PreGE2025 Project CHAUMA itafeli mapema sana kama ilivyofeli project G55

PreGE2025 Project CHAUMA itafeli mapema sana kama ilivyofeli project G55

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)
Wamemaliza kwa aibu. Walidhani CHADEMA utapotea ila wamepotea wenyewe haijulikani wapo wapi.
 
Watu wasiojulikana wanadaiwa kuvamia nyumbani kwa mgombea Ubunge Jimbo la Moshi Vijijini Michael Kilawila kupitia chama cha Ukombozi wa CHAUMA kuharibu gari la mke wake kwa kupasua kioo cha nyuma.
NA BADO
FB_IMG_1756645754399.jpg
 
Hivi wakuu huu sio muendelezo wa mpango wa ushindi wa kishindo kweli?

Napata mashaka sana na hii mienendo
 
Usipate shaka .

Unapata vipi shaka mtu anaposhindana na kivuli chake ?

Watu sio wajinga , wapo bado wanaitakia nchi mema huo upuuzi hauna muda mrefu utaisha.
napopata shida hawahawa baadae watakuja sema tuwasamehe,

Mfumo ni kama haukwepeki
 
napopata shida hawahawa baadae watakuja sema tuwasamehe,

Mfumo ni kama haukwepeki
Haki itashinda walio upande wa haki ni wengi kuliko wanaofurahia udhalimu huu kwa maslahi ya matumbo yao na si nchi.
 
  • Thanks
Reactions: Lax
Nimemsikia hapa huyo mgombea kivuli wa chama cha ubwabwa Salum Mwalimu ananadi eti mgombea mwenzie ana sketi nzuri hivi hawa watu walifikiria nini kukubali kuwa toilet paper za CCM?
 
Nimemsikia hapa huyo mgombea kivuli wa chama cha ubwabwa Salum Mwalimu ananadi eti mgombea mwenzie ana sketi nzuri hivi hawa watu walifikiria nini kukubali kuwa toilet paper za CCM?
Muda mwingi atapiga t-shirt na jeans 😁
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom