AggerFirminho
JF-Expert Member
- Sep 17, 2019
- 2,319
- 4,140
Ni msanii km wasanii wengine
Nimecheka kinoma 🤣🤣🤣Haya madhehebu na wachungaji wake ni shida sana. Ni aibu k2a wakristo.
View attachment 789698
View attachment 789699
View attachment 789700 ass grabing!!
View attachment 789701
Praying for pussy and boobs!!
Hivi "mchungaji" kama huyu akimwambia mkeo/ mpenzi wako AKAMUINGIZIE UKENI DAWA YA WOKOVU KUPITIA UUME WAKE, SIDHANI KAMA ATAKATAA.
Nawadharau sana walokole.
Hahaha huyu ni event coordinator na ndiyo anakopatia hela labdaHaya sasa kazi imeanzaaView attachment 1110647
Backstage ni kitu gani mkuu?Tuache utani, akina shilla wengi ni wazuri wa backstage.
manyanga.Backstage ni kitu gani mkuu?
Mkuu...hizo hela za kununulia mashine za kukoboa kusaga na ku pack amezikopa benki na kuweka dhamana cheti chake cha form six sio? Au ameweka dhamana biblia...tusaidie banaHuyu kijana anajishughulisha na kilimo. Na anazo mashine za kusaga nafaka kama mahindi na ku pack kwenye Mifuko. Hivyo utajiri wake hautokani na sadaka, kwa kuwa hata huduma kaanza sio siku nyingi. NA HII TABIA YA KUONA MTUMISHI WA MUNGU ALIYE NA HALI NZURI NI UTAPELI MMEITOA WAPI? AU MNATAKA WAWE MASKINI NDIO WATAONEKANA KUWA WATUMISHI WA MUNGU? KAMA DINI ZENU ZINAWAFUNDISHA HIVYO TAFADHALI MTUACHIE WACHUNGAJI NA WATUMISHI WETU.
Ni kweli,alisoma Lord Barden na baadaye St. MathewsAchaaa utani
Jamaa kacuanganya mambo a Mzee Ni rpc Musoma,kamanda Shilla sema hakumtunza.Hahahah utakuja kufungwa wewe, babaake yupo na ni RPC Musoma
Ni mnyiramba huyoGeorDavie je,hujui naye katokea Singida?
Hayo yote ni ubatili mtupuUyu jamaa nilisoma nae pale St Matthew vikindu 2014-2016 form five Hadi form 6 yeye alikua CBG!! Harakati zake!! Kwanza uyu bwana tulikua tunalala nae chumba kimoja alivyokuja 2014 alikua muhuni muuni tuu full mademu kuchekesha!singeli kwa Sanaa ila matokeo yakija ya mtihani hayakua masuri Sanaa nakumbuka mama yake alikua analia Kila siku mwanae anafeli !! ila daaah uyu bwana kwao wanapesaa alikua anakula vitu vya maana pocket money si chini ya laki 3..ugali maharage alikua agusii kabisaa!! Kipindi iko alikua anaitwa KONTINYO!!!..onga Sana mademu Yani daaa!!! Sasa mwaka 2016 wakati tumefunga shule tumefungua uyu jamaa akaja na power yakutosha Yan daaa alikua akikufata akutabirie Yani alikua hakoseiii mule mule Yani alitabiri madem ukoo wao familia yao Hadi walimu!!! Basi daaa jamaa akawa femasi sanaaa!! Isitoshe jamaa anajua kifaransa Basi daaa akimix na mahubirii Basi looh lazima ufurahii aisee!!! Mzaha mzaha wadau wake tukamwambia fungua darasa lako uwe unafundisha dini muda wa kipindi Cha dini ukifika..Basi daaa tukawa na kidarasa chetu Cha dini Kila ijumaa hahah Basi wanafunzi woteee wakawa wanaingiaa watu Waka jaaa ndio hapo ufemasi ukaanza ila akiwa anakutabiria mwisho anakwambia utoe pesaa ambayo ukitoa itakuuma usipo toa basii matatizo yatakujia hahaha Basi daaa ndio ukawa mchezo wake hapo akapiga Sana pocket mane za watoto wa shule ukizingatia anachokutabiria Ni kweli hahahaha!!!End matokeo yake hayakua mazuri ya form 6 hapo ndipo akaendelea na fani yake uko mitaani!!! Mpaka sahiz tupo nae kwenye grupu la shule..akiwepo Alikili aliejitoa kwenye kundi la KING MUSIC!!!!kiufupi uyo jamaaa kwao wanapesaa ibada Hadi kwa TB Joshua alikua anakwenda..
Sent using Jamii Forums mobile app
Leo kaweka video Instagram anagawa hela kanisa nzima,watu wanamsujudia miguuni halafu anawapa hela,aisee umaskini kitu kibaya sana.