Wakati huo Baba yake alikuwa Steshen sajini S/Sgt wa Polisi na Mama yake alikuwa Konstebo wa Polisi PCFunguka zaidi mkuu
true namba yake hii 0768858585 nakumbuka Mwaka Jana uncle wangu alikuwa anasoma INDIA ALISEMA MUNGU AMEMUONYESHA ATOE SADAKA KWENYE MINISTRY YA HUYO DOGO NILITUMA MPESA 300K NAHIS UTAJIR ANAUPATIA HUKU..ILA HUYU ANKO ANASEMA DOGO SHILAH NI NABII ILA MCHANGA SANA KIROHO NIKAMUULIZA WHY AKASEMA HAJAFIKIA VIWANGO VYA JUU

Nimecheeeeka Mbele za watu haha haha ujinga Upi mkuu kupewa sadaka Nitoe 300,000 au aliyenipa nitoe hiyo sadaka??Acha huo ujinga mzee..
Hiyo avatar mkuu?Afu naskiaaa wanamshikisha ni kweli?ukuta
kutapeli ni kipaji, huyu hana kipaji hicho. ajifunze kwa ndugu yetu Rakims atampa mchongo mzimaHaya sasa kazi imeanzaaView attachment 1110647
Na hizi tetesi za kuwa ni kazee ka backstage ni kweli
Kanisa lake ndio linaitwaje? Maana hizi dini hata sijui zinapataga vipi waumini...
Nasikia ana uwezo wa kufufua wafuHaya sasa kazi imeanzaaView attachment 1110647