalf american umeadimika kumbe ulikwenda kupunguza dipresheni mfundoni.
Anyway sijawahi kumuamini huyu kama prophet au kiongozi wa dini.Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!
7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima
8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Mbona nyie humu huwa mnatuanzishia nyuzi kukicha? Acha wakajadili jinsi ya kuhandle wake zao bwanaa🤣
Kuna Mama mmoja amemjibu vizuri sana kwamba haya yote anayasema ni hisia zake na mkewe siyo uhalisia wa maisha ya wanaume na wanawake wengine wanaojitambua na kuyatambua maandiko3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
Huyu jamaa hata mimi niliishamshtukia,hakuna ukristo wowote anaoufundisha,nikikuta clip zake namchukuliaga kama content creator au mchekeshaji tuNaona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!
7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima
8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
Kuna huyu wa kujiita nabii shilla yupo wapi kwa sasa hawa jamaa wana ujinga sana.Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo
Yaani wakristo manyumbu nao wanamwita huyu bwana prophet na kumpelekea sadaka
1. Kujipa cheo cha Mwenyekiti wa wanaume, Tanzania
Hivi kuhani au nabii utajipa cheo cha hivi
2. Kupotosha uhalisia katika ndoa.
Kwamba ndoa ni ngono, kumhonga mke wa ndani
Hivi mtumishi wa Mungu utatoa mafundisho ya kipumbavu kama hayo
3. Vikao vya wanaume
Sisi wanaume hatunaga vikao vya Siri
Mwanaume anazaliwa mwanaume na anauishi uaname.
Hayo mambo ya kitchen party ni mambo ya kike
4. Sijawahi kumwona akihubiri wongofu yeye ni ngono sijui kupiga show na mafanikio
5 kuibua uchawa na kusifia sisiem ya mafisadi na wauaji
6. Hivi kweli mwanaume rijali unashona sare unaenda kufundishwa jinsi ya kuishi na mkeo?
Yaani mwanaume unaenda kuambiwa mara ooh usikubali kulala ukutani, mara piga shoo, mara mwanamke asikytawale.
Yaani ungese!
7. Nani alimwambia huyu anayejiita nabii kuwa katika ndoa Kuna ushindani na kuwa mwanaume anatafuta ushindi.
Ndoa ni jambo la asili ni bond ya upendo wala sio ubabe, kufoka, kuwa mkali hakukufanyi mwanaume uwe na heshima
8 nilimsikia mahala akihamasisha talaka katika ukristo 😂
Huyu bwana anatokea upande wa kobazi na yupo kunajisi ukristo na kuleta ukristo wa tik tok
View attachment 3566884
nilikuwa kanisani wiki kuu kabla ya kifo cha mkombozi wetu Yesu Kristo. Prophet wa mchongo huyoHalf american umeadimika kumbe ulikwenda kupunguza dipresheni mfundoni.
Nchi ya Tanzania sasa hivi ni tatizo la mass ignorance. Hili tatizo halijajengwa siku moja. Lilianza kwa kuharibu elimu yetu na watu wakaanza kumaliza shule bila kuelimika. Era ya social media na urahisi wa kuanzisha vyombo vya habari na kuzisambaza ukafanya ujinga usambae na kuambukizwa kwa kasi. Ndiyo maana siku hizi, watu wenye hoja za maana hawana ufuasi bali watu wenye hoja za kitapeli.Una hoja
Wakristo tumekuwa Walpole mno hadi wameingia wavamizi kuharibu
Yesu akisema Yale niliyoyasikia nakuyaona kwa Baba yangu yote nimewapeni kwahiyo Kila mtumishi anatoa Yale alio yaona nakupewa kwa Baba yake kwa hiyo kama humuelewi unapaswa kuacha tu kumfuata kwa sababu Ktk ulimwemgu Huu Kuna wababa wengi wengi ila Baba wa wote wenye mwili ni Mmoja naye ni Mimi Niko ambaye Niko.Naona ukimya wetu wakristo wameingia virus na kuharibu taswira ya ukristo