Kama wewe ni mpagani kaa na upagani wako. Au kama kwenye dini yako hamtoi sadaka sawa. Ila sisi Kanisani tunatoa sadaka.sadaka wajinga ndio waliwao.
Ndio yale yale ya Tapeli BushiriHuyu kijana anajishughulisha na kilimo. Na anazo mashine za kusaga nafaka kama mahindi na ku pack kwenye Mifuko. Hivyo utajiri wake hautokani na sadaka, kwa kuwa hata huduma kaanza sio siku nyingi. NA HII TABIA YA KUONA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE NA HALI NZURI NI UTAPELI MMEITOA WAPI? AU MNATAKA WAWE MASKINI NDIO WATAONEKANA KUWA WATUMISHI WA MUNGU? KAMA DINI ZENU ZINAWAFUNDISHA HIVYO TAFADHALI MTUACHIE WACHUNGAJI NA WATUMISHI WETU.
Huyo mnyoa kiduku ni mtumishi wa Mungu?Huyu kijana anajishughulisha na kilimo. Na anazo mashine za kusaga nafaka kama mahindi na ku pack kwenye Mifuko. Hivyo utajiri wake hautokani na sadaka, kwa kuwa hata huduma kaanza sio siku nyingi. NA HII TABIA YA KUONA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE NA HALI NZURI NI UTAPELI MMEITOA WAPI? AU MNATAKA WAWE MASKINI NDIO WATAONEKANA KUWA WATUMISHI WA MUNGU? KAMA DINI ZENU ZINAWAFUNDISHA HIVYO TAFADHALI MTUACHIE WACHUNGAJI NA WATUMISHI WETU.
Kuna pesa inatakatishwa hapo maana sidhani km kamaliza shule .Pesa katoa wapi
Mkuu tupe habari kamiliHatimaye kafungiwa
Wajinga ndio waliwaoHuyu kijana aliweka kambi Geza kigamboni akawa anatoa mahubiri yake pale. Juzi kati kasepa kabisa maeneo na inasemekana amekula mshiko mrefu wa waumini wake. Ni kijana muhuni tu anashibia matatizo ya watu.