Wewe ni profesa lipumba-VU!!!Acha upumbavu !
Wewe ni profesa lipumba-VU!!!Acha upumbavu !
Hivi Prof Mpangala alizaliwa liniR.I.P prof, naona ni mwezi wa maprofesa maana hata wiki haijaisha tumempoteza Prof. Mpangala wa Chuo kikuu cha Kikatoliki cha Ruaha huko huko Dodoma. Tuendelee kuchukua tahadhali.......
Itakufuata tu hii kitu bado formula yake haija julikanaHuko dar siji hata mnirushie nauli.
Rest easy professor, madini yako yatabaki kutumika vizazi na vizazi😪
Ipo kawaida sema asaiv kila msiba wa mtaani unafunguliwa Uzi wa tanzia ndomaana unaona kama takwimu zimepanda!!Kwahio imeongezeka, pungua au ipo kama kawaida ? Huenda mwezangu una data za kutosha kwahio kabla sijakushangaa naomba unifahamishe...., sababu mimi kwa akili ya haraka haraka hii miezi naona kama ni above average...
mkuu misiba ya wanazuoni ya huko nyuma ilikuwa haifunguliwi nyuzi za tanzia, ila asaiv kwa vile kuna attention ya hivi vijimafua, kila msiba unafunguliwa tanzia ili kuzua taharukisijaona tanzia ya ajari mkuu kuwa mkweli mambo si mambo alafu inapiga wanazuoni sana sijajua shida nini
Na hii inatokana na research uliyofanya au ? na hata mitaani kuna mtandao ?Ipo kawaida sema asaiv kila msiba wa mtaani unafunguliwa Uzi wa tanzia ndomaana unaona kama takwimu zimepanda!!
Ni maarufu kwa maeneo yao kazi, huku kijijini kwetu nanjilinji hata hawafahamiki!Kwanini hamtaki watu wapost wakati waliotutoka ni watu maarufu kwenye kada zao??
Kama siku itatokea naamini itakuwa kwa Sababu ingine lkn si kwa hivi vijimafua!!Siku itafika na wewe utaposit ili ufarijiwe
Hivi vijimafua vimeondoka na akili za wadau wengi, mpaka mnavihofia zaidi ya Kansa!Hifadhi maneno haya, yatakusaidia kurudisha akili uliyoporwa.
Tumeshaelewa sijui unawaongelea kina nani wasielewa?Corona ni real. Kama huamini mtafute Rais wa Brazil alieiletea Corona dharau. Mtake kauli Leo
Hamuwezi kutuletea tiba za vikombe miaka hii. Soon tutaongea Kiswahili wote
Dodoma ndio kuna mdudu mwingi sasa hvHuko dar siji hata mnirushie nauli.
Rest easy professor, madini yako yatabaki kutumika vizazi na vizazi😪
Wasomi wabongo bana sijui bongo zenu zimeingiwa na kamasi la mnyama gani? Yaani hivi vijimafua vimewapanikishi mpaka hamjui nini cha kufanya, kama hivi vijimafua mnaviona ni hatari kwanini mnasubiri mpaka muulekezwe na serikali? Nyie si mna akili sana fanyeni mnachoona ni sahihi, make wengine tukisema misimamo yetu mnaiita siasa!!Uza ubongo huo ubongo huo dogo, acha kuendekeza siasa za kishamba.
Hapana mzeeKwani tanzia inahusu kifo kinachotokana na ugonjwa pekee?
Mbona pale mjengoni hatimbi vzr vzr🤣🤣🤣Dodoma ndio kuna mdudu mwingi sasa hv
Wadudu bado wanazunguka...Mbona pale mjengoni hatimbi vzr vzr🤣🤣🤣
Ngoja nianze zile kazi tulikuwa tunaziandika kwenye maarifa ya jamii tukisoma ramani kuwa kuna hunting and gathering 😆😆😆😆Itakufuata tu hii kitu bado formula yake haija julikana
Ni maarufu kwa maeneo yao kazi, huku kijijini kwetu nanjilinji hata hawafahamiki!