Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

Nilisikiliza historia yake kwenye kituo fulani cha redio. Anadai aliwahi kumfufua mwanafunzi mwenzake alikuwa amekufa. Aliulizwa kuhusu maisha yake jinsi yasivyoendana na cheo alichojipa akabaki anawaya waya tu, biashara zake ni madini.
Kiufupi ni mpiga pesa tu kama wapiga pesa wengine. Anawaokota mang'ombe ng'ombe anawapiga pesa tu. Siku za mwisho hizi tutashuhudia mengi.
YAJAYO YANASIKITISHA NA KUTISHA
Yanafurahisha kama uchaguz wa 2020
 
Wakristo hivi mbona mko hivi mara mnanyweshwa Ditto, kuvuliwa chupi, kuunguzwa Moto (Kibwetere), wengine wanaahidi kufufua lkn wapi hafufuki wanapiga mipesa yao hao manabii na wachungaji wanaishi maisha ya kifahari waumini mateso kila uchao.
Shule mlienda kufanya nini maana tumebakia kuvaa TAI na SUTI tu licha ya kuwa na elimu..... Tizinduke bado hatujachelewa!!!!
 
Subiri povu.
 
Xhoga, mhuni, na tapeli, na kichaka chake cha kanisa kimeshafungiwa na serikali.
 
Duniani hakuna viumbe wajinga kama Waafrica...naanza kuelewa kwanini Kanye West alisema "enslavement of Africans was just a choice"
 
Wakristo hivi mbona mko hivi mara mnanyweshwa Ditto, kuvuliwa chupi, kuunguzwa Moto (Kibwetere), wengine wanaahidi kufufua lkn wapi hafufuki wanapiga mipesa yao hao manabii na wachungaji wanaishi maisha ya kifahari waumini mateso kila uchao.
Shule mlienda kufanya nini maana tumebakia kuvaa TAI na SUTI tu licha ya kuwa na elimu..... Tizinduke bado hatujachelewa!!!!
kaka hujui hili si tatizo la wakristo ni letu sote, unasahamu manabii wanaojiita ustadhi na inamaana hujui ni waislam wangapi wameingia huko? HILI LA WOTE MKUU
 
Back
Top Bottom