Profesa Kabudi: Tanzania kupokea ugeni mkubwa kutoka China ukiongozwa na Waziri wa Mambo ya Nje

Good!
Sekta kwa sekta, tafuteni soko la matunda yetu yataingiza fedha nyingi iwapo hao 1.4B wapelekewa
 
Kwanza muwaombe msamaha wachina ile meli yao mlioyoizuia miaka miwili na ushee, pia kuwafunga jamaa miaka 2 - uzuri mchina huwa hasahau lazima hili litaingizwa kwenye makubaliano mapya kufidiana.
 
Ni aibu kuona Watanzania wakishindana ku comment ujinga.
 
Rais Magufuli kesho atampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na ujumbe wake katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

Huu ni ugeni mkubwa na muhimu kwa taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania

Maendeleo hayana vyama!
 
Naona anajitahidi kuuweka bize uwanja wa Chato ili uonekane una tija kwa taifa
 
Rais Magufuli kesho atampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na ujumbe wake katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

Huu ni ugeni mkubwa na muhimu kwa taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania

Maendeleo hayana vyama!
Yeeeeeeeees,

Chato International Airport 🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥🔥

Mitanooooo Tena
 
Rais Magufuli kesho atampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na ujumbe wake katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita.

Huu ni ugeni mkubwa na muhimu kwa taifa letu.

Mungu Ibariki Tanzania

Maendeleo hayana vyama!
Kwa nini wasikutanie Ikulu ya Dodoma ameamua kumpeleka mgeni wa kiserikal ugenini?
 
Rais Magufuli kesho atampokea waziri wa mambo ya nje wa China Wang Yi na ujumbe wake katika uwanja wa ndege wa Chato mkoani Geita...
Si atampokea pale kwenye jengo la 'MFUGALE TOWER'?

Basi mapokezi mema, nafikiri tutapata tafsiri ya neno 'Tower' kama linavyotumika kweny haya majengo.
 
Nasema uongo ndg zanguuuuuuuu?
ErCGRrKXAAE544r.jpg
 
Kwahiyo ule ugeni mzito wa kutoka China utafikia hapo JS hotel

Wonders will never end
 
Back
Top Bottom