Kama kuna kosa mamlaka zichukue nafasi yake, kutuandikia umbea humu inatusaidia nini?Mkuu pumba hapo ni ipi, labda utusaidie alikokosea maana ni kosa mtu aliye na conflict of interest ku own asset ktk organization anayosimamia tena akiwa mteule wa serikali ku oversee interest za serikali mahali hapo.
Kwa ujumla hakuna mtu yeyote aliyekuwa na madaraka awamu ya 3 na 4 ambaye hana makandokando, including Mkulu. Hizo ups and downs hazina maana kuwa watu hawafanyi kazi kwa weledi.Mkuu nyumba syo za umma bali nssf nasheria hazimruhusu kama board member ajihusishe kwa namna yoyote kununua mali ambazo yeye ni member,pia hiyo haiondoi ukweli wa bunge kuwa dhaifu, ila tu na yeye ni dhaifu alishindwa kumdhibiti dau
Kanuni za zamani utumishi wa umma zilikuwa haziruhusu, sina hakika kama zimebadilishwa.Mkuu pumba hapo ni ipi, labda utusaidie alikokosea maana ni kosa mtu aliye na conflict of interest ku own asset ktk organization anayosimamia tena akiwa mteule wa serikali ku oversee interest za serikali mahali hapo.
Assad mdini sana, alipokuwa dean pale mlimani kwenye skuli ya biashara alihakikisha anaajili wale wenye visuruali vifupi na ushungi bila kujali sifa, tofauti na mategemeo ya wengi yeye dini kwake ilikuwa kigezo cha ajira na uwajibikaji. Pia alipoteuliwa kuwa CAG, alitumia hela nyingi sana kukaratabi nyumba ya CAG bila kufuata taratibu.Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.
Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.
Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Akiwa wazir wa ardhi nyumba na makazi dr.John Pombe Magufuli alijiuzia kwa upendeleo nyumba tatu (3) za serikali. moja alimuuzia mdogo wake aitwaye Mussa ambaye hakuwa mtumishi, nyingine alimuuzia hawara yake ambaye hakuwa mtumishi pia na nyingine yye mwenyewe.Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.
Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.
Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Profesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.
Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.
Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Unaleta tuhuma halafu unaingia kwenye udini. Kwanini hii nchi Muislamu akiteua na ikatokea wateuliwa ni Waislamu atatuhumiwa udini na upendeleo lakini haya yanayoendelea kwa wakati hakuna anaehusisha na udini. WAISLAMU MKAE MKIJUA YA KUWA NI WANANCHI WA DARAJA LA PILI NCHI HII. TULIENIProfesa Assad akiwa mjumbe wa Bodi ya NSSF miaka michache iliyopita na tena akiwa ni mjumbe kwenye kamati ya Bodi ya uwekezaji ya NSSF(MIC) alijinufaisha katika kununua nyumba za NSSF huko Tanga bila kujali conflict of interest.
Nyumba hizo zilizouzwa pia kuna Mkurugenzi mmoja wa NSSF, Bwana Kidula ambaye nae alikuwa Mwenyekiti wa Bodi ya Tenda ya Menejiment ya NSSF naye alijitwalia nyumba kadhaa za Tanga na Dodoma.
Katika kipindi cha Dau NSSF, mauzo ya nyumba yalifanyika kwa upendeleo mkubwa ili watu wake wazinunue. Mfano nyumba za Kijichi zilipata wateja wengi ila waliambiwa zimeisha kumbe ni uongo ili ziweze kugawiwa jamaa zake kupitia majina ya wake zao na jamaa zao.
Kwa mfano kuna mtoto wa profesa Mlawa (rafiki wa dau) ambaye yuko NSSF alijipatia hizo nyumba kwa usiri mkubwa. Zoezi la kuwauzia nyumba wafanyakazi wa NSSF lilifanyika kwa ubaguzi maana wale makafiri au wagalatia kama walivyokuwa wanaitwa na wenzao( wakati huo) walifichwa kuhusu uuzaji huo.
Hayo yote aliyajua Prof Assad lakini hakuchukua hatua zozote tena zaidi alikuwa Mwenyekiti wa BOARD YA AUDIT COMMITEE.
Huyo ndo Assad ambaye anataka sasa kufanya kazi zake kwa weledi mkubwa akisahau wakati wa Dau NSSF ilikuwa na madudu ya kufa mtu.
Za serikali zenyewe ni ruksa Waziri kujiuzia...?Nyumba za serikali na za nssf tofauti
nafikiri mjadala ufungwe kwenye hii comment.Naona wajumbe wa kamati ya maadili ya bunge mmeanza kuvujisha maswali ya Profesa Assad siku hiyo ya wito.
Ni hivi, hilo suala la nyumba za umma linaanza na mkuu wa nchi na wala hutajasahau kwa hivyo, na hili haliondoi ukweli kuwa bunge ni dhaifu fullstop.
Je ,wale waliokua mawaziri wakakaa kikao wakaamua kuuza nyumba za serikali ,wakauza kwa bei ya hasara na kulitia taifa hasara kubwa mpaka leo na wa kujinufaisha kwa kuzinunua na hata kununulia wake zao na watoto wao wachanga. Hao unasemaje kuhusu kiapo chao kwenye maadili ya uongozi?Tunaomba uchunguzi ufanyike ktk hilo ili kumsafisha na tuhuma hiyo.Kama kweli alishiriki kununua nyumba akiwa mjumbe wa board nssf basi awajibishwe.