masanzu
JF-Expert Member
- May 6, 2013
- 605
- 219
Mnyika ashasema kuwa lazima amg'oe kwa kashfa ya escrow
kama alishindwa kumng'oa lowassa chadema ataweza mini kwa mhongo au kama anaushahidi kuwa mhongo no fisadi aende mahakamani
Mnyika ashasema kuwa lazima amg'oe kwa kashfa ya escrow
Hata me nimeshangaa kusikia Tanesco wanauza unit kwa sh 180.. Si kwel kabisa. Au kuna wakala mwingine kati kati anatuibia?
Hiyo bei ya 180/Unit ni Kilo Watt ama ni nini mbona hazina uhalisia maana nikipiga hesabu kwa pesa nayotoa kwa mwezi kwa ajili ya malipo ni tsh 40,000,baada ya makato yote ni Tsh kama 13,000 hivi bei ya umeme ni Tsh 27,000 napata uniti 91.5Kwt sasa ukipiga mahesabu ya uniti moja unapata kama 295 hivi.sasa hii ya 180 ni ya wapi au kuna tusioyajua juu ya gharama halisi za umeme
Hv nikisema umeme uwe bure bt kodi za kila mwez kwa kila anaetumia umeme kwa nchi kama tanzania alipishwe shs 15000 hv itashindikana kweli wakiwa sirias?, i mean tumia umeme unavyojua bt hakikisha mwez unapoisha unapeleka 15000 hv its not pocbo kwa wanaojua tushare mawazo!!
Service charges za nini? Tangu unafungiwa mita mpaka unakufa haujawahi fanya service ila kila mwezi unalipia. Service charges ikatwe mtu anapoomba huduma Tanesco. Else ni wizi tuHapa watuuzie umeme shs 130 na service charges zibakie pale pale. Maana shs 40 ukizidisha kwa watanzania wote wanao tumia umeme kwa siku moja ni hela nyingi sana.
kOSA LA MUHONGO NI KIBURI CHA UZIMA
Hiyo bei ya 180/Unit ni Kilo Watt ama ni nini mbona hazina uhalisia maana nikipiga hesabu kwa pesa nayotoa kwa mwezi kwa ajili ya malipo ni tsh 40,000,baada ya makato yote ni Tsh kama 13,000 hivi bei ya umeme ni Tsh 27,000 napata uniti 91.5Kwt sasa ukipiga mahesabu ya uniti moja unapata kama 295 hivi.sasa hii ya 180 ni ya wapi au kuna tusioyajua juu ya gharama halisi za umeme
Dah service charge za kila mwezi ni bonge la jipu!!!Sio Hapo tu, waondoe kabisa service charge za kila mwezi, Ni bora watuuzie luku bei kubwa na isiwe na makato ya kila mwezi, mtu unatoa elfu 10 unapata unit 5? Hii kitu hatutaki kabisa
wapunguze bei ifike 150/-
service charge ibakie pale pale! maana ndiyo TECHNICAL SUPPORT CHARGE YENYEWE!
umenena, kwa kweli service charge ya kila mwezi keroooooo kero sanaaaa, ndio maana watu kwa kuiepuka ulazimika kununua umeme mwingi angalau asiikumbukeSio Hapo tu, waondoe kabisa service charge za kila mwezi, Ni bora watuuzie luku bei kubwa na isiwe na makato ya kila mwezi, mtu unatoa elfu 10 unapata unit 5? Hii kitu hatutaki kabisa
Muhongo ni miongoni mwa mawaziri bora kabisa japo kunawatu wakisikia jina lake nguo zinawabana.
Kwa nini tulipe service charges? Hebu nielimishe ikiwa luku na service line umeilipia, je profit yao inaenda kufanya kazi gani?Hapa watuuzie umeme shs 130 na service charges zibakie pale pale. Maana shs 40 ukizidisha kwa watanzania wote wanao tumia umeme kwa siku moja ni hela nyingi sana.
Acha kukashifu watu hapa, kama wewe umeelewa saana mwagika hapa jukwaani na siyo kuleta madharau.Huwa sishangilii ujinga! Hakuna hata mwenye kufanya simple reasoning wote ni kukenua meno tu eti namkubali. Kuzalisha umeme kwa sh. 90 na kuuza kwa sh.180 kwa unit HAIMAANISHI UNAPATA FAIDA MARA MBILI. SIjui kama kweli tunaelewa au tunachangia na kujisifia tu na hili ndio Tatizo letu kubwa. Tuna uwezo mdogo sana sana wa kupembua pumba na mchele.
Acha kukashifu watu hapa, kama wewe umeelewa saana mwagika hapa jukwaani na siyo kuleta madharau.
Kuna sehemu nimesoma,anawakaribisha wazawa waje wawekeze kwenye gesi. Nafikiri dawa imemwingia, anacheza kulingana na mapigo.wananchi tunajua wasiompenda Prof Muhongo ni yale mabepari yanayotaka vitalu vya gesi kwa udalali eti kwa kigezo cha uzalendo. tunajua! na hao mabepari wamewanunua baadhi ya wananchi wawaunge mkono kwa kisingizio cha eti Prof ana dharau, ana nyodo. !! khaaa! nyodo ndio nini. ni vizuri awe hivyo ili mabepari wasiweze msogelea na kumnunua. mapebari hawahawa wamewanunua mpaka wabunge! tunajua! na wabunge hao kwa ujinga wao wamekubali kununulika kwa bei rahisi, wameuza utu wao.tunajua!
nchi hii mabepari wakiendelea na mtindo huu lazima ifike siku tupigane ili kieleweke.