PreGE2025 Project CHAUMA itafeli mapema sana kama ilivyofeli project G55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Mafioso wana kaulimbiu yao inasema usifanye jambo kwa kukurupuka wala kwa shinikizo maana hutafaulu kutokana na makosa mengi ya kiufundi
Katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya kushindikana kuuharibu uchaguzi wa CDM, plan B ikawa ni kulitumia kundi lililoshindwa
Njaa haina baunsa.. Watu wakajaa kwenye mfumo, wakajazwa shekeli na ufadhili wa kuunda G55.. Hili likatikisa kidogo tu kabla ya kukataliwa na hadhira
Halikuwa na maandalizi
Halikuwa na mfumo
Halikuwa na ajenda
Halikuwa na utararibu
Halikuwa na maono
Na mbaya zaidi asilimia 99 ya wajumbe walikuwa wa asili moja

Likabaki kama kundi sogozi la umbea fitina na majungu.. Kwakuwa halikuwa na ajenda wala maandalizi.. Umbea ule na majungu yale yakawarudi na kuanza kushutumiana na kutoaminiana tena..

Kwasasa linapumulia mashine baada ya wengi kujitoa.. Ni kama limesambaratika

Baada ya kugundua hilo kosa kubwa la kiufundi ikaletwa sub project nyingine ya viongozi mbalimbali kujiondoa CDM

Hawa wameahidiwa mengi ikiwemo kupata platform ya kujiweka busy
Project CHAUMA ndio inafuata.. Hapa pamewekezwa pesa nyingi bila mikakati ya kueleweka .. Hapa ndio litakuwa jalala kuu la wale wote kutoka CDM walio na watakaokubali kuchuuzwa kwa bei ya mnada wakiwemo wale mabaki wa G55

Project CHAUMA itafeli pengine hata project G 55 kwakuwa ni wapigaji watakuwa wamekutana na masikini waliojaa majungu fitina na kijicho

Wawakilishi wa wafadhili wanajipigia hapo.. Wawakilishi wa maskini nao wanajipigia hapo hapo! Mwisho kitakachowafikia maskini ni mkia wa mbuzi.. Na vita ya anguko kuu itaanzia hapo🤣
View attachment 3338326
The prayer of the hawk does not get the chicken
 
#UPDATES Aliyewahi kuwa Naibu Katibu Mkuu wa Bara na msemaji wa Chama cha Ukombozi wa Umma (Chaumma) Eugene Kabendera amejiondoa ndani ya Chama hicho, kwa sababu Chaumma hakiendani tena na misingi na maono waliyofanya wakiasisi, Kabendera ametangaza uamuzi huo hii leo tarehe 27 Mei 2025, wakati akizungumza na waandishi wa Habari jijini Dar es Salaam.

Katika taarifa yake Kabendera ambaye anadai yeye mmoja wa waasisi nane wa chama hicho toka Juni 2012, ambao majina yao yapo kwenye Nyaraka za msajili wa vyama vya siasa nchini, na amekuwa mwakilishi wa Chaumma katika vikao vya Baraza la vyama vya siasa, ikiwa ni pamoja na kugombea Ubunge jimbo la Ubungo katika chaguzi za 2015 na 2020. #EastAfrica
FB_IMG_1748605033136.jpg
TV
 
Mafioso wana kaulimbiu yao inasema usifanye jambo kwa kukurupuka wala kwa shinikizo maana hutafaulu kutokana na makosa mengi ya kiufundi
Katika hali ya kuchanganyikiwa baada ya kushindikana kuuharibu uchaguzi wa CDM, plan B ikawa ni kulitumia kundi lililoshindwa
Njaa haina baunsa.. Watu wakajaa kwenye mfumo, wakajazwa shekeli na ufadhili wa kuunda G55.. Hili likatikisa kidogo tu kabla ya kukataliwa na hadhira
Halikuwa na maandalizi
Halikuwa na mfumo
Halikuwa na ajenda
Halikuwa na utararibu
Halikuwa na maono
Na mbaya zaidi asilimia 99 ya wajumbe walikuwa wa asili moja

Likabaki kama kundi sogozi la umbea fitina na majungu.. Kwakuwa halikuwa na ajenda wala maandalizi.. Umbea ule na majungu yale yakawarudi na kuanza kushutumiana na kutoaminiana tena..

Kwasasa linapumulia mashine baada ya wengi kujitoa.. Ni kama limesambaratika

Baada ya kugundua hilo kosa kubwa la kiufundi ikaletwa sub project nyingine ya viongozi mbalimbali kujiondoa CDM

Hawa wameahidiwa mengi ikiwemo kupata platform ya kujiweka busy
Project CHAUMA ndio inafuata.. Hapa pamewekezwa pesa nyingi bila mikakati ya kueleweka .. Hapa ndio litakuwa jalala kuu la wale wote kutoka CDM walio na watakaokubali kuchuuzwa kwa bei ya mnada wakiwemo wale mabaki wa G55

Project CHAUMA itafeli pengine hata project G 55 kwakuwa ni wapigaji watakuwa wamekutana na masikini waliojaa majungu fitina na kijicho

Wawakilishi wa wafadhili wanajipigia hapo.. Wawakilishi wa maskini nao wanajipigia hapo hapo! Mwisho kitakachowafikia maskini ni mkia wa mbuzi.. Na vita ya anguko kuu itaanzia hapo🤣
View attachment 3338326
Inaitwa projekt mkurupuko
 
Salum mwl. Amekuwa akizurula zurula huko mitaani kwa madai eti anatafuta wadhamini, bahati mbaya kwake amekuwa akipata matokeo hafifu sn hasa ya watu wa kumsindikiza hali inayomfanya akate tamaa mapema.

Kibaya zaidi ni kitendo cha mpango wake wa kando ester matiko kung'ang'ania ubunge kwa tiketi ya ccm nayo inawapa watu mashaka kama jamaa kweli yupo serious na anachokifanya.

Kiukweli cha ubwabwa wame buma
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom