Profile la kijana mkataa ndoa

Profile la kijana mkataa ndoa

Sasa kama unafikiri ndoa ni sehemu ya maonyesho basi atakayekuoa anakazi nzito Sana.
Nilikuwa majibu Kwa ajili ya wasomaji sio kwaajili yako.
Najua wewe upeo wako upo Chini.

Mpaka unawaza valentine's Day inamaanisha hata hujafikia Akili za kuitwa Mwanamke. Bado ni msichana. Na ndoa haipo kwaajili ya wasichana ambao hawajakomaa kimwili, kihisia, kiroho na Kiakili


Na hapo ndipo unathibitisha ndoa ni Utapeli na Unyonyaji.
Ikiwa ninyi ni mwili mmoja hakuna kitu kinachoitwa kuhudumiwa. Sijui wapi huelewi.
Na kitu Hilo kikiwepo Utapeli haueipikiki.

Ndio maana Vijana hawataki hizo ndoa zenu za kitapeli.

Wewe kama unamuona MKE wangu Hana furaha Kwa Mtazamo wako WA kitapeli upo sahihi. Kwa sababu Ipo furaha ya kweli na furaha ya kitapeli.

Kuoa Mwanamke mwenye mtizamo wa Aina yako huwezi Jenga familia, zaidi mtaishia kuwa na kizazi Maskini na watumishi tuu.

Ukishaleta mambo ya kuhudumiwa matokeo yake ndio hayo ya unyanyasaji, Kwa sababu mtizamo wa kuhudumia haujajengwa na Upendo. Sijui kama hata unaelewa.

Upendo hauhesabu mabaya, lakini watoa Huduma lazima wahesabu, na wapewe Huduma lazima wahesabu. Na ndio hapo unaambiwa hakuna Ndoa hapo.
Wewe ndio huelewi, kwani unahudumia kitu gani hadi utengeneze kizazi masikini? Labda kama unageneralize ideas za wengine na kunirundikia mimi.

Yaani we unaamini kabisa wote ambao ni matajiri/sio watumishi/wamejiajiri hawahudumii wake zao?

Ukisikia kuhudumia unahisi ni kufanyaje? Kununua Ferari au? Jaribu kuwa realistic acha mihemko.

Btw, unataka kusemaje? Kwamba tukae pale tukusubiri uwe tajiri/ufanikiwe sababu umetuambia huhudumii mkeo? na mkeo si tapeli? tukupe miaka mingapi ya kutokuhudumia mkeo ili uwe tajiri? Tukupe miaka mingapi ya kufanya kizazi chako kiwe tajiri sababu huko hamuhudumiani na si matapeli? Hivi hata unakisoma unachoandika🤣🤣🤣

Halafu unaamini kabisa waume zetu hawajafanikiwa "hata kwa hatua ndogo" sababu wanatuhudumia?

Binafsi nakutakia ufanikiwe sio kwasababu ya kuprove theory zako zinafanya kazi, na kama isipokuwa hivyo tupo tumekaa paleeee, maandishi hayafutiki!
 
Wewe ndio huelewi, kwani unahudumia kitu gani hadi utengeneze kizazi masikini? Labda kama unageneralize ideas za wengine na kunirundikia mimi...

Uliwahi sikia serikali inajihudumia?
Maana MTU anaweza kuwa amesoma lakini Hana Akili ya kuchambua mambo.

MKE ni sehemu ya Serikali ya familia, ni sehemu ya mpanga Bajeti ya familia, ni sehemu ya utawala anahudumiwaje?

Sasa tatizo Vijana watazidi kuliona.
Ni hatari Kwa kweli.
 
Uliwahi sikia serikali inajihudumia?
Maana MTU anaweza kuwa amesoma lakini Hana Akili ya kuchambua mambo.

MKE ni sehemu ya Serikali ya familia, ni sehemu ya mpanga Bajeti ya familia, ni sehemu ya utawala anahudumiwaje?

Sasa tatizo Vijana watazidi kuliona.
Ni hatari Kwa kweli.
Watu watapata shida sana kuargue na wewe sababu unapenda kucheza tu na maneno.

Wacha janja janja waambie vijana mke anahudumiwa na mume anahudumiwa. Kwahiyo wakukataa ndoa wakatae mapema kabisa 😀
 
1. Ni vijana wadogo hawajafikisha 35 years old, infact majority wako 30 and under...

2.Financially insecured,ama washawahi kuwa na experience iliyowafanya wafeel vulnerable financially..

3.Wachoyo hata kwa mambo madogo kama sukari, LOL.

4. Most ni introverts wanao struggle ku form relationships,

5. Most ni wana ishu na mama zao, hii imewapelekea kutokuwa na healthy relationships hivyo kupelekea kuchukia zaidi wanawake.


Mnaopinga ndoa simply kuweni na faken life!...acheni upuuzi wa kuinfluence wengine negatively.

IMG_7885.jpg
 
Upendo hauonyeshwi, upendo unaonekana wenyewe! Hii kichwa yako ngumu mno.

Ndio maana ninyi vichwa panzi ni rahisi kutapeliwa. MTU akionyesha upendo mnadhani anawapenda 😂😂

Upendo hauonyeshwi Ila unajionyesha wenyewe.

Kuhusu wasomaji, Kwa habari ya wasomaji wanaume, wanajua like nazungumzia, Kwani Sisi wanaume tunaelewana na tunaakili za kuelewa.
Na Wanawake wachache mno waliojaliwa.

Ila wengi ambao hawatanielewa Kwa upande wenu watakuwa wale wa Aina yako. Ambao mnauelewa finyu.
Rahisi kutapeliwa na sio ajabu hapo ni single mother Kwa sababu ya ujingaujinga.

Mnataka kuonyeshwa upendo, mwishowe mnatapelika kijingajinga na wahuni.
Mkiambiwa hivi mnasema mnachukiwa.😀😀aisee
upendo hujionyeshi unajionyesha wenyewe?!,....how...namaanisha hakuna kuonekana upendo kama hakuna physically vitu vinavyouonyesha huo upendo,usitudanganye uwe passive tuu halafu mkeo atafsiri kuwa passive kwako ndio kumpenda?!......

halafu nilisema ulimpa biskuti mkeo siku za uchumba ila nimegundua hata uchumbani hakupata hata biskuti....wewe mahusiano yako hayatadumu, i can bet with my life!
 
Sorry sorry sorry, usinijumuishe kwenye mawazo ya wengine. Punyeto ni afya na inaepusha mengi kama mtu huna mpenzi mwaminifu.... Na mimi nashauri hivyo.

Narudia tena... Mimi ni mtu ninayejali well being ya wengine... na nakwambia 3 times a day sio afya.

Sina nia mbaya.
Nimeanza 2001 rasmi nikiacha labda mazingira hayaruhusu Tena yakibana nitapiga bafuni Hadi Sasa kila siku Nina minimum bao mbili na siumwi acheni kujificha kwenye nyeto nyie mnamatatizo yenu

Nyeto Ni afya

nyeto haiui

Nyeto Ni utii

Nyeto ni daima
 
Naona unaenjoy Series hii ya Sukuma Ndoa
Inafurahisha sana watu waongo ssana ukikazana kubishana utachoka
Sikumoja nilikuta comment kwenye ukurasa wa jf Instagram iyo comment niliona humu jamaa kainote kma ilivo ya kataa ndoa😂😂😂
Kaandika kma huku ni ulimbukeni sijui nn, 😂

Looh nikasema ngoja nimchungulie ni nani jamaa anamke nanwatoto wawil wapo kijijigani sijui mke kavaa gauninlake la kitenge😂😂😂na caption kubwa "taasisi muhimu sio Kwa lilepoz 😂😂 wamechoka😂😂😂
 
Nimeanza 2001 rasmi nikiacha labda mazingira hayaruhusu Tena yakibana nitapiga bafuni Hadi Sasa kila siku Nina minimum bao mbili na siumwi acheni kujificha kwenye nyeto nyie mnamatatizo yenu

Nyeto Ni afya

nyeto haiui

Nyeto Ni utii

Nyeto ni daima
Sawa mzee mwezangu! Kwani JF tunajuana basi?

Niliangalia muvi moja inaitwa Tedy K i guess, yule mzee alikua anaishi mwenyewe huko porini, hadi uzeeni anapiga punyeto hivyo naamini inawezekana kabisa.

Ila kidogo alikua mentally disturbed, hakuwa sawa. Sijasema wewe hauko sawa lakini 😂
 
Inafurahisha sana watu waongo ssana ukikazana kubishana utachoka
Sikumoja nilikuta comment kwenye ukurasa wa jf Instagram iyo comment niliona humu jamaa kainote kma ilivo ya kataa ndoa😂😂😂
Kaandika kma huku ni ulimbukeni sijui nn, 😂

Looh nikasema ngoja nimchungulie ni nani jamaa anamke nanwatoto wawil wapo kijijigani sijui mke kavaa gauninlake la kitenge😂😂😂na caption kubwa "taasisi muhimu sio Kwa lilepoz 😂😂 wamechoka😂😂😂
We nawe zile sio picha zao bila shaka alifosiwa tuu au we huoni ?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom