Profesa Safari ndani ya Kamati KUU CDM

jamani msipanic si tutaona utendaji kazi wake?ambao ndio swala la muhimu!!!! na ndio tutampima!!!
 
huyo ni prof bila ubishi upeo wake uko juu sasa itakuaje kwa maana mwenyekiti wa cdm shule yake ni ndogo sana

teh! Wa ccm, yake kubwa xana!? Ha ha ha ha ha haha ha, kwi kwi kwi kwi kwi. Akhsante Dk. Makupa. Nimefatilia hoja zako cnc umejisajili hivyo, lakini bado mashaka na wacwac wangu ni kwenye hata familia inayokutegemea....! TEH.
 
iko vizuri sana hata
 
Hawa jamaa ni wajanja sana , kwani walisemwa kluhusu ukatoliki wao sasa naona wameamua kujibu kwa kuingiza mwenzetu huko tena wakatafuta mwenye siasa kali ili aweze kuwabeba wakina Shekhe Bassale na wenzake sasa hapo tumeliwa , kama waislamu tusipojipanga sawasawa hawa jamaa wanamkakati mbaya dhidi yetu.

Kwani wamewaona kina Zitto sio waislamu wa kweli mpaka wamuongezee huyu?
Ama ndio kapewa kazi ya kujibu mapigo ya udini?
Wakiwa Tabora walisema kuwa CCM ndio wanaumiza waislamu kwani hawajawa tayari kuwatetea hivyo , Safari alisema kuwa yeye kaamua kuingia huko ili kwenda kusimamia maslahi ya waislamu ....sijui lakini ila hawa wakatoliki ni wajanja sana sana.
 
Huyu jamaa ni kihiyo, ila anajitahidi sana kutumia elimu na maarifa ya wenzake kwa ajili ya kukuza chama chake.

Hamuoni kile chama chetu waislamu CUF kilikufa kutokana na Mwenyekiti wetu kutokutaka kuingiza wengine waje na mawazo mapya , kwenye hilo alichangia sisis waislamu kurudi nyuma hatua nyingine mia moja ndio maana leo tunaanza kuungana na wagalatia kwani hatuna pa kwenda.
 
mzee unaongea upupu, kuna sifa gani kujitangaza wewe ni mdini na kuita watu wagalatia hapa jamii forum,
please hii inakera heshimu dini za watu mkuu

KIKAO KINAENDELEA MKOA UPI? Tujuzeni mwenzenu kwani ckuwa on line cku nzima kutoka na mambo ya kiofisi!
 
we Makupa unapenda kutukanwa, hata mimi sina mdomo mchafu lakini kuna wakati uwa najisikia kama nikushushie hayo makombora,
juzi ulikwenda kwenye post moja kuchafua hali ya hewa na hapa umeanza, hakuna hatakaye kuvumilia mpaka unakapomwambia makamba na msekwa hii kama imekushinda ndipo watu watakuhacha, na mwaka huu utaumia kichwa nunua panado za kutosha
sidhani kama matusi yanakujenga zaidi ya kuonyesha upeo wako kuwa ni mdogo kupita maelezo
 
  • Thanks
Reactions: LAT
mzee unaongea upupu, kuna sifa gani kujitangaza wewe ni mdini na kuita watu wagalatia hapa jamii forum,
please hii inakera heshimu dini za watu mkuu

Kwani kuitwa wagalatia ni tusi ? si majina ya Wakristo?

Ndio maana Paulo aliwaandikia "Enyi Wagalatia nani amewaloga?"
 
kuna Mnyika, Zitto kabwe, Halima Mdee ,Regina na wengine wengi sasa wewe unayesema wazee msekwa ana miaka mingapi?
nyie tulieni mchomwe sindano vizuri, na mwaka huu kuna mvua kubwa itawanyeshea kwenye hapo mabonde yenu ya ufisadi lazima mkimbie
hao wazee hawana msaada wowote kwa sasa hasa huyo Prof. wanatafuta maisha tu. angekuwa ameteua vijana wenye uwezo na wachapa kazi ningefurahi zaidi.
 
Hawa jamaa ni wajanja sana , kwani walisemwa kluhusu ukatoliki wao sasa naona wameamua kujibu kwa kuingiza mwenzetu huko tena wakatafuta mwenye siasa kali ili aweze kuwabeba wakina Shekhe Bassale na wenzake sasa hapo tumeliwa , kama waislamu tusipojipanga sawasawa hawa jamaa wanamkakati mbaya dhidi yetu.

Kwani wamewaona kina Zitto sio waislamu wa kweli mpaka wamuongezee huyu?
Ama ndio kapewa kazi ya kujibu mapigo ya udini?
Wakiwa Tabora walisema kuwa CCM ndio wanaumiza waislamu kwani hawajawa tayari kuwatetea hivyo , Safari alisema kuwa yeye kaamua kuingia huko ili kwenda kusimamia maslahi ya waislamu ....sijui lakini ila hawa wakatoliki ni wajanja sana sana.

.
Tanzania kwa mawazo mgando ya kidini daima tutabaki katika zama za mawe.
.
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom