Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

Huyu dogo akili yake anaijua mwenyewe, kuna siku tulisafiri pomaja anakera sana...kwenye lounge kila mtu alikereka, hatulii ana mikelele balaa, ole wako uanze kumsikiliza..hutapumua

Sent using Jamii Forums mobile app
Hutaki kuhubiriwa na kupewa mamilion wewe? Si kuna kipindi alikuwa anagawa cashmoney?😃
 
Uyu jamaa nilisoma nae pale St Matthew vikindu 2014-2016 form five Hadi form 6 yeye alikua CBG!! Harakati zake!! Kwanza uyu bwana tulikua tunalala nae chumba kimoja alivyokuja 2014 alikua muhuni muuni tuu full mademu kuchekesha!singeli kwa Sanaa ila matokeo yakija ya mtihani hayakua masuri Sanaa nakumbuka mama yake alikua analia Kila siku mwanae anafeli !! ila daaah uyu bwana kwao wanapesaa alikua anakula vitu vya maana pocket money si chini ya laki 3..ugali maharage alikua agusii kabisaa!! Kipindi iko alikua anaitwa KONTINYO!!!..onga Sana mademu Yani daaa!!! Sasa mwaka 2016 wakati tumefunga shule tumefungua uyu jamaa akaja na power yakutosha Yan daaa alikua akikufata akutabirie Yani alikua hakoseiii mule mule Yani alitabiri madem ukoo wao familia yao Hadi walimu!!! Basi daaa jamaa akawa femasi sanaaa!! Isitoshe jamaa anajua kifaransa Basi daaa akimix na mahubirii Basi looh lazima ufurahii aisee!!! Mzaha mzaha wadau wake tukamwambia fungua darasa lako uwe unafundisha dini muda wa kipindi Cha dini ukifika..Basi daaa tukawa na kidarasa chetu Cha dini Kila ijumaa hahah Basi wanafunzi woteee wakawa wanaingiaa watu Waka jaaa ndio hapo ufemasi ukaanza ila akiwa anakutabiria mwisho anakwambia utoe pesaa ambayo ukitoa itakuuma usipo toa basii matatizo yatakujia hahaha Basi daaa ndio ukawa mchezo wake hapo akapiga Sana pocket mane za watoto wa shule ukizingatia anachokutabiria Ni kweli hahahaha!!!End matokeo yake hayakua mazuri ya form 6 hapo ndipo akaendelea na fani yake uko mitaani!!! Mpaka sahiz tupo nae kwenye grupu la shule..akiwepo Alikili aliejitoa kwenye kundi la KING MUSIC!!!!kiufupi uyo jamaaa kwao wanapesaa ibada Hadi kwa TB Joshua alikua anakwenda..

Babake rpc musoma
 
Huyu kijana anajishughulisha na kilimo. Na anazo mashine za kusaga nafaka kama mahindi na ku pack kwenye Mifuko. Hivyo utajiri wake hautokani na sadaka, kwa kuwa hata huduma kaanza sio siku nyingi. NA HII TABIA YA KUONA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE NA HALI NZURI NI UTAPELI MMEITOA WAPI? AU MNATAKA WAWE MASKINI NDIO WATAONEKANA KUWA WATUMISHI WA MUNGU? KAMA DINI ZENU ZINAWAFUNDISHA HIVYO TAFADHALI MTUACHIE WACHUNGAJI NA WATUMISHI WETU.
Kwa kuongezea tu baba yake mzazi ni RPC kwa sasa. Swala la kuuliza kwanini dogo amenyanyuka fasta sio la kuuliza.
 
Back
Top Bottom