Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

Prophet Daniel Daniel Shillah ni nani hasa...?

Katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kumekuwa na kijana mdogo anayejiita nabii shillah, na amekuwa akitangaza kanisa lake mara kwa mara huku akijinasibu hadi kuwapa hela waumini kila jumapili,

Lakini kwa lifestyle ya huyu kijana nimwkuwa na mashaka mara kwa mara kama kweli anapaswa kujiita nabii au anacheza na Dini za watu
View attachment 789480View attachment 789481View attachment 789482

Mdogo mdogo naanza kumuunga mkono kagame kuwabana hawa watu, wanaoleta usanii na imani za watu
Huyu dogo alikua anasoma o-levelLord baden power memorial ipo Bagamoyo ni ya Kipingu ,saiv nae kawa nabii aise
 
Nilisikiliza historia yake kwenye kituo fulani cha redio. Anadai aliwahi kumfufua mwanafunzi mwenzake alikuwa amekufa. Aliulizwa kuhusu maisha yake jinsi yasivyoendana na cheo alichojipa akabaki anawaya waya tu, biashara zake ni madini.
Kiufupi ni mpiga pesa tu kama wapiga pesa wengine. Anawaokota mang'ombe ng'ombe anawapiga pesa tu. Siku za mwisho hizi tutashuhudia mengi.
YAJAYO YANASIKITISHA NA KUTISHA
 
Katika mitandao ya kijamii hasa mtandao wa Instagram kumekuwa na kijana mdogo anayejiita nabii shillah, na amekuwa akitangaza kanisa lake mara kwa mara huku akijinasibu hadi kuwapa hela waumini kila jumapili,

Lakini kwa lifestyle ya huyu kijana nimwkuwa na mashaka mara kwa mara kama kweli anapaswa kujiita nabii au anacheza na Dini za watu
View attachment 789480View attachment 789481View attachment 789482

Mdogo mdogo naanza kumuunga mkono kagame kuwabana hawa watu, wanaoleta usanii na imani za watu
Unataka Nabii awe Na mapembe?
Daudi alipakwa mafuta akiwa na miaka 17, Jeremiah alifanywa kuwa nabii akiwa na 20 yrs
 
Huyu kijana aliweka kambi Geza kigamboni akawa anatoa mahubiri yake pale. Juzi kati kasepa kabisa maeneo na inasemekana amekula mshiko mrefu wa waumini wake. Ni kijana muhuni tu anashibia matatizo ya watu.
Hearsays ni mbaya sana, mimi sio muumini wake, Ila najua alitangaza kwenye mitandao kuwa anahamia viwanja vya Sabasaba? Na hao waliopigwa hela wamepigwaje?
 
Back
Top Bottom