Profesa Assad anunua nyumba za NSSF huko Tanga

Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Sijaona logic yako fikiria tena upya
 
Mimi siingilii kuusu kuuziwa nyumba kwa Prof CAG kwani hata bwana Mkubwa alijizolea nyumba kadhaa Dsm na Dodoma katika kuuza nyumba za serikali. kwa hiyo sioni shida wala kosa kwa wanaCCM.

Shida ni Udini na Ukabila

NSSF wakati yupo Ustadhi Dau kila Muislamu alipata ajira na ilikuwa ni kimkakati kuwajaza Waislamu wakati mwingine bila kujali Professional.

Fika UDOM (Universiti of Dodoma) Utakumbana na maushungi tu na makofia professor Mlacha na Yule Mkuu wa chuo Enzi zile wote wakiwa Waisalami wamejaza watu kidini sana tena kimkakati. prof Mlacha Yeye licha ya udini pia amewajaza wabare wa kila rangi hapo Udom.

Kuhitimisha tu ni kwamba CCM IMETUALIBIA NCHI IMELETA UDINI NA UKABILA.

Sitaki na wala sithubutu kuzungumzia Utawala huu kuhusu ukabila kwa maaana wote ni watu wazima wenye macho na ufahamu kipi kinaendelea.
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Tumesikia ila udhaifu wa CAG unaozungumza hapa, hata kama ni kweli. Hauondoi ukweli uliousema wa kuwa Binge ni dhaifu
 
Mbona zile magu alizouza kwa bei chee na kuhonga hujazisemea ??

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kabla ya kumhukumu Profesa Asad tuanze kwanza na yule aliyemuuzia hawara nyumba ya serikali
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
HAISAIDII KITU NI UJINGA.NANI KACHUKUA TRION 1.5??? MELI MBOVU??
 
kumbe alinunua kabisa? daa huyu Prof Assad inaonekana ni wale watu wazalendo kweli aisee. wengine walijigaia lakin yeye kwa jins alivyo smart alinunua kihalali. nataman kila mhimili uwe na kiongoz kama Assad.hawa ni watu adim sana kwenye ulimwengu wa leo.
 
Kwanini usiyaseme haya tangu awali? Mnafiki wewe
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
haya tunaomba ajitokeze hadharani akanushe tuhuma za mitandaoni lasivyo anavuliwa nyadhfa zake zote😛😛😛
 
Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau
Sheria zipi
 
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.

Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.

Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.

Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.

Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.

Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
kwenye introduction hujaweka kama ni ile ile move ya siegi vs sipiker.
 
Weka ushahidi hapa.

Sent using Jamii Forums mobile app
ukiwekwa ushahidi inabidi aende mahakamani kabisa na sio aje kukanusha mitandaoni. Inamaana wewe nyumba zilizotajwa huko juu hujazisoma, zifuatilie hizo nyumba utagundua mmiliki na hatimaye namna alivyozipata na ndio ushahidi huo
 
Hebu bana matako we pimbi....kipindi cha Dau. mimi binafsi nilikuwa nafanya kazi pale NSSF....udini wa pale ulikuwa siyo wa nchi hii labda Iran au Saudi Arabia huko....makafiri tulinyimwa fursa zoote mpaka hata safari za ndani zilikuwa shida....na Mungu amewalaani sasa
Wewe kweli kichaa nimekwambia ukizungumza udini naomba unieleze nasasa kunahali gani pia unieleze teuzi za mkuu wa sasa zinazingatia au zinaondoa huwo udini? Ilihoja yako iwenamashiko pia nikwambia katika uzaji wanyumba zaserekali uliongozwa namkuu wa sasa je hakununua hata moja kwani Mimi naimani kununua sio kosa kosa nikujichukulia kuwa kiongozi hakukutoi kuwa mtanzania unakuwa nahaki kama mtz mwingine jibu maswali haya acha sijui Iran sasa wewe unapenda hivi twende kivatikani vatikani bado msemo wayule kiongozi unasimama kunawatu wanajiona wao wanahaki kuliko wengine
 
Hahaha mengine hata kuyajadili humu hayana maana, wao wanasema kila kitabu na zama zake. Zama za kikwete zimepita hizi ni zama za Magufuli.

Pia mleta uzi ni mnafiki mbona hajawataja wote waliouziwa nyumba na NSSF?au tu sababu Assad kawapasha wabunge?mleta uzi kama naye anataka nyumba za NSSF akazinunue au aende NHC kila leo wanajenga na kuuza na kama hana pesa akae kimya.
 
Hamuwezi kumpata Proffesor Kizembe hivyo wehu mmejazana ccm huko wajingawajinga tu.
 
Back
Top Bottom