Profesa Safari ndani ya Kamati KUU CDM

hao wazee hawana msaada wowote kwa sasa hasa huyo Prof. wanatafuta maisha tu. angekuwa ameteua vijana wenye uwezo na wachapa kazi ningefurahi zaidi.
 
hakuna kujivua gamba, kobe akivuliwa gamba hawezi kamwe kuishi bali atakufa, pale nyoka akijibua huwa kama kazaliwa upya kwa muktadha huo neno sahihi ni KIJIBUA na sio kujivua gamba
 
uamuzi mzuri,mno ututawakosesha walio na magamba chakusema hasa kwenye udini.Safi kichwa Mbowe u kweli kiongozi wa watu.
 
Poa Mbowe, lakini Prof. Safari nae hana jipya kwenye ulimwengu wa modernization, lakini kwa kujenga chama sawa, kwani ni muhuni kidogo na anajua kukoroma, mara moja kutangaza TAKBIR!!!!
 
Back
Top Bottom