Ninachokijua tu ni Wewe Kukazwa nao sana.Objection, eleza unachokijua wewe sasa kama sio wivu unaokusumbua.
Am I Stupider than your Mum / Mama?Hili jamaa ni very stupid asf, anashambulia watu bila kuangalia hoja
Hakuna asiyejua tabia yako ya kuuza kalio zilizokomaa hapo kawe na wateja wako wakubwa ni wanajeshi, ngoja tukuandalie file lako wewe popoma uliyekosa malezi ya baba yako mzazi.Ninachokijua tu ni Wewe Kukazwa nao sana.
Umeshahama katika hiyo Nyumba hapo iliyo jirani na Mtaro Mkubwa na Umeshalipa Kodi ili usije kutolewa Mizigo yako na hilo Kochi lako bovu, chafu na lililooza?Hakuna asiyejua tabia yako ya kuuza kalio zilizokomaa hapo kawe na wateja wako wakubwa ni wanajeshi, ngoja tukuandalie file lako wewe popoma uliyekosa malezi ya baba yako mzazi.
naungana na wewe kuhusu hili.Ufaulu mzuri kwenye cheti kama ndio kigezo ubightness tutakuwa tuna jidanganya tena sana jambo ambalo naona nilamsingi ifanyike veting kuazia madarasa ya chini tunapo taka ku recruite watu wakada flani ambayo ni sensitive katika nchi vinginevyo tutakuwa tunajidanya .kufaulu mtihani mmoja wa mwisho kwa kupata one sio kigezo cha exceptional ability in learnig and reasoning kuliko waliopata div two au div three.Mightier umesoma maoni haya ya huyu member? Hata mimi nakubaliana naye kwa asilimia zote. Nitafafanua: Siyo kwamba nakataa huko polisi au jeshini wasiajiriwe watu wenye uwezo mzuri wa kielimu, la hasha. Wasiwasi uko kwenye namna hizo division one zinavyopatikana. Sasa hivi kuna mashindano makubwa kati ya shule na shule, na mwanafunzi vs mwanafunzi ya kupata pass nzuri kwenye mitihani. Hili limefanya shule na wanafunzi wengi wagundue ''short-cut'' za kila aina ili kupata vyeti vyenye ufaulu mzuri. Hivyo kuajiri kwa kigezo cha ''huyu ana cheti kizuri'' bila kumpima kwa namna nyingine tutakuwa hatujatatua tatizo. Hivyo mimi naungana na mdau Ultimate kuwa cheti kizuri kisiwe njia pekee ya kuamua. Siku hizi kuna njia nyingi mno za ku-test watu ili kujua uwezo wao. Tuchanganye njia mbali mbali.
Kwa hiyo waendelee kuchukua div four na zero siyo??Kipindi tupo chuo kuna jamaa alikia anapata gpa ya 3.3, 3.4, 3.7 alikua anarange hapo kwenye mitihani ya mwisho, lkn tokea nieanza kusoma sijakutana na jamaa smart kama huyo alikuwa na uwezo wa kueleza hizi sijui financial policy monetary na mwenzie, alakua anafanya uchambuzi wa zile theory za economics alikuwa na uwezo wa kuongelea tukio la uchumi la hata mmika ya 1920 huko na natoa daza za kuaminika.
Huyu mtu alikua mzuri sana japo performance yake kwenye mitihani hii ya darasani ilikua sio kubwa sana. Lkn ukiangalia waliopata sijui first class hata kujieleza mtu hawezi wengi walisha zoea kumeza na kwenda kutapika kwenye exam room mtu unamuuliza unamaoni gani kwenye financial crisis iliyokea 2008 huko na nini kifanyike hawezi kujieleza. Kwa maoni yangu performance ya darasani isiwe kigezo namba moja huko tiss wajaribu ku tafuta njia nyingine
Naungana na jamaaKwa hiyo waendelee kuchukua div four na zero siyo??
Anamaanisha kina Isaac Newton na Albert Einstein wakawaida ?Sijui kwanini Wapumbavu hupenda mno Kujitetea na Kuuhalalisha Upumbavu wao na uliopo.
Labda division 1 ya miaka 80s or 90s si hii ninayo iona. Tusidanganyane. Wapi makazini lakini performance yao ni chini kabisa."Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.
Chanzo: Millard Ayo
Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.
Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda (walipotembelea) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.
Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo (ulipo) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.
Hawakukupima njia kubwa?Nikikumbuka nilipoenda kwenye interview ya kujiunga na jeshi miaka kadhaa iliyopita nikaambulia kupigwa KOFI kubwa sana na mgongo kisha nikaambiwa.
“ dogo nenda chuo hapa tunataka form six wenye four hukuona tangazo??” nikapoa nikaanza kurudi home nimekuwa mnyoonge.