Kanali G
JF-Expert Member
- Oct 21, 2013
- 9,897
- 14,435
Sio Mjasiliamali, ni Mjasiliatumbo
Mjasiriamali
Mjasiriamali
😁😁Sio Mjasiliamali, ni Mjasiliatumbo

KwaniniHayo yote ni ubatili mtupu
Na mama Yake sijui ndio hao wanaitwa Assistant superintendent, nyota 3 begani , ma RPC ni either ACP au SACPHahahah utakuja kufungwa wewe, babaake yupo na ni RPC Musoma
Hahahahahahah halafu unategemea dogo awe kifala fala😂 maisha ya Tanzania ni cheo na pesa tu!Na mama Yake sijui ndio hao wanaitwa Assistant superintendent, nyota 3 begani , ma RPC ni either ACP au SACP
Wakati baba anaukaribia u IGP mama anaukaribia u ACP
Kijana ni tapeli sana...ila ana akili nyingi za kuzaliwa na anaweza kuyasoma mawazo ya mlengwa akajua jinsi ya kukudanganyaDuh! Hapo ulipoingiza Forex ndo tumepishana, kwingine nakuunga mkono