Tusubiri tuone, ila kusema ukweli professor Muhongo namkubali kwa utendaji kazi wake
wananchi tunajua wasiompenda Prof Muhongo ni yale mabepari yanayotaka vitalu vya gesi kwa udalali eti kwa kigezo cha uzalendo. tunajua! na hao mabepari wamewanunua baadhi ya wananchi wawaunge mkono kwa kisingizio cha eti Prof ana dharau, ana nyodo. !! khaaa! nyodo ndio nini. ni vizuri awe hivyo ili mabepari wasiweze msogelea na kumnunua. mapebari hawahawa wamewanunua mpaka wabunge! tunajua! na wabunge hao kwa ujinga wao wamekubali kununulika kwa bei rahisi, wameuza utu wao.tunajua!
nchi hii mabepari wakiendelea na mtindo huu lazima ifike siku tupigane ili kieleweke.