Program Note: OZ - Afya ya Lowassa kwa Sasa Siyo Hoja? Will blow your mind...

Program Note: OZ - Afya ya Lowassa kwa Sasa Siyo Hoja? Will blow your mind...

Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

CCM walianza kumpiga vita Lowassa tangu alipokuwa ndani ya CCM na baadaye alipojiunga na CHADEMA ili kuwa mgombea wa UKAWA kwa kutumia sababu ya Ufisadi.

Lakini karata hii ikajibiwa kiufundi na Lowassa mara baada ya kutoka CCM na hivyo kuwafanya wananchi waone kwamba anaonewa bure kwani kama ni kweli basi kwa nini Serikali ya CCM isimpeleke mahakamani ili ajibu tuhuma za kuiba mabilioni ya pesa za kodi za wananchi?

Wakabakiza karata tatu - Ugonjwa, matusi na Ukanda.

Karata ya ugonjwa ni moja ya karata ya kijinga kabisa ambayo CCM imewahi kuitumia na hasa ukichukulia kwamba karata hii imepewa kipaumbele mara baada ya kugundua kwamba karata yao ya Ufisadi imebuma. Karata hii walitaka kuitumia wana CCM ndani ya chama chao wakati Kikwete akiwania kuwa Mgombea Urais kwa kumtuhumu Kikwete kuwa mgonjwa na ikashindikana hivyo ni ajabu sana kuona kwamba CCM chini ya uongozi wa Kikwete bado inataka kuitumia karata ileile iliyoshindwa!!!

Kwa kutumia karata hii, CCM imemtuhumu Lowassa kuwa ni mgonjwa na kumtungia magonjwa mbalimbali. Vilevile mgombea wa CCM amekuwa akija na komedi mbalimbali kama kuruka kutoka kwenye gari, kupiga push ups, kutumia ishara ya mabadiliko ya UKAWA kwa kuzungusha mikono yake mara nyingi kwa mbele (Kwa maana ya UKAWA, unapozungusha mikono yako kwa mbele una maana unakubali kwamba Lowassa ni mabadiliko na unapozungusha kwa nyuma unakubali kwamba mabadiliko ni Lowassa!!!), n.k.

Lakini juhudi zote hizi za kumfanya Lowassa aonekane mgonjwa na hivyo hafai kuwa Rais zimegonga mwamba kwani zimeongeza hasira tu kwa wananchi hasa baada ya CCM kushindwa kutetea hoja yao ya kumtuhumu Lowassa na ufisadi kwa kumburuta mahakamani kama yeye mwenyewe alivyowaambia. Matokeo yake Magufuli na wapambe wake wanaonekana kituko wanapojaribu kujionyesha kwamba wao wana afya nzuri zaidi ya Lowassa kwani wananchi hawaangalii nguvu ya mwili bali akili ya kichwani ya mtu wanapofanya maamuzi ya kumteua mtu kwenye ofisi nyeti kama ya Rais kwani Ikulu sio mahali pa kwenda kubeba zege au kupigana ngumi. Hivyo karata hii nayo imeshindwa.

Karata ya matusi tena ya nguoni wanayomtukana Lowassa nayo imesaidia tu kuongeza hasira za wananchi na kuwadharau CCM kama genge la wahuni na hivyo kuwafanya hata wazee ambao kawaida huwa wanaiunga mkono CCM kuichukia baada ya kugundua kwamba kuiunga mkono CCM ni kuwaunga mkono wahuni wanaoongozwa na kinara wao Mgombea Urais Magufuli ambao hawana hay ahata kidogo kutukana matusi makubwa makubwa mbele ya watoto wao tena kwenye vioo vya jamii kupitia televisions, radio, n.k.

Karata ya mwisho ya Ukanda kwa kuwatuhumu CHADEMA kwamba ni watu wa Kaskazini hatimaye imegonga mwamba vibaya mno kule Mwanza wakati Wasukuma walivyojitokeza kwa wingi kwa mafuriko yaliyovunja rekodi ya mafuriko ya uchaguzi mkoani mwanza pale wenyeji wa Mwanza walipojitokeza kwenye mkutano wa UKAWA uliohitimishwa na Lowassa. Mwanza ni eneo ambalo kuna Wasukuma wengi ambao ndio kabila la Magufuli lakini Wasukuma wameonyesha kwamba hawaangalii ukabila katika kuamua mstakabali wa maisha yao na vizazi vijavyo bali wanaangali sera na uwezo wa mgombea katika kuwaletea maendeleo.

CCM wameshindwa kuelewa kwamba karata ya Ukanda kwa CHADEMA sasa hivi haina nguvu tena kwani CHADEMA haigombei uchaguzi huu kama CHADEMA bali kama UKAWA hivyo kuwaunganisha watanzania wa dini na makabila yote wanaotaka katiba mpya bila kujali makabila yao au dini zao. Vilevile wameshindwa kuelewa kwamba athari za umasikini walizoziacha kwenye jamii kwa wizi wao wa mali ya umma kumewaathiri Watanzania mno kiasi kwamba ajenda yao kuu ni mabadiliko nje ya mfumo uliowafanya wawe maskini kiasi hiki na sio ukabila wala udini.

Hivyo karata zote wanazotumia dhidi ya Lowassa zimegonga ukuta na zinazidisha tu hasira ya wanachi dhidi ya CCM na kuongeza umaarufu wa Lowassa ndio maana idadi ya mashabiki wa Lowassa inazidi kuongezeka kadri siku ya kupiga kura inavyokaribia. Hii inathibitisha usemi kwamba siku ya kifo cha nyani basi miti yote huteleza.

Hivyo CCM wajiandae kuwa chama cha upinzani bungeni kwani wimbi la Watanzania kuhitaji mabadiliko nje ya CCM ni kubwa mno ambalo hawawezi kulizuia hata kama wakiamua kumwaga damu za Watanzania ili wabakie madarakani kwa mtutu wa bunduki.
 
Mungu atujua sote tuingiapo na tutokapo! Mkuu MM hujawahi kuuguliwa kufiwa au kuugua? Mwogope Mungu wako please! Mshukuru Mungu kwa kukupa afya njema! Try to cut your tongue short ugonjwa si dhihaka iwe ni ccm au upinzani. At the end of the day sisi sote ni ndugu mbona hivi lakini??!!
 
mnaoneneka kama vichaa. sijui hata kama mnajua mnachofanya. mimi ningedhani ungetuambia jinsi lowasa atakavyoshidwa kuleta maendeleo. elimu. afya nk. lakini kuongelea afya ya mtu wakati hata wewe unaweza kuumwa au kupata hata stroke wakati wowote ni upumbavu ujinga na kuonesha jinsi watanzania tulivyo na akili finyu.
 
Mwanakijiji tuache mkuu tuamue wenyewe tupo kwenye uwanja wa mapambano mbona wewe ulikimbia unaishi na Obama hata hujui shida zetu bwana

Hakika Mzeemwanakijiji anawapa homa, mkiona post zake tu mnaweweseka na kupanic! Maneno yake mwiba kwenye makalio yenu. Mkimuona mnatetemeka kama mgombea wenu, mnajinyea nyea hovyo. Mwanakijiji, endelea kuwashika pabaya. #HapaKaziTu
 
Wewe huna jipya mkuu. Ni wivu tu unaokusumbua wewe na Dr Mihogo wako. Kwani mgombea wa Urais ni Lowassa tu peke yake? Hao wengine mbona huwasemi? Halafu kwani ni lazima wewe kuandika kuhusu CHADEMA? Aibu kubwa sana! Lione hili

Atu usema amebakiza siku chache za kuishi.....amesha kuwa chaguo letu....wewe chaguo lako si Dr Slaa na mkewe....nenda kawapigie kura.

huu ni mfano kwa huyo jamaa mwana kijiji Mungu ndio ajuae natumaini kesho tutapata msiba labda mtoto wa mwanakijiji.pole ndungu kwa Elimu yako natumaini huyo Gamba kakusikia.

swissme

Tatizo la MMM anadhan hatuna akili na hatujui tunachofanya. Bali yeye na Dk Slaa pekee ndio wenye akili hivyo wanapaswa kutuelimisha. MM jua kwamba we know what we are doing. Go to hell with your Slaa!

