China Kutumia Shilingi Trilioni 2.5 ($1Bilion) Kuijenga Upya(Upgrade) Reli ya Tazara kuwa SGR

ChoiceVariable

JF-Expert Member
May 23, 2017
43,046
49,730
Wakati ushindani wa Kukamatwa rasilimali muhimu yaani critical minerals kati ya China na USA ukipamba moto, Serikali ya China imeiteua Kampuni ya CCCE kama Mjenga na muendeshaji wa reli ya Tazara Kwa Ajili ya wawekezaji wa China.

Kwa mujibu wa maelezo ya Serikali ya China,Nchi hiyo inapanga kutumia Dola Bilioni 1 sawa na Shilingi Trilioni 2.5 za Tanzania Kuijenga Upya (Upgrade & Modernise) reli ya Tazara kuwa Standard Gauge.

Aidha reli hiyo itakuwa inaendeshwa na Wachina Kwa mda ambao Nchi za Tanzania na Zambia zitakubaliana kabla ya kurejesha Serikalini.

Kiufupi Kiufupi utaratibu utakuwa kama unavyofanyika Kenya.

Hizi ni habari njema Ili kuleta Ufanisi wa Bandari ya Dar na Tazara kiujumla ikizingatiwa kwamba tayari Wazungu wameanza kuwekeza kwenye Bandari na reli ya Lobito Angolola,Beira na Nacala Mozambique

======
Amid growing geopolitical tensions over the control of trading routes for critical minerals in Africa, China has chosen the China Civil Engineering Construction Corporation (CCECC) to negotiate a concession to operate the Tanzania-Zambia Railway line.

It is expected to give a much-needed lifeline to the almost 50-year-old railway, also known as Tazara, which was originally funded by Mao Zedong’s government as a foreign aid project.
CCECC, a subsidiary of the China Railway Construction Corporation, is expected to negotiate a public-private partnership concession in the form of a build-operate-transfer model with Tanzania and Zambia to operate Tazara. It is also expected to upgrade the railway – which Chinese President Xi Jinping has called “a symbol of China-Africa friendship” – at an estimated cost of US$1 billion.

Last month, the Tanzania-Zambia Railway Authority announced the news, saying Chinese investors and the CCECC were poised to play a significant role, hence the company’s proposal was “expected imminently”.
Observers have said the funding for the railway pointed to Beijing’s keen interest in using Tazara for mining exports from Zambia and the Democratic Republic of the Congo. Competition in the area with both the EU and the US has intensified recently as the race for critical minerals used in the production of electric vehicle batteries heats up.
thumb-clean_2.jpg

06:32
China’s Belt and Road, 10 years on

China’s Belt and Road, 10 years on
Tim Zajontz, a lecturer in global political economy at the University of Freiburg, said while the Chinese consortium will commit to invest in the ailing infrastructure and insufficient rolling stock of Tazara, it was not an aid mission.

“The Chinese investors have made it unmistakably clear in previous negotiations that Tazara is no longer considered an aid project but that it must be a commercially viable venture,” said Zajontz, who is also a research fellow in the Centre for International and Comparative Politics at Stellenbosch University.

Aly-Khan Satchu, a sub-Saharan Africa geoeconomic analyst, said the Tanzania and Zambian governments seemed to be looking for a major revamp of the railway and were happy to concede the running of this line to the private sector.

China at a Glance Newsletter
Your daily must-read of essential stories from China, including politics, economy and current affairs.
By submitting, you consent to receiving marketing emails from SCMP. If you don't want these, tick here
“So I expect this to be a revamp, to operate as the concessionaire for a meaningful period of time,” Satchu said.

He also noted Xi’s keen interest in renovating Tazara.

“This railway is a symbol of the Sino-African story and President Xi understands the power of the narrative,” Satchu said.

Xi had promised to renovate the railway when Tanzanian counterpart Samia Suluhu Hassan visited China last year and during Zambian President Hakainde Hichilema’s visit in September.

“China is willing to support the upgrading and transformation of the Tanzania-Zambia Railway in accordance with the principles of marketisation and commercialisation,” Xi said when he met Hichilema.

Tazara is part of the DNA of Sino-African relations, often used to emphasise that China’s dealings with Africa are based on equality, solidarity and anti-imperialism, said Zajontz, whose upcoming book, The Political Economy of China’s Infrastructure Development in Africa, covers the case of Tazara’s planned privatisation.

