Program Note: OZ - Afya ya Lowassa kwa Sasa Siyo Hoja? Will blow your mind...

Mzee Mwanakijiji

Platinum Member
Joined
Mar 10, 2006
Posts
34,097
Reaction score
43,309
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!
 
mh i think your JF account has been hacked! kila ukija na mada unasema tutashtuka,ila unaandika mambo yakawaida tu ambayo tunayajua siku zote! embu jipange vema "great thinker"
 
Hakuna tena cha kumshtua Mtanzania kwa sasa mlishamaliza mishtuko yote na hatukushtuka hahaahaahaaa
 
yani siamini wewe uliekuwa unaandika mada kwa mpangilio mzuri wa hoja umeishia kuandika udaku,kweli huu upepo ni mkali sasa ndo naanza kuona nyeti za kuku
 
Imagine mwanaume kujibaraguza, dah! Aibu.
Ritz njoo huku kumekucha Marekani.
 
Last edited by a moderator:
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!
Mzee Mwanakijiji na siasa zako za Dr.W.Slaa hazitasadia chochote

hata wasema Lowasa ana Uk.mwi watu wamempenda wanachagua

SIASA ZAKO NI KAMA ZA MTU ALIYEVUTA BANGI

NA UKIENDELEA KUMTABILIA AU KUMSEMEA UGONJWA LOWASA WEWE NDIO UTATANGULIA MBELE YA HAKI
Mzee Mwanakijiji siku hizi thread zako nazigrade at ZERO STANDARD
 
Last edited by a moderator:
attachment.php
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!
Naona mwaka huu lazima uolewe.
 
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

Hapa Tanzania hakuna kitu undecided, it is too late my brother.
 
Mkimbizi ananisa matako ya waliomkimbiza angalao apate hisani
 
Mzee Mwanakijiji..
It is very unfortunate that many of us dont know that your ego doesn't match your malicious intent. Your flimsy, naive allegations towards EL wont rationalize our firm stance, coming Oct 25th.
Watch out...
 
Last edited by a moderator:
Operesheni Zinduka inaendelea; tutagusa mojawapo ya mada ambbazo labda itakuwa ya pekee ya kumtetea Lowassa kuhusiana na hoja ya afya yake. Kuna kitu hata hivyo ambacho ukikisikia utashtuka... hasa kwa wale undecided na wengine ambao wanafikiri wameshaamua stay tuned!

Mwaka huu lazima uugue kichaa. unaumiza sana kichwa chako kumfuatilia Lowasa.
 
Hata ukiomba kazi lazima medical chcp huitajika ktk wabongo milion 40 hatuwez kukosa mtu anayeweza kusimama japo dkka kumi kuhutubia,hatuwez kukosa mtu mwenye kumbukumbu nyepesi hata isipo fikia yakiwango cha ugnius wamagufuli wakukarr hadi idadi yasamaki baharini lakn japo awenauwwzo japo wakukumbuka kwenda haja mwenyewe.
 
Back
Top Bottom