Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

Profesa Muhongo aiagiza TANESCO ishushe bei ya umeme

Mwisho was siku bei ya umeme inashuka si ndio tunachotaka kama mbwembwe zinasababisha unafuu wa maisha basi ni Nzuri sana na ziendelee wananchi tufaidike

Nani kakudanganya umeme utashuka kwa style hiyo? Hizo ni porojo tu majukwaani akiingia katika uhalisia utasikia kauli inabadirishwa atawaambia mpaka kinyerezi ikianza kuzalisha umeme na unit zitashuka bei
 
Jamanii naomba msaada wenu nmenunua umeme wa 15000 nimepewa unit 2.64. Nimekatwa 5520 service charge, Tax 8874 kweli jamaniii hii ni haki?
 
Jamanii naomba msaada wenu nmenunua umeme wa 15000 nimepewa unit 2.64. Nimekatwa 5520 service charge, Tax 8874 kweli jamaniii hii ni haki?
haiwezekani,weka picha ya risiti.

Kumbuka hayo makato hayafanywi na binadamu,yako programmed,kwahiyo computer haina upendeleo wala haiwezi kula rushwa
 
Hakika huwezi amini ndivo ilivyo nmenunua jana tena 13300 nmekatwa tax kama elfu saba na point
 
Kaka umeona nililipa kwa mpesa
 

Attachments

  • 1450624959450.jpg
    1450624959450.jpg
    29.3 KB · Views: 353
Hiyo bei ya 180 ni bei tanesco inayowalipa hao wezi kina pap, symbion nk kwa 1kwh (ambayo ndiyo unit ya umeme). Muhongo aishauri serikali iiwezeshe tanesco kumiliki mitambo yake ya kuzalisha umeme na huyo aliyewaongeza mkataba iptl akamatwe mara moja, kinyume na hapo hata umeme ukishushwa bei bado serikali itabidi kulipa ruzuku kufidia pengo.

..kweli kabisa.

..IPTL, Symbion, Aggreko, wote waondoke.

..tangu makampuni haya yaingie nchini Tanesco imekuwa na hali mbaya.
 
Hv nikisema umeme uwe bure bt kodi za kila mwez kwa kila anaetumia umeme kwa nchi kama tanzania alipishwe shs 15000 hv itashindikana kweli wakiwa sirias?, i mean tumia umeme unavyojua bt hakikisha mwez unapoisha unapeleka 15000 hv its not pocbo kwa wanaojua tushare mawazo!!
Bila hizi capacity charge tanesco inazolipa kila siku tanesco inaweza kuuza umeme kwa watumiaji wadogo (wasiotumia zaidi ya unit 100 kwa mwezi) kwa sh 50/unit na bado tanesco ikajiendesha kwa faida. richmond tumemlipa milioni 152 kila siku mbali na malipo ya umeme anaozalisha, azalishe umeme au asizalishe. hiyo ni pesa ya unit za umeme zaidi ya laki 8 zinazolipa hewa, halafu unashangaa eti watu hawajui kwanini pesa yetu haina thamani.
 
kwa kweli katika eneo ambalo watu wananyanyasika sana ni katika hili la nishati ya umeme kwa kweli bili iko juu sana na umeme wenyewe umekuwa wa kubahatisha. kazi ya prof. muhongo katika kutetea wananchi inaonekana, viva prof. muhongo
 
Hakuna kitu kinaniudhi kama gharama za service charge. Inaudhi sana unyonyaji wa hivi.
 
Mnyika ashasema kuwa lazima amg'oe kwa kashfa ya escrow

Kumpiga vita prof. ni wale wasio na kazi ya kufanya ila kufukuzia matukio. Achana na prof. atatuvusha kwenye masuala ya umeme. JPM ni Rais makini kwa kumrudisha prof.
 
Hiyo safi,kinachofuatia sasa ni kuruhusu uwekezaji ktk sekta ya nishati ya umeme,makampuni binafsi yaruhusiwe kuzalisha na kuuza yenyewe badala ya kuiuzia TANESCO, hii itakuwa njia moj? safi ya kuondokana na makampuni ya kinyonyaji kama IPTL na Symbion yanayoinyonya TANESCO mabilioni ya pesa kila siku.
 
Babeli huyo Prof alisha nunuliwa na Karasinga akatoa mitambo ya IPTL na mabilion ya fedha wakagawana!!
Mbona mnasahau kirahisi sakata la ESCROW???
 
Last edited by a moderator:
Hiyo bei ya 180/Unit ni Kilo Watt ama ni nini mbona hazina uhalisia maana nikipiga hesabu kwa pesa nayotoa kwa mwezi kwa ajili ya malipo ni tsh 40,000,baada ya makato yote ni Tsh kama 13,000 hivi bei ya umeme ni Tsh 27,000 napata uniti 91.5Kwt sasa ukipiga mahesabu ya uniti moja unapata kama 295 hivi.sasa hii ya 180 ni ya wapi au kuna tusioyajua juu ya gharama halisi za umeme

Tzs 180 kwa unit ni bei ya umeme tu. Hapo wanaongeza EWURA, VAT,nk. Lakini bei ya unit kwa umeme wa nyumbani sasa ni tzs 408 ! Nimeletewa bili ya tzs 61,632 kwa unit 151.Kwa hiyo wanaweka faida kubwa sana. Wapunguze haraka.
 
Aisee service charge naichukia sana . Atoe hyo kwanza.
 
Back
Top Bottom