Profesa Safari ndani ya Kamati KUU CDM

Profesa Safari ndani ya Kamati KUU CDM

Zak Malang

JF-Expert Member
Joined
Dec 30, 2008
Posts
5,404
Reaction score
242
Mwenyekiti wa Chadema, Freeman Mbowe amemteuwa Profesa Abdallah Safari kuwa mjumbe wa kamati kuu ya chama hicho. Mkutano bado unaendelea.
 
Safi sana bw. Mbowe umeonyesha kukomaa kisiasa.
 
Hiki ndo chama cha kutupa uhuru wa kweli wa nchi yetu, Big up Mbowe fanya hivyo kwa kila kichwa kitakachokuja
 
Mbowe amekurupuka.......anyway tusubiri tuone

Wakati mwingine kukurupuka is the best approach and enterprise hasa unapogundua umechelewa kuzinduka usingizini and now you are late and left with no time to dress up your bed.........

by the way Prof Safari anafahamika vizuri na history yake ipo kwenye viganja vya wanasiasa wanamapinduzi ndani ya Tanzania.......

Take out your worries unless otherwise "ajali ya kisiasa" ............teheeee
 
Wakati mwingine kukurupuka is the best approach and enterprise hasa unapogundua umechelewa kuzinduka usingizini and now you are late and left with no time to dress up your bed.........
mwaka huu mtaangaika sana
by the way Prof Safari anafahamika vizuri na history yake ipo kwenye viganja vya wanasiasa wanamapinduzi ndani ya Tanzania.......

Take out your worries unless otherwise "ajali ya kisiasa" ............teheeee
mwaka huu mtahangaika sana
 
  • Thanks
Reactions: LAT
Back
Top Bottom