Hakuna mtu undecided humu... una anya anya

Naona baada ya kutumia mbinu zote na hakuna matunda, sasa umeamua kuvaa viatu vya Nape, Lusinde na Msukuma kujaribu kuona kama itawapa matokeo chanya! Hakika nimeamini njaa mbaya sana. Pole sana MMM, kwani credibility yako ilishapotea mbele za wengi tu hasa ulipofika bei wewe na ndugu Slaa. Anyway, NIKUPONGEZE TU KWA KUJIVIKA UUNGU na sasa unataka kufanya afya ya Mh. Lowassa kuwa ajenda kama vile uhai wetu unaamua wewe. Pole zako ndugu yangu. Pamoja na yote utakayosema, kuna NENO moja tu lililowazi machoni mwa wapiga kura walio wengi (zaidi ya 50%) ni kwamba, kuja Oktoba 25, Mh. Lowassa atakuwa Rais wa Tanzania.

Anapoteza muda wake.....

Mwanakijiji tuache mkuu tuamue wenyewe tupo kwenye uwanja wa mapambano mbona wewe ulikimbia unaishi na Obama hata hujui shida zetu bwana

mh i think your JF account has been hacked! kila ukija na mada unasema tutashtuka,ila unaandika mambo yakawaida tu ambayo tunayajua siku zote! embu jipange vema "great thinker"

Hata useme ana hiv na cd4 zimebaki 2. Tutamchagua tu, ni lipi hatujasikia?

yani siamini wewe uliekuwa unaandika mada kwa mpangilio mzuri wa hoja umeishia kuandika udaku,kweli huu upepo ni mkali sasa ndo naanza kuona nyeti za kuku

Imagine mwanaume kujibaraguza, dah! Aibu.
Ritz njoo huku kumekucha Marekani.

Mzee Mwanakijiji..
It is very unfortunate that many of us dont know that your ego doesn't match your malicious intent. Your flimsy, naive allegations towards EL wont rationalize our firm stance, coming Oct 25th.
Watch out...

Mwaka huu lazima uugue kichaa. unaumiza sana kichwa chako kumfuatilia Lowasa.

Mkuu, ni wazi ka-mradi kako kame-buma; pumzika tuu mkuu; dili lako na Dr. limegeuka dilisha; unaheshimiwa sana, at the same time unadharauliwa sana.

Me nilishazinduka kwenye Bunge la katiba, Escrow na Muswada wa gesi bungeni..

Na maamuz nilishayafanya kutoka hapo, sasa mbona huwezi kunibadilisha!
Naona unapoteza muda tu.

Unapoteza muda wako kaka..... Wananchi hawakuambilika kuhusu Lowassa, leo hii kwa hizi siku 10 zilizobaki unafikiri unaweza kubadilisha watu... Your just wasting ur time....

Hakika Mzeemwanakijiji anawapa homa, mkiona post zake tu mnaweweseka na kupanic! Maneno yake mwiba kwenye makalio yenu. Mkimuona mnatetemeka kama mgombea wenu, mnajinyea nyea hovyo. Mwanakijiji, endelea kuwashika pabaya. #HapaKaziTu
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

naskia kuna mgombea ana confirmed case ya bipolar...
 
Hakika Mzeemwanakijiji anawapa homa, mkiona post zake tu mnaweweseka na kupanic! Maneno yake mwiba kwenye makalio yenu. Mkimuona mnatetemeka kama mgombea wenu, mnajinyea nyea hovyo. Mwanakijiji, endelea kuwashika pabaya. #HapaKaziTu

Hakuna cha kuwapa watu homa. Kama ni homa labda anakupa wewe. Upuuzi wowote lazima tuujibu, hatuwezi kuacha kujibu. Ndio maana hata wewe ukiandika upuuzi kama wako huu tunakujibu. Humu JF watu wengi wana akili zao na misimamo yao kabisa, na wala sio watu wa kuyumba kama unavyofikiria. Kwa hiyo, mijadala iliyomo humu ni ya misimamo tayari, kuna pande zinazokinzana na kupingana. Km wewe hivyo uko na Mwanakijiji, wengine hatuko naye
 