“Notwithstanding the official rhetoric, Beijing has also keen geoeconomic interests in Tazara’s rehabilitation which would improve the performance of the Dar es Salaam corridor, not least for mining exports from Zambia and the Democratic Republic of the Congo.”

When China’s involvement in the Tazara railway began in the 1970s under the leadership of Mao, the country was facing its own financial difficulties.

Meanwhile, Zambia was desperate for a railway link to the Tanzanian coast for its main export, copper. Neighbouring white-controlled Rhodesia – now Zimbabwe – had cut Zambia’s only route to the sea in response to its transfer of power to the black majority.

The United States and Russia both refused to fund a new railway, so China stepped in, building Tazara for about a billion yuan, or billions of US dollars at today’s rates.

125f4927-c711-4df6-87b9-6027144595ab_52519f63.jpg

The entrance to the Tazara Memorial Park in Zambia’s Lusaka province, built in honour of Chinese nationals who died during the construction of the railway line in the 1970s. Photo: Xinhua

From 1970 to 1975, as many as 50,000 Chinese workers were deployed to build the 1,860km (1,155 miles) of track stretching from Zambia’s copper belt to the Tanzanian port of Dar es Salaam on the Indian Ocean.

It remains China’s biggest overseas project to date, and managed to boost Beijing’s political capital during the Cold War.

However, the American embassy in Zambia said in a post on X, formerly Twitter, that although China had funded Tazara’s construction, it was the US that kept it running, providing assistance worth over US$45 million for “new locomotives and rolling stock” as well as “substantial technical assistance”.

“Tazara has never reached its full potential,” the embassy wrote on Thursday. “By the end of 1978, only two trains were operating daily.”

“In the 1980s, the United States joined international partners in responding to Zambia and Tanzania’s request to rehabilitate Tazara, with the US government providing over $27 million through USAID,” it added.

Zajontz said the embassy’s post was a great example of how the “great powers” competed for public opinion across Africa.

“Everyone who knows a little bit about Tazara knows that eventually it will be privatised and that the Chinese would not allow a non-Chinese firm to run it – for obvious historical reasons,” Zajontz said.

He added that the tweet showed how “desperate” both China and the West were in stressing how much they had invested in African infrastructure initiatives.

Tazara’s upgrade comes at a time when the European Union and the US have announced they will fund the building of a railway from the Zambian copper belt to an existing line to the Angolan port of Lobito. They will also develop the Lobito transport corridor, which will connect inland southern DRC and northwest Zambia to regional and global trade markets via the Angolan port city.

The interest in the central African countries all circles back to minerals that are vital to the manufacture of electric batteries, including cobalt which comes from the DRC and Zambia. Chinese companies have made vast investments in both countries.

“The US wants to chalk up something on the board and this Lobito corridor is a relatively bite-sized investment – but the US is a Johnny-come-lately and woefully behind the curve,” Satchu said.

Zajontz said the West was keen to control its own transport routes in the region.

“Both the US and the EU want to prevent a situation in which Chinese transport or logistics firms could interrupt critical value chains if prompted as part of geopolitical escalations,” Zajontz said.

“For Beijing, the recent announcement of Western investments along the Lobito corridor has certainly increased the geopolitical incentive to invest in and operate Tazara.”

Emmanuel Matambo, research director at the University of Johannesburg’s Centre for Africa-China Studies, said China understood the ideological and intangible value of Tazara, and so “the concession will not place high demands, if at all, on Zambia and Tanzania”.

As a landlocked country, Zambia in particular had struggled to make efficient use of its neighbours’ seaports and China was alive to that, he said. “The Tazara is more than a railway; it embodies China’s longstanding solidarity with the developing world.”

Matambo added that, unlike Tanzania where the ruling party had a firm hold on the incumbency, Zambia was more politically open and China has wanted to retain Zambia’s friendship through leadership changes. Helping in tangible ways such as reviving the Tazara would boost China’s image in the eyes of Zambians, he said.

Pia Soma hapa 👇
 
Wakati ushindani wa Kukamatwa rasilimali muhimu yaani critical minerals kati ya China na USA ukipamba moto, Serikali ya China imeiteua Kampuni ya CCCE kama Mjenga na muendeshaji wa reli ya Tazara Kwa Ajili ya wawekezaji wa China.

Kwa mujibu wa maelezo ya Serikali ya China,Nchi hiyo inapanga kutumia Dola Bilioni 1 sawa na Shilingi Trilioni 2.5 za Tanzania Kuijenga Upya (Upgrade & Modernise) reli ya Tazara kuwa Standard Gauge.

Aidha reli hiyo itakuwa inaendeshwa na Wachina Kwa mda ambao Nchi za Tanzania na Zambia zitakubaliana kabla ya kurejesha Serikalini.

Kiufupi Kiufupi utaratibu utakuwa kama unavyofanyika Kenya.

Hizi ni habari njema Ili kuleta Ufanisi wa Bandari ya Dar na Tazara kiujumla.
hapo patamu. wazungu wanataka kupitisha mbadala uende angola, mchina hapo lazima ajiongeze. aweke iwe SGR na pia aweke iwe ya umeme. hata watengeneza reli ya namna gani kupitia kule angola hadi zambia itakuwa ngumu sana kushindana nasi kwenye biashara na Asia
 
Wakati ushindani wa Kukamatwa rasilimali muhimu yaani critical minerals kati ya China na USA ukipamba moto, Serikali ya China imeiteua Kampuni ya CCCE kama Mjenga na muendeshaji wa reli ya Tazara Kwa Ajili ya wawekezaji wa China.

Kwa mujibu wa maelezo ya Serikali ya China,Nchi hiyo inapanga kutumia Dola Bilioni 1 sawa na Shilingi Trilioni 2.5 za Tanzania Kuijenga Upya (Upgrade & Modernise) reli ya Tazara kuwa Standard Gauge.

Aidha reli hiyo itakuwa inaendeshwa na Wachina Kwa mda ambao Nchi za Tanzania na Zambia zitakubaliana kabla ya kurejesha Serikalini.

Kiufupi Kiufupi utaratibu utakuwa kama unavyofanyika Kenya.

Hizi ni habari njema Ili kuleta Ufanisi wa Bandari ya Dar na Tazara kiujumla ikizingatiwa kwamba tayari Wazungu wameanza kuwekeza kwenye Bandari na reli ya Lobito Angolola,Beira na Nacala Mozambique
Hii Nimeipenda sana
 
Tunagombaniwa kama mwali, itakuwa ni mkoloni mmoja baada ya mwingine. Nadhani tatizo letu ni akili, wenye akili wachache na wana njaa, wajinga ni wengi na ndio wenye mamlaka.

Natumaini maslahi ya nchi yatazingatiwa badala ya nchi yetu kugeuzwa uwanja wa mapambano ya China dhidi ya Marekani.
 
Wakati ushindani wa Kukamatwa rasilimali muhimu yaani critical minerals kati ya China na USA ukipamba moto, Serikali ya China imeiteua Kampuni ya CCCE kama Mjenga na muendeshaji wa reli ya Tazara Kwa Ajili ya wawekezaji wa China.

Kwa mujibu wa maelezo ya Serikali ya China,Nchi hiyo inapanga kutumia Dola Bilioni 1 sawa na Shilingi Trilioni 2.5 za Tanzania Kuijenga Upya (Upgrade & Modernise) reli ya Tazara kuwa Standard Gauge.

Aidha reli hiyo itakuwa inaendeshwa na Wachina Kwa mda ambao Nchi za Tanzania na Zambia zitakubaliana kabla ya kurejesha Serikalini.

Kiufupi Kiufupi utaratibu utakuwa kama unavyofanyika Kenya.

Hizi ni habari njema Ili kuleta Ufanisi wa Bandari ya Dar na Tazara kiujumla ikizingatiwa kwamba tayari Wazungu wameanza kuwekeza kwenye Bandari na reli ya Lobito Angolola,Beira na Nacala Mozambique
Ujenzi utaanza lini isiwe porojo tu.
 
Hizi ni habari njema Ili kuleta Ufanisi wa Bandari ya Dar na Tazara kiujumla ikizingatiwa kwamba tayari Wazungu wameanza kuwekeza kwenye Bandari na reli ya Lobito Angolola,Beira na Nacala Mozambique
China anawekeza TAZARA, wazungu wanawekeza Angola na Msumbiji. Hawa wote wanatumia pesa zao kwenye uwekezaji. DPW anasubiri tumewekeza mabilioni kwenye bandari yetu anachukua kiulaini.

Bure kabisa
 
Nchi ngumu sana hii pamoja na utajiri wa rasilimali tulio nao bado tunaishi kwa staili ya saidia masikini.
Hii tabia ombaomba ndio inatuingiza kwenye mitego ya mikataba ya hovyo. Viongozi wetu hapo ndio mwisho wa uwezo wao na wanaona sifa kweli.
 
Back
Top Bottom