TANZIA Profesa James Lwelamira wa Chuo cha Mipango-Dodoma afariki dunia hospitali ya Benjamin Mkapa jijini Dodoma

Unataka tufanyeje!!?

Yani mnaripoti tu ila hamna la kufanya.
Natala mfanye hivi;

1. Muache unafiki wa kuwadanganya watanzania kuwa Tanzania hakuna Corona.

2. Muwaeleze wazi watanzania kuwa ugonjwa upo wachukue tahadhari kama mnavyopigaga kampeni za kisiasa, na sasa mpige kampeni juu ya jamii kujikinga na ugonjwa kwa kufuata kanuni za afya.

Yaani tumeripoti na kuwaeleza la kufanya!!!
 
Misiba haijaanza Jana ipo tangu awali, sema hiki kipindi cha vijimafua vya corona watu mmekuwa attention na misiba, ndo maana kila msiba hata wa ajali watu mnaposit Uzi wa tanzia.
Hifadhi maneno haya, yatakusaidia kurudisha akili uliyoporwa.
 
R.I.P prof, naona ni mwezi wa maprofesa maana hata wiki haijaisha tumempoteza Prof. Mpangala wa Chuo kikuu cha Kikatoliki cha Ruaha huko huko Dodoma. Tuendelee kuchukua tahadhali.......
 
Endelea na utumwa wa fikra wa kuwapigia wamarekani makofi kama vile wao hawafi
Corona ni real. Kama huamini mtafute Rais wa Brazil alieiletea Corona dharau. Mtake kauli Leo

Hamuwezi kutuletea tiba za vikombe miaka hii. Soon tutaongea Kiswahili wote
 
R.I.P prof, naona ni mwezi wa maprofesa maana hata wiki haijaisha tumempoteza Prof. Mpangala wa Chuo kikuu cha Kikatoliki cha Ruaha huko huko Dodoma. Tuendelee kuchukua tahadhali.......
Sio maprofesa tu,
hilo dude linapiga kote kote kama panga boi
 
Natala mfanye hivi;

1. Muache unafiki wa kuwadanganya watanzania kuwa Tanzania hakuna Corona.

2. Muwaeleze wazi watanzania kuwa ugonjwa upo wachukue tahadhari kama mnavyopigaga kampeni za kisiasa, na sasa mpige kampeni juu ya jamii kujikinga na ugonjwa kwa kufuata kanuni za afya.

Yaani tumeripoti na kuwaeleza la kufanya!!!
Kwahiyo hadi uambiwe kwamba ipo!??
Pole.
 
Back
Top Bottom