CT SCan Mchina
JF-Expert Member
- Mar 13, 2013
- 1,311
- 289
CCM mbele kwa mbele...alipokatwa kulikuwa na mengi sasa yatawekwa hadharani
Mzee Mwanakijiji kuanzia tarehe 30 October watu ndiyo wataanza kukuelewa.
Hakika Mzeemwanakijiji anawapa homa, mkiona post zake tu mnaweweseka na kupanic! Maneno yake mwiba kwenye makalio yenu. Mkimuona mnatetemeka kama mgombea wenu, mnajinyea nyea hovyo. Mwanakijiji, endelea kuwashika pabaya. #HapaKaziTu