Siku itafika na wewe utaposit ili ufarijiweMisiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Siku itafika na wewe utaposit ili ufarijiweMisiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Jana ulikuwa unajimwambafy na kutuletea ngonjera za kishirikinaMsiba haujawahi kuleta furaha
Ulitaka wafanyeje.Unataka tufanyeje!!?
Yani mnaripoti tu ila hamna la kufanya.
Natala mfanye hivi;Unataka tufanyeje!!?
Yani mnaripoti tu ila hamna la kufanya.
Endelea na utumwa wa fikra wa kuwapigia wamarekani makofi kama vile wao hawafi 🙄🙄Jana ulikuwa unajimwambafy na kutuletea ngonjera za kishirikina
Hifadhi maneno haya, yatakusaidia kurudisha akili uliyoporwa.Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Corona ni real. Kama huamini mtafute Rais wa Brazil alieiletea Corona dharau. Mtake kauli LeoEndelea na utumwa wa fikra wa kuwapigia wamarekani makofi kama vile wao hawafi
Kwani alikuwa anasumbuliwa na nini; labda tujaribu hivyo.Chanzo cha kifo taarifa ya daktari bado haijatoka.
Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Sio maprofesa tu,R.I.P prof, naona ni mwezi wa maprofesa maana hata wiki haijaisha tumempoteza Prof. Mpangala wa Chuo kikuu cha Kikatoliki cha Ruaha huko huko Dodoma. Tuendelee kuchukua tahadhali.......
Usidanganyike.Usiogope,
Chukua kila aina ya tahadhari,
"JITIHADA ZA KUJILINDA NI ZAKO BINAFSI"
CHUKUTA HATUA
Kwahiyo hadi uambiwe kwamba ipo!??Natala mfanye hivi;
1. Muache unafiki wa kuwadanganya watanzania kuwa Tanzania hakuna Corona.
2. Muwaeleze wazi watanzania kuwa ugonjwa upo wachukue tahadhari kama mnavyopigaga kampeni za kisiasa, na sasa mpige kampeni juu ya jamii kujikinga na ugonjwa kwa kufuata kanuni za afya.
Yaani tumeripoti na kuwaeleza la kufanya!!!