DoohWengi bado mmelala hamjui kuna biashara isyohitaji mtaji wa fedha na haina kodi huku faida lukuki.
Switii hujaenda kuombewa?Wajinga ndo wanaoliwa

Funguka zaidi mkuuMtoto wa baba na mama Polisi huyo na Baba yake alifariki kitambo sana wakati dogo bado kinda sana
Ukweli mtotomtamuDooh
Wahuni wapo everywhere, kwenye siasa, dini na kwingineko; bora huyu hata mavazi yake tu yanamtambulisha kama ni muhuni na Biblia imetwambi, "...kwa matunda/matendo yao mtawatambua" so kwa mwonekano wake tu huyu dogo wa Singida nje ya utumishi wake tu inaonesha ni msaka pesa; well, hebu pitia hapa pia uone jinsi wahhuni walivyo wengi Bukoba: Mahakama yamhukumu miaka 60 jela Ustadh Amoud kwa ubakaji na kulawiti mtoto aliyekuwa akimfundisha elimu ya diniWakristo hivi mbona mko hivi mara mnanyweshwa Ditto, kuvuliwa chupi, kuunguzwa Moto (Kibwetere), wengine wanaahidi kufufua lkn wapi hafufuki wanapiga mipesa yao hao manabii na wachungaji wanaishi maisha ya kifahari waumini mateso kila uchao.
Shule mlienda kufanya nini maana tumebakia kuvaa TAI na SUTI tu licha ya kuwa na elimu..... Tizinduke bado hatujachelewa!!!!
Umasikini ni ufala wakoWakristo hivi mbona mko hivi mara mnanyweshwa Ditto, kuvuliwa chupi, kuunguzwa Moto (Kibwetere), wengine wanaahidi kufufua lkn wapi hafufuki wanapiga mipesa yao hao manabii na wachungaji wanaishi maisha ya kifahari waumini mateso kila uchao.
Shule mlienda kufanya nini maana tumebakia kuvaa TAI na SUTI tu licha ya kuwa na elimu..... Tizinduke bado hatujachelewa!!!!
Maradhi yako yanaitwa stereo type. Jitahidi kusimamia u-GTWakristo hivi mbona mko hivi mara mnanyweshwa Ditto, kuvuliwa chupi, kuunguzwa Moto (Kibwetere), wengine wanaahidi kufufua lkn wapi hafufuki wanapiga mipesa yao hao manabii na wachungaji wanaishi maisha ya kifahari waumini mateso kila uchao.
Shule mlienda kufanya nini maana tumebakia kuvaa TAI na SUTI tu licha ya kuwa na elimu..... Tizinduke bado hatujachelewa!!!!
GeorDavie je,hujui naye katokea Singida?Mtu wa kwanza toka singida tapeli
Basi shetani akamwambia tena Kristo... Nisujudie nami nitakupa milki yote chini ya dunia...Katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kumekuwa na kijana mdogo anayejiita nabii shillah, na amekuwa akitangaza kanisa lake mara kwa mara huku akijinasibu hadi kuwapa hela waumini kila jumapili,
Lakini kwa lifestyle ya huyu kijana nimwkuwa na mashaka mara kwa mara kama kweli anapaswa kujiita nabii au anacheza na Dini za watu
View attachment 789480View attachment 789481View attachment 789482
Mdogo mdogo naanza kumuunga mkono kagame kuwabana hawa watu, wanaoleta usanii na imani za watu