Profesa Kabudi from Hero to Zero, Mbwembwe zote kwisha

Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Kwa taarifa yako tu kabudi anamsaidia mama upande wa mikataba! Yeye lubuva na mkuchika wote wanakula penshen zao ikulu na wanahadhi ya uwazir
 
Profesa kutoka Jalalani.
Naamini jamaa analia msiba wa JPM kuliko hata angefiwa na mkewe.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah hii kali[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Kati ya waliompoteza sana marehemu. Alienda Madagascar akaleta ile togwa akimwaminisha kuwa ndiyo kiboko ya corona!!
[emoji23][emoji23][emoji23] togwa tena dah noma hizi comment zinanichekesha sana [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
Yaan uliandika tu mtu anajua kabisa kuwa ww uwezo wako wa akili ni kiwango cha chini Sana.Kabuti tayari kawa Waziri,ni Prof .Ana maisha yake mazuri .Ategemei kuishi kwa tabu tena.Huyo sio mwenzako tena.Kwa umri wake atapumzika na kula maisha na familia na hataomba kwa mtu pesa .Kwa Hiyo ww endelea kuangaika na vithread udaku,visivyo na nyuma wala mbele.
 
Wewe ndio Kabudi nini?
 
Sasa pamoja na kuzurura wewe umemzidi nini kimaisha?Zuhura ana hadhi gani ya kumfanya Professor Kabudi apitie kwake kumuona Rais?Wewe Kapuku ndiyo lazima upitie kwa Zuhura,uyo mwenzio anapiga simu direct kwa Mama.
Mkuu nakushauri,Kama unapenda kujadili maisha ya watu,uyo siyo level yako,Kabudi ana profile nzinto,wewe kukaa na vigogo wa Barrick unajadiliana nao masuala ya mikataba siyo mchezo,Dunia inamtambua Kabudi na ndiyo maana serikali inamkumbatia kwenye suala la mikataba kimataifa.Kama uamini subiri atelekezwe uone Kama ajachukuliwa na makampuni ya madini Duniani Kama legal consultant.
Hahaa watanzania mna akili kisoda Sana ,

Ukute uko Mpiji majohe umeshakula Viazi na pilau lako la Iddi unaona maisha yameisha.

Nani kakwambia Kabudi ni Mwanasheria ? Huyo ni Mwalimu wa Sheria na Sio Mwanasheria Mjinga wewe ,tena Sheria zenyewe ni ndoa na familia.

Yani Makampuni ya madini Yapigane vikumbo kumchukua Mwalimu WA Sheria za ndoa na familia hahahaha . Huo ujinga mnafanya nyie manyani mlioko Tanganyika wenye kichwa kama chako
 
Maisha aliyonayo wewe huwezi kufikia hata 1% tu mpaka unakufa. What a useless keyboard warrior.
Ana maisha gani sasa huyu mzee ,anashindwa hata na wakinga wa kariakoo,labda kujua kingereza
 
Maisha aliyonayo wewe huwezi kufikia hata 1% tu mpaka unakufa. What a useless keyboard warrior.
Una maanisha maisha gani ww uvccm ! Maisha ya kula pesa za dhuruma walizopora watu kwenye akaunti zao wakiongozwa na kayafa ,! Pesa za Laana wataishia kuugua magonjwa yasiyopona wao na kizazi Chao mpyuuuuuu
 
Maisha aliyonayo wewe huwezi kufikia hata 1% tu mpaka unakufa. What a useless keyboard warrior.
Ishu sio maisha. Ukila keki...unakunya Hela....ukila dagaa unakunya....Hela.

Wanakula Baga ...wote mule mule....wanadamu washamba Sana.

Mwishowe maskin anamaani kuliko huyo unayedai ana kila kitu
 
Mtoa mada, akili yako ndogo. Prof Kabudi ni matawi ya juu sana na sisi watanzania tunamheshimu sana. Ametutoa kimasomaso kwenye mikataba kama nchi. Ni mtu mwenye heshima sana na ataendelea kuwa hivyo.
Ndio wewe eeee nini..muandiko ule ule
 
Profesa Kabudi mtu aliyeaminiwa sana na JPM Katika kutoa speech za utangulizi na kupiga mikwara au kutisha viongozi Wengine kwa mikwara Sasa anazurula saba saba kama Raia wa kawaida sana sana

Huyu ni moja ya wale waliojiita Wazalendo, Hawakuhitaji mjadala na mtanzania yeyote wakasahau kumbe kuna wazalendo walikufa Vita vya Kagera, Majimaji na Wengine walimfuata mkoloni akiwa na ulinzi wa kutisha na mafarasi wakidai uhuru wa Tanganyika pale magogoni