Lakini wewe Mzee Mwanakijiji wewe hujawahi kuumwa tangu kuzaliwa kwako?? Au familia yako haijawahi kupata hata na ugonjwa wowote?? Mimi hapa ni muathirika wa UKIMWI nimeamua kuweka wazi na ninakerekwa sana na tabia zenu hizi za kunyanyapaa wagonjwa…Kana kwamba ninyi CCM hamuumwi?? Mbona Kikwete alikuja huko kwenu USA kutibiwa na hatukumnyanyapaa!!!Mbona kila wakati Mungu anawapiga viboko huko India?? Maiti ngapi za wana CCM zimerudishwa huku kutoka India???
Hivi wale akina mama na wagonjwa wote wa pale Muhimbili, Mwananyamala ni UKAWA….
Yaani nimebaki kutoa machozi kwa hiyo tabia yenu ya kunyanyapaa wagonjwa!!! Sisi huku ktk dini zetu tunaamini kuwa uzima unatolewa na Mungu na maradhi vilevile Mungu anayatoa!!!Niambie ni nani anataka kuumwa???Umshukuru Mungu uko hai mpaka sasa hivi lakini hujui Mungu anaweza akachukua pumzi yake mda wowote….
Wenzako walimnyanyapaa huyo Lowassa na hatunao tena hapa!!!
Siasa gani hii mliobaki nayo ninyi CCM?Mbona mlikuwa na miaka mingi ya kujitangaza!!! Hoja ya ugonjwa haina nguvu mwanakijiji…unajipunguzia heshima mkuu…Bado tunakuheshimu sana mwanakijiji hapa JF

Jamaa nilikuwa na mheshimu sana japo hanijui ila nilikuwa na muunga sana katika hoja zake.
 
mtu mweye kuheshimika kama wewe kuanza kushabikia hoja za ugonjwa ni kuishiwa kabisa.
 
Lowassa hafai kuwa Rais wa Tanzania achilia mbali udhoofu wake kiafya na kifikra.
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

Mzee Kingunge kaisha ondoka na password za ccm mliobaki mnajitekenya halafu mnacheka wenyewe, ila kwa huu USANII mnawaburudisha tu wananchi maana walishafanya maamuzi tayari FISIEM out.
 
Hakika Mzeemwanakijiji anawapa homa, mkiona post zake tu mnaweweseka na kupanic! Maneno yake mwiba kwenye makalio yenu. Mkimuona mnatetemeka kama mgombea wenu, mnajinyea nyea hovyo. Mwanakijiji, endelea kuwashika pabaya. #HapaKaziTu

Hivi kwani yeye ni nani hasa? nae ni walewale kula kulala wa masaki au kwa vile yupo kwa Obama ndio anaonekana mungu mtu kwenu? Mwambie kama uanasheria umegoma arudi tu nyumbani kupiga porojo za wana Lumumba.
 
Kuna watu vichwa vigumu sana. Hivi wanaoitetea CCM wanakumbuka kwamba miaka 38 ya utawala wake bado. Maji shida, umeme shida, madawa hospitali hakuna, rushwa kila kona. Bado wanaiona ni ya jana jana, mbaya zaidi ni pale wanaposema ccm ni ile ile i thought kwa kusema hivyo mtakumbuka kuwa umeme tu umewashinda pamoja na kua na vyanzo vyote. Kwasasa tunategemea mitambo binafsi kuzalisha umeme ambao ni MW 382 wakati mahitaji ni MW 1780.
 
Mkuu hizi dakika 10 zako hazitoshi...tupia atleast dakika 40 au 50 kwenye kila episode
 
Nawaona Chaggadema Kitengo Cha Ufipa mmetia Team.HPolepole anawatoa jasho.Sembuse MMM mtajinyea kama mgombea wenu Chato.
 
Hakika Mzeemwanakijiji anawapa homa, mkiona post zake tu mnaweweseka na kupanic! Maneno yake mwiba kwenye makalio yenu. Mkimuona mnatetemeka kama mgombea wenu, mnajinyea nyea hovyo. Mwanakijiji, endelea kuwashika pabaya. #HapaKaziTu
Wewe kilaza kula kulala. Nani amuogope mtu mjinga ka mwanakijiji. mtu anaonekana kachanganyikiwa hajui hata anataka nini. tunajaribu kumuelimisha. kilaza wewe.
 
Back
Top Bottom