Propaganda ya mauaji imefanikiwa... CHADEMA fanyeni hiki!

Wananchi hasa wale ambao hawana Muda wa kusoma Magazeti wala Kuangalia TV( kutokana na Ugumu wa Maisha) wanalaumu CDM!!Kuwa chama cha MAUAJI na VURUGU!!

Ushauri wangu sasa ili kuwaweka wananchi sawa,

1)Kuna Picha ile ambayo MWANGOSI anaonekana akilipuliwa Laivu,Isambazwe bure mpaka vijijini tena sana...Hii itasaidia kufuta tongotongo na Kuchafua chama.

Nakubaliana nawe kabisa kuwa ni watu wachache saana wanaojua undani wa mauaji haya. Nami nimefanya kazi hii kwa watu wapatao 40 katika taasisi 2 za elimu na kuona tatizo hili. Wakiona picha hata wabishi wanageuka na kulaumu polisi. Lakini kazi hii haiwezi kufanywa na chama bali mtu mmoja mmoja.
 
Kinyume chake pia ni kweli, ccm hili litawacost sana, kwa sababu ya baadhi ya mambumbu waliofunga ndoa na ccm pamoja na walewanao tafuta vyeo, ambao wanazani wao ndo wanahaki kuliko mtu yeyote ndani ya Tanzania. Hivi ni nani asiyejua uozo wa ccm au habari za mauaji ya mwangosi ndo zinazowafikia hawa wanavijiji? Kama wameweza kujua mauji ya polisi kwenye mikutano ya cdm basi watajua tu kuwa siyo cdm. Hizi nyingine ni propaganda tu. Tunahitaji watu majasiri na wenye uthubutu na uwezo, siyo akina bendera fata upepo. Wape muda tu hao, watakutana na kimbunga.

Hakuna sababu ya kugombana na huyu jamaa. Jaribu kuzungumza na watu mbali mbali kuhusu mauaji haya. Kama haelewi mpe maelezo kwa ushahidi wa picha. Kupinga tu bila kufanya utafiti haitusaidii sisi CDM.
 
Mwananchi yupi wa leo asiyejua hii kitu wewe mtu! hata kama hasomi magazeti wala hatizami tii vii, ataipata story kwenye kijiwe,shambani,kazini,bar,msibani,harusini,hotelini kwenye daladala,ataambiwa na mwanae,babake.mamake,mjombake,shangazie,kaka au dadake!!!!! burazaa huu ni mtiti cos raia wa leo wa nchi hii ni wapya kabisaaa wale wa zamani wamekufa wote!

Ane wai ushauri wako umezingatiwa.

Anachosema huyu Jamaa ni kweli. Chukua laptop yako au picha za mauaji zungumza na watu 10. Wale ambao si memba wa jamii forum wengi tu hawajui ukatili huu ulivyofanywa!.. Naomba uitendee kazi sentensi yako ya mwisho utajua ukweli huu!..
 
Naona umechagua njia ya matusi.
Nitakubaliana nawe kwa hoja lakini si matusi.

Akili yako fupi, tena sana. Kinachotusumbua ni kupenda sifa na kukosoa kila kitu.

Hapa hapa JF ambapo tulikuwa wa kwanza kuona picha za tukio na kupata maelezo ya nini kimetokea wapo watu wasio na aibu kusema chanzo ni CDM, unategemea nini kwa watu wa kijijini wasio na access na mitandao achilia mbali hayo magazeti?

Kama akili zako ndio hizi, hao wasiofikiwa na habari je? Juzi hapa tumeona watu wa mjini kabisa ambao matangazo na ya aina zote yanawafikia, lkn still wakagomea sensa kwa kufuata akili za kuambiwa na mtu ambaye yeye mwenyewe keshahesabiwa. Nini cha kushangaza ikiwa wa kijijini ambao hata maana ya sensa hajui akigoma?

Shida yenu wengine umri na kuzaliwa Buguruni mkaishi Buguruni, mlisoma Ilala na sasa mnaishi Keko. Mkiambiwa Kijiji mnatafsiri kwamba Mjini ni Dar es Salaam na Kijijini ni Dodoma mjini. Unaposhuka kwenye basi pale Nyakato pale sio kijijini. Vijiji viko ndani huko km 170 kutoka Nyakato. Mpaka ufike huko unatumia masaa, muuza magazeti anafika huko lini?

Eti mama ntilie wa wapi, sio mama ntilie tu, hata Shigela na familia yake wana mawazo hayo kwa kuwa hawajisumbui kufikiri kama ulivyo wewe. Kwa wewe ni bahati tu umeangukia upande wa pili
 
Kwanza nianze kusema mimi ni NAM person..sifungumani na Upande wowote Hasa katika Maslahi na matakwa ya wananchi,,im free opened MIND! Ndo maana naweza kusema kuwa CCM sasa kuna baadhi ya Mawaziri wanafanya Vizuri mfano,Kagasheki na Mwakyembe!

Si hata vibaya CDM wakawa wanawapongeza Mawaziri wanaofanya Vizuri ili kuonesha Hawako katika kupinga tuuuu,,kwasababu wanachi wengi wanadhani UPINZANI ni Kupinga tu.ili kuonesha They lay at right SIDE!

Juzi nilitoka kupiga soga na 'Waswahili' mtaani,Kutaka kujua lile tukio la R.I.P Mwangosi wananchi wamelipa uzito gani!Nikapita kwa vibanda vya mamantilie hadi kule kwenye GAHAWA!

Wananchi hasa wale ambao hawana Muda wa kusoma Magazeti wala Kuangalia TV( kutokana na Ugumu wa Maisha) wanalaumu CDM!!Kuwa chama cha MAUAJI na VURUGU!!

Ushauri wangu sasa ili kuwaweka wananchi sawa,

1)Kuna Picha ile ambayo MWANGOSI anaonekana akilipuliwa Laivu,Isambazwe bure mpaka vijijini tena sana...Hii itasaidia kufuta tongotongo na Kuchafua chama.

2)Ile VIDEO ya Mauaji isambazwe kwa CD tena bureee,kila mtu ashuhudie yale mauaji!

BAJETI hai haitazidi 10 millioni,bt manufaa yake yataonekana 2015!

CHADEMA mkipuuza hiki kitawa'COST sana!

Mtu kama nna access ya TV na magazeti kama ulivyosema sasa hivo dvd wataingalia saa ngapi na wapi maana tv hawana au wataziweka kwenye vibatari?
 
Mkuu, unawezaje kushauri unyama huu ufanywe na watu makini kama CDM!!!!!?????
I can't believe a great thinker trying to suggest CDM to take advantage of the reporter's death!!! God forbid!

Siamini kwamba mkuu unaitakia mema CDM, japo unajifanya hufungamani na upande wowote.

Hivi marehemu Mwangosi angekuwa ndugu yako, ungeufurahia unyama huu unaoupendekeza wa kusamabaza picha za kutisha kama zile?

Mkuu, kama utafanikiwa kuyasoma haya maoni yangu ninakuomba fikiria japo mara mbili kuhusu ushauri wako kwa CDM.

Naamini kama wewe ungejua ukubwa wa tatizo usingepinga wazo la huyu jamaa. Iwapo katibu mkuu wa CCK, Richard MUABHI na wana CCM wanaendelea kuhutubia mikutanoni kuwa hivi ni vifo vinavyofanywa na CDM kwa nini picha zisioneshwe?. Tukiendelea kuficha ficha unyama huu utaendelea. Jaribu zungumza na watu wachache ambao hawajui unyama huu ulifanyikaje ndipo upinge jambo hili!..
 
sidhani kama Ni kutake advantage,its about kufungua watu kuhusu tukio na mauaji ya makusudi yanayofanywa na polisi nchini! Picha ninayozungumzia ni HII!
 
Attachments

  • img.jpg
    img.jpg
    29.2 KB · Views: 21
Binafsi natoa Ushuhuda Leo tarehe 15/09/2012 nilikuwa nasafiri kutoka Moshi kuja Mwanga. Kwenye kibasi watu wakawa wanajdili kuhusu hali ya Nchi ilivyo. Wanashukuru kama sio CDM tusingejua EPA ni nini!

Kama sio CDM tusingejua misamiati mipya ya Polisi kutuua huku wakisema "Ameuwawa kwa kupigwa na kitu Kizito(BOMU) Ameuwawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali (Risasi - Muuza Magazeti Moro) Wamepigwa na Raia wenye Hasira (Wenje na Machemuli Mwanza) kwa hiyo ndugu yangu mleta thread.

Ukweli we unafungamana na CCmabwepande. Huo ushauri wako upeleke huko huko kwa wanamabwepande wenzako KELB.

Kamanda angalia upande wa pili wa shilingi!.. Anayoyasema huyu jamaa yana mashiko. Ukitoka hapa tafuta watu zungumza nao. Mie uchunguzi huu nimeufanya. Ni muhimu tuamini wananchi wanaelewa kwa kuwapa ukweli halisi na siyo kuchukulia mambo juu juu!.
 
Naamini kama wewe ungejua ukubwa wa tatizo usingepinga wazo la huyu jamaa. Iwapo katibu mkuu wa CCK, Richard MUABHI na wana CCM wanaendelea kuhutubia mikutanoni kuwa hivi ni vifo vinavyofanywa na CDM kwa nini picha zisioneshwe?. Tukiendelea kuficha ficha unyama huu utaendelea. Jaribu zungumza na watu wachache ambao hawajui unyama huu ulifanyikaje ndipo upinge jambo hili!..

Mkuu, pamoja na ukubwa wa tatizo kama unavyosema, ninaamini CDM hawawezi kuingia katika mtego huu wa kutafuta mtaji wa kisiasa kupitia mauaji ya mwanahabari.

CDM tayari ni maarufu sana TZ kwa hoja, na si migongo ya mtaji wa vifo vya raia wema wa TZ.
 
Mtu kama nna access ya TV na magazeti kama ulivyosema sasa hivo dvd wataingalia saa ngapi na wapi maana tv hawana au wataziweka kwenye vibatari?
Jaribu basi kusumbua ubongo japo ufikiri SMALL,i mean picha vijijini na Mijini.. CD popote ambapo mtu atakuwa na Acess ya Kuona
 
Mtu kama nna access ya TV na magazeti kama ulivyosema sasa hivo dvd wataingalia saa ngapi na wapi maana tv hawana au wataziweka kwenye vibatari?

Usiangalie njia moja. Angalia picha na maandishi. Tumia hata laptop yako zungumza na watu waeleze tukio zima jinsin lilivyo.
 
Kweli kabisa,Nilifanya analysis kidogo tu Kigamboni,Temeke,Kimara ambapo kuna jamaa zangu,,,,Unakuta mtu haelewi kabisa kuhsu lile tukio, Sembuse MATOMBO!

Ni kigezo gani kinachokufanya uone mtu wa Matombo ni mgumu wa kuelewa kuliko wa Dar. Mbona mikoa yote ya Tanzania inafanya mageuzi makubwa na kuikataa CCM wakati mabazazi wa Dar bado wameikumbatia CCM. Watu wa mikoani ni waelewa zaidi kuliko waliopo Dar, from practical point of view.
 
Kabla ya kutoa generalized statements kwamba watu wanajua nn kinaendelea ni vema kufanya utafiti wa kina. Bado ninaamini kwamba kuna kundi kubwa bado linahitaji kuelimishwa. Kama mawazo alotoa huyu bwana yanafaa yafanyiwe kazi. Merikani watu wao ni wajuvi wa mambo na wapo exposed sana lakn bado wagombea,Obama na Mitt Romney wanajaribu kuwaelimisha wapiga kura kila cku. Sembuse hawa wabongo?

Mkuu nakubaliana na hoja yako kwamba watanzania wamebadilika na wanajua. Mkazo ninaotia mm ni kuacha no stone unturned.Kuhakikisha kwamba kuwafikia wananchi wengi zaidi hasa wa kule vijini. Wiki3 zilizopita nilikuwa Lindi vijijini, na nikajaribu kudodosa hili na lile. so ninachoongea nina hakika nacho. wiki iliyokwisha nilikuwa Tanga vijijini nimeona na nimesikia.
Well, wapo wanaojua lakn kuna kundi kubwa bado ni ''sitaki-nataka'' , kwa maana ya kwamba wanajua lakn wanasuasua kutoa maamuzi.
 
Umesema huyu jamaa siyo GT!.. Je, umeuruhusu ubongo wako kufikiri kidoogo tu na kutambua kuwa mama Ntilie ni wapiga kura?.. Tafakari!

Unapoamua kujibishana na GT tumia akili na usipende kujipendekeza kuniwekea maneno! Nimesema hizo ni habari za kwa mama Ntilie hazina mahusiano na kupiga kura ebo.
 
Kwanza nianze kusema mimi ni NAM person..sifungumani na Upande wowote Hasa katika Maslahi na matakwa ya wananchi,,im free opened MIND! Ndo maana naweza kusema kuwa CCM sasa kuna baadhi ya Mawaziri wanafanya Vizuri mfano,Kagasheki na Mwakyembe!

Si hata vibaya CDM wakawa wanawapongeza Mawaziri wanaofanya Vizuri ili kuonesha Hawako katika kupinga tuuuu,,kwasababu wanachi wengi wanadhani UPINZANI ni Kupinga tu.ili kuonesha They lay at right SIDE!

Juzi nilitoka kupiga soga na 'Waswahili' mtaani,Kutaka kujua lile tukio la R.I.P Mwangosi wananchi wamelipa uzito gani!Nikapita kwa vibanda vya mamantilie hadi kule kwenye GAHAWA!

Wananchi hasa wale ambao hawana Muda wa kusoma Magazeti wala Kuangalia TV( kutokana na Ugumu wa Maisha) wanalaumu CDM!!Kuwa chama cha MAUAJI na VURUGU!!

Ushauri wangu sasa ili kuwaweka wananchi sawa,

1)Kuna Picha ile ambayo MWANGOSI anaonekana akilipuliwa Laivu,Isambazwe bure mpaka vijijini tena sana...Hii itasaidia kufuta tongotongo na Kuchafua chama.

2)Ile VIDEO ya Mauaji isambazwe kwa CD tena bureee,kila mtu ashuhudie yale mauaji!

BAJETI hai haitazidi 10 millioni,bt manufaa yake yataonekana 2015!

CHADEMA mkipuuza hiki kitawa'COST sana!

Mkuu inategemea pia wewe ulipita kijiwe gani.....isisje ikawa mitaa ya LUMUMBA
 
Ni kigezo gani kinachokufanya uone mtu wa Matombo ni mgumu wa kuelewa kuliko wa Dar. Mbona mikoa yote ya Tanzania inafanya mageuzi makubwa na kuikataa CCM wakati mabazazi wa Dar bado wameikumbatia CCM. Watu wa mikoani ni waelewa zaidi kuliko waliopo Dar, from practical point of view.
kama ni kweli M4C isingeenda vijijini,ingebaki ILALA,KINONDONI na kwingine Mijini....Punguza ushabiki wa Kijinga
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom