Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

Hv nikisema umeme uwe bure bt kodi za kila mwez kwa kila anaetumia umeme kwa nchi kama tanzania alipishwe shs 15000 hv itashindikana kweli wakiwa sirias?, i mean tumia umeme unavyojua bt hakikisha mwez unapoisha unapeleka 15000 hv its not pocbo kwa wanaojua tushare mawazo!!
Sounds logic
 
Huyu Waziri Muhongo ni Kichwa.Unajua Serekali iliyopita,ilishindwa kwenda nae na kasi aliyokuwa anaitaka.Sasa ukifanya vizuri wanakufanyia hujma.Ilikuwa hujma Mbaya sana kwa waziri huyu.Ninayo hakika alikuwa Anaingiliwa Na walio jui yake

Fisadi ni fisadi tu
 
Hv nikisema umeme uwe bure bt kodi za kila mwez kwa kila anaetumia umeme kwa nchi kama tanzania alipishwe shs 15000 hv itashindikana kweli wakiwa sirias?, i mean tumia umeme unavyojua bt hakikisha mwez unapoisha unapeleka 15000 hv its not pocbo kwa wanaojua tushare mawazo!!
Haiwezekani mkuu
 
Mimi sishabikii Mbwembwe zinazoendelea !
Kabla hujakubaliana

Na maagizo ya kushusha umeme anagalia

"Rea "unalipia kiasi gani kila unaponunua umeme ??
Si 40% ?

Je si iko kisheria ?? Je,, 40% imeondolewa ??
Mbwembwe tu ?!!

Mwisho was siku bei ya umeme inashuka si ndio tunachotaka kama mbwembwe zinasababisha unafuu wa maisha basi ni Nzuri sana na ziendelee wananchi tufaidike
 
Bei ya umeme inatarajia kushuka wakati wowote kuanzia sasa baada ya Waziri wa Nishati na Madini, Profesa Sospeter Muhongo kuliagiza Shirika la Umeme (Tanesco), kushusha gharama za nishati hiyo.

Katika hatua nyingine, Waziri huyo amefuta likizo za wafanyakazi wa shirika hilo ili washughulikie tatizo la umeme nchini huku akisisitiza kuwa hataki kusikia kukatika katika kwa umeme.

Profesa Muhongo alitoa maagizo hayo jana jijini Dar es Salaam wakati alipofanya ziara ya kushtukiza katika mtambo wa kuzalisha umeme wa Tegeta Gas Plant, ambapo alikwenda kwa ajili ya kukagua mitambo hiyo ili kuona kama yote inafanyakazi.

Akitoa maelezo ya mtambo huo, Meneja Mohamed Kisiwa alisema wana mitambo mitano na wana uwezo wa kuzalisha Megawati 42 kila saa.

Alisema gharama ya uzalishaji umeme kwa uniti moja ni Sh. 90 na wamekuwa wakiuza kwa Sh. 180 hadi 187.

Profesa Muhungo alisema kwa maelezo ya meneja huyo, inaonyesha umeme wanaozalisha wanapata faida mara mbili hivyo alisema kuna uwezekano mkubwa wa kushusha gharama za umeme.

Aliagiza maofisa wa wizara yake na wa shirika la Tanesco wakutane leo ili wajue umeme huo utashushwa kwa kiwango gani.

?Utauzaje umeme mara mbili ya gharama za uzalishaji, tunataka kuwapunguzia wananchi bei ya umeme na kwenye mkutano wetu wa kesho (leo) tutajadili kupunguza bei ya umeme..haya mahesabu hayajakaa sawa maana unazalisha uniti moja kwa Sh. 90 na kuuza kwa Sh. 180 tutajadiliana mpunguze,? alisema.

CHANZO: NIPASHE

Jamani tuache maigizo, kwani tanesco ndio wanaopandisha na kushusha bezi za units za umeme?
 
Watoe service charge na bei ishuke kodi zimezidi mara rea mara vat mara tax mara service charge iptl mara tegeta escrow ibaki kodi moja tu. Hapo ndipo tutajua kuwa wana nia ya dhati kuwapunguzia wananchi bei ya umeme.
 
Kweli umeme unaumiza sana mm kuna sehm Nina kabiashara lkn naona faida yote inaishia uko yaan sijuhi uwa unaishaje kwa mwezi mtu utatoa 5000 kama mara nne ivi na kuzidi dah nachoka asee hapa ujaja nyumban pia
 
Hawa wanatufanya sisi matahira! Hivi sh.10,000 kwa unit 27 ndo sh. 180 kwa unit moja? Hapana bhana mi nakataaa. Wanatuuzia sh. 370 per unit na service charge pembeni! Washenzi sana hawa jamaa

Wamemdanganya eti wanauza 180 wakati ni 370. Hivi muhongo analipaga bili kweli hadi anadanganywa na anakubali?
 
Hiyo bei ya 180/Unit ni Kilo Watt ama ni nini mbona hazina uhalisia maana nikipiga hesabu kwa pesa nayotoa kwa mwezi kwa ajili ya malipo ni tsh 40,000,baada ya makato yote ni Tsh kama 13,000 hivi bei ya umeme ni Tsh 27,000 napata uniti 91.5Kwt sasa ukipiga mahesab
ya uniti moja unapata kama 295 hivi.sasa hii ya 180 ni ya wapi au kuna tusioyajua juu ya gharama halisi za umeme
Hiyo ni bei anayotoza mzalishaji kwa tanesco,so tanesco anatoza 298@unit
 
TANESCO wananunua umeme ndugu, then they sell to normal users, huo mtambo wa Tegeta ni kampuni binafsi
 
wananchi tunajua wasiompenda Prof Muhongo ni yale mabepari yanayotaka vitalu vya gesi kwa udalali eti kwa kigezo cha uzalendo. tunajua! na hao mabepari wamewanunua baadhi ya wananchi wawaunge mkono kwa kisingizio cha eti Prof ana dharau, ana nyodo. !! khaaa! nyodo ndio nini. ni vizuri awe hivyo ili mabepari wasiweze msogelea na kumnunua. mapebari hawahawa wamewanunua mpaka wabunge! tunajua! na wabunge hao kwa ujinga wao wamekubali kununulika kwa bei rahisi, wameuza utu wao.tunajua!
nchi hii mabepari wakiendelea na mtindo huu lazima ifike siku tupigane ili kieleweke.

Prof. Muhongo anapiga kazi kinoma. Sema wabongo tuna akili za kushikiwa. Go on prof usiangalie makunyanzi.
 
Hiyo bei ya 180/Unit ni Kilo Watt ama ni nini mbona hazina uhalisia maana nikipiga hesabu kwa pesa nayotoa kwa mwezi kwa ajili ya malipo ni tsh 40,000,baada ya makato yote ni Tsh kama 13,000 hivi bei ya umeme ni Tsh 27,000 napata uniti 91.5Kwt sasa ukipiga mahesabu ya uniti moja unapata kama 295 hivi.sasa hii ya 180 ni ya wapi au kuna tusioyajua juu ya gharama halisi za umeme
Hiyo Tsh 180/= ni bei ya mzalishaji, ongeza EWURA, REA, VAT etc..! Kwa nini kitu kisiovershoot?
 
Watoe service charge na bei ishuke kodi zimezidi mara rea mara vat mara tax mara service charge iptl mara tegeta escrow ibaki kodi moja tu. Hapo ndipo tutajua kuwa wana nia ya dhati kuwapunguzia wananchi bei ya umeme.
service charge haiwezi kutoka kamwe,hata hivyo si ni 200 tu kwasiku.haifiki hata bei ya kiroba tuchangie tu
 
Prof. Muhongo anapiga kazi kinoma. Sema wabongo tuna akili za kushikiwa. Go on prof usiangalie makunyanzi.

Mnyika ana kazi naye hadi ataje waliokwenda kugawana noti kwenye visalfeti
 
Back
Top Bottom