Anachozungumza kina mantik. Ukimya wa Chaumma ni stategy mbovu Lakini ukimuondoa Yericko, ni kada gani wa Chaumma anae shambulia Chadema? Na nani alimzuia yeye kuikosoa serikali na kuzungumzia yaliyotokea 29 Oktoba? Labda ataeleza yote atakapotangaza kutoka Chaumma na kuomba apokelewe Chadema.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.