Prof Kabudi ni moja ya watu walioamini wao ndio watanzania wenye akili kuliko Wengine, Walijisahau na kuamini hakuna anayeweza kuongoza nchi hii zaidi ya wao kipindi cha miaka mitano

Tangu tupate uhuru waliamini wao ndio wameleta Maendeleo hapa Tanzania kuanzia mwaka 2015 mpaka 2020,Waliamini barabara zote za kikoloni pamoja na reli wamejenga wao, Shule zote kubwa Tanzania za kikoloni na zile za msaada wa Denmark walisema wamejenga wao

Profesa Kabudi aliamini maneno yake anayotamka mdomoni ni sheria na inabidi yafuatwe kama yalivyo, Kundi Lao hawakutaka mawazo mbadala

Zuhura Yunus sasa yupo Ikulu, Kabudi aliwahi hojiwa na Zuhura Yunus BBC kuhusu watu wanaotekwa Tanzania, Profesa aliishia kutoa macho ya hasira na dharau, Leo Kabudi hawezi kwenda kwa Rais bila kupitia kwa Zuhura Yunus

Kutoka kuvaa suti masaa ishirini na nne mpaka kuvaa Mashati ya draft na vitenge saba saba

Kweli Dunia duara, Kikubwa asiwaze sana Mzee KabudiView attachment 2286641
mtoa post ni zero brain wakutupwa hata ungesemaje na hata kama sikujui mkuu wewe kabudi siyo level yako kimaisha hata kielimu pia na pia uwezo wa kupambanua mambo humzidi kwa lolote! mwenzako anajuwa alichifanya kwenye kampuni ya madini ya barrick anajuwa siri zote kuhusu hilo! usione amekaa na mashati hayo ukafikri yupo kama wewe unayeamka na kujadili mtu.
 
Maisha aliyonayo wewe huwezi kufikia hata 1% tu mpaka unakufa. What a useless keyboard warrior.
Profesa dizain hii ndiyo walikuwa wanakubalika na Jiwe, Jiwe alipenda watu kama hawa ili awaburuze. Ukiwa uko vizuri kichwani anakupiga chini, mtu makini kama Assad kwa jiwe ilikuwa hutoboi. Watu kama Bashite, Saambaya na the likes hao ndiyo walikuwa watu wake.
 
Sasa pamoja na kuzurura wewe umemzidi nini kimaisha?Zuhura ana hadhi gani ya kumfanya Professor Kabudi apitie kwake kumuona Rais? Wewe Kapuku ndiyo lazima upitie kwa Zuhura,uyo mwenzio anapiga simu direct kwa Mama.

Mkuu nakushauri, kama unapenda kujadili maisha ya watu,uyo siyo level yako,Kabudi ana profile nzinto,wewe kukaa na vigogo wa Barrick unajadiliana nao masuala ya mikataba siyo mchezo, Dunia inamtambua Kabudi na ndiyo maana serikali inamkumbatia kwenye suala la mikataba kimataifa.

Kama uamini subiri atelekezwe uone kama ajachukuliwa na makampuni ya madini Duniani Kama legal consultant.
Acha jazba.
 
Una mawazo ya kimasikini sana. Fanya kazi, mwenzio mwendo ameumaliza.
Kila mmoja mwendo ataumaliza tu, shida je unaumalizaje? Kuumaliza mwendo kisha watu wafanye sherehe kama wananchi walivyofanya kwa Jiwe siyo kitu kizuri
 
Sasa pamoja na kuzurura wewe umemzidi nini kimaisha?Zuhura ana hadhi gani ya kumfanya Professor Kabudi apitie kwake kumuona Rais? Wewe Kapuku ndiyo lazima upitie kwa Zuhura,uyo mwenzio anapiga simu direct kwa Mama.

Mkuu nakushauri, kama unapenda kujadili maisha ya watu,uyo siyo level yako,Kabudi ana profile nzinto,wewe kukaa na vigogo wa Barrick unajadiliana nao masuala ya mikataba siyo mchezo, Dunia inamtambua Kabudi na ndiyo maana serikali inamkumbatia kwenye suala la mikataba kimataifa.

Kama uamini subiri atelekezwe uone kama ajachukuliwa na makampuni ya madini Duniani Kama legal consultant.
Hivi Kabudi ndiye alisema ametolewa Jalalani au mimi nimechanganya mafaili?
 
Back
Top Bottom