Profesa Elifas Bisanda amemaliza kila Kitu kuhusu PT, JWTZ japo sijajua kwanini hajawataja na TISS ambako pia kuna Mapungufu kwa sasa

Sasa kazi za maofisini watafanya akina Nani?
sio Kila mtu anayaweza mafunzo ya ukakamavu.
Mwenye elimu ya juu ataingia Chaka kumkamata muhalifu?.na mshahara utakuwa Bei gani
 
"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.

Chanzo: Millard Ayo

Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.

Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda ( walipotembelea ) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.

Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo ( ulipo ) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya
 
Futa ujinga wako TISS iko vyema na naomba usi ifananishe na hayo makolokolo ambayo yako chini ya afande SIRRO.
Acha usnich Arif wewe si ndio ulipandisha Uzi kuhusu vijana wa Diwani kua zero brain Kwa kuleta mbwembwe kwenye mabaa au umejisahau
TISS wafanye vetting process ya kutosha waache kuajiri UVCCM vilaza au wale kina kamlete!
 
TISS ina watu smart sana tofouti na watu wanavyowachukulia na kipimo sahihi ni vetting wanayofanyiwa hadi kuwa recruited, kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani pia katika idara ya usalama kuna wachache ambao huaribu sifa ya idara hii iliyojaa watu makini kwa matendo yao mabovu.
 
Huna unachokijua ni Kheri tu Ukanyamaza sawa?
 
Kipindi tupo chuo kuna jamaa alikia anapata gpa ya 3.3, 3.4, 3.7 alikua anarange hapo kwenye mitihani ya mwisho, lkn tokea nieanza kusoma sijakutana na jamaa smart kama huyo alikuwa na uwezo wa kueleza hizi sijui financial policy monetary na mwenzie, alakua anafanya uchambuzi wa zile theory za economics alikuwa na uwezo wa kuongelea tukio la uchumi la hata mmika ya 1920 huko na natoa daza za kuaminika. huyu mtu alikua mzuri sana japo performance yake kwenye mitihani hii ya darasani ilikua sio kubwa sana. Lkn ukiangalia waliopata sijui first class hata kujieleza mtu hawezi wengi walisha zoea kumeza na kwenda kutapika kwenye exam room mtu unamuuliza unamaoni gani kwenye financial crisis iliyokea 2008 huko na nini kifanyike hawezi kujieleza. Kwa maoni yangu performance ya darasani isiwe kigezo namba moja huko tiss wajaribu ku tafuta njia nyingine
Mightier umesoma maoni haya ya huyu member? Hata mimi nakubaliana naye kwa asilimia zote. Nitafafanua: Siyo kwamba nakataa huko polisi au jeshini wasiajiriwe watu wenye uwezo mzuri wa kielimu, la hasha. Wasiwasi uko kwenye namna hizo division one zinavyopatikana. Sasa hivi kuna mashindano makubwa kati ya shule na shule, na mwanafunzi vs mwanafunzi ya kupata pass nzuri kwenye mitihani. Hili limefanya shule na wanafunzi wengi wagundue ''short-cut'' za kila aina ili kupata vyeti vyenye ufaulu mzuri. Hivyo kuajiri kwa kigezo cha ''huyu ana cheti kizuri'' bila kumpima kwa namna nyingine tutakuwa hatujatatua tatizo. Hivyo mimi naungana na mdau Ultimate kuwa cheti kizuri kisiwe njia pekee ya kuamua. Siku hizi kuna njia nyingi mno za ku-test watu ili kujua uwezo wao. Tuchanganye njia mbali mbali.
 
Tatizo unatumia mfano ambao unaweza kuwa wa nadra (exceptional case) kurasimisha kijumla (generalization) unachoona upungufu wa wenye viwango vikubwa vya ufaulu. Si sawa.

Tukirudi kwenye mada, ni kweli kuwa tunahitaji wasomi waliojengeka vyema kitaaluma kwenye majeshi yetu waweze kuja na mikakati ya hali ya juu na uwezo wa kutumia teknolojia za kisasa ili kuongeza ufanisi wa kazi.

Pamoja na uwezo wa kutumia nguvu, wawe pia na uelewa mzuri wa sera, sheria, kanuni na taratibu zinazoongoza kazi zao. Wafanye kazi zao kwa weledi na kuweza kuzitetea kitaalamu kwenye mahakama na tume mbalimbali zinazohusika. Hizi porojo za “viashiria”, “intelijensia”, n.k. zisiwepo.

Bado tutabakia na tatizo la siasa kuleta uswahili majeshini. Lakini litapungua.
 
Kazi zao ni Kama za laana tu ata akichukuliwa aliyesoma Sana na akili Sana, Kama amelaaniwa amelaaniwa tu.

Hebu jiulize yule alie mtolea Nape mguu wa kuku hadharan, hapo ni suala la akili au ufaham wake kulaniwa tu!
 
Mightier umesoma maoni haya ya huyu member? Hata mimi nakubaliana naye kwa asilimia zote. Nitafafanua: Siyo kwamba nakataa huko polisi au jeshini wasiajiriwe watu wenye uwezo mzuri wa kielimu, la hasha. Wasiwasi uko kwenye namna hizo division one zinavyopatikana. Sasa hivi kuna mashindano makubwa kati ya shule na shule, na mwanafunzi vs mwanafunzi ya kupata pass nzuri kwenye mitihani. Hili limefanya shule na wanafunzi wengi wagundue ''short-cut'' za kila aina ili kupata vyeti vyenye ufaulu mzuri. Hivyo kuajiri kwa kigezo cha ''huyu ana cheti kizuri'' bila kumpima kwa namna nyingine tutakuwa hatujatatua tatizo. Hivyo mimi naungana na mdau Ultimate kuwa cheti kizuri kisiwe njia pekee ya kuamua. Siku hizi kuna njia nyingi mno za ku-test watu ili kujua uwezo wao. Tuchanganye njia mbali mbali.

prof asiyejua hata mzizi wa matatizo ya nchi anayoishi huyo ni hasara kwa kada nzima na taifa kwa ujumla.

hii nchi kwa sasa mwenye akili ni yule aliyefaulu mtihani,fainali ni field kitaa,ndio kuna mtihani kweli kweli.
 
"Sasa ifike muda tuambiane Ukweli nashauri kuanzia sasa Watu wanaoajiriwa katika haya Majeshi yetu ya Polisi na Jeshi la Wananchi wawe ni wale tu waliofaulu kwa Division One Shuleni au First Class Degree Vyuo Vikuu na tuachane Kuajiri Failures katika hizi Taasisi kwani hawataweza Kusaidia kufanya Tafiti za Kisasa za Kijeshi, kuwa Wabunifu Kimedani na Kushindana na Wenzao wengine ambao wameshatuacha na huenda wanatushangaa pia", amesema Profesa Elifas Bisanda ambaye ni Mwenyekiti wa Bodi ya Vyuo Vikuu vya Polisi na Jeshi na pia ni Makamu Mkuu wa Chuo Kikuu Huria.

Chanzo: Millard Ayo

Haya Wazandiki si huwa mnajifanya Kutuchukia na hata Kututishia akina Mightier na JamiiForums Great Thinkers tukisema haya? Sasa mchukieni basi na huyu Profesa Bisanda kwa huu Ukweli wake mtupu.

Japo wanaficha na Ushauri waliopewa katika Ziara zao huko nchini Rwanda, ila Wafuatiliaji wa Mambo magumu na mazito tumeambiwa kuwa hata IGP Sirro na CDF Mabeyo walipoenda ( walipotembelea ) Rwanda waliambiwa hivi hivi kuhusu Taasisi zao kama ambavyo Profesa Bisanda ameshauri.

Tanzania inahitaji Maprofesa Makini na very Intelligent kama huyu Elifas Bisanda na kwa haya Madini yake popote alipo ( ulipo ) Mightier nakuamkia Shikamoo na hakika ulistahili kuwa Profesa na umeupiga mwingi sana juu ya hili.

Kwanini kuishia majeshini tu? Vipi marais na Mawaziri wakuu?

Kwa mtizamo huu kuna uwezekano mkubwa kuwa labda hata SSH, jiwe, chikwette hawakutufaa kuwa marais.

Au Sumaye, Lowassa, Pinda, hata Majaliwa hawatufai kama ma Waziri wakuu.
 
TISS ina watu smart sana tofouti na watu wanavyowachukulia na kipimo sahihi ni vetting wanayofanyiwa hadi kuwa recruited, kwenye msafara wa mamba kenge hawakosekani pia katika idara ya usalama kuna wachache ambao huaribu sifa ya idara hii iliyojaa watu makini kwa matendo yao mabovu.
JF kuna zaidi ya vinyonga.
 
Back
Top Bottom