Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Usibadili somo. Suala hapa sio faida au khasara. Ila ni uvunjifu wa sharia.

Mamlaka aliyopewa kama Waziri wa Ardhi wa Tz, je ana uwezo wowote kuweza kuiwakilisha JMTz katika suala la mahusiano ya kimataifa kama hilo?

Kwanini membe asiwasilishe ombi hilo kwa kufuatana na wataalamu na hata waziri huyo na wengine kutoka wizara ya Ardhi?

Kwanini Tibaijuka? au alitaka kujionyesha kwa UN kuwa naye sasa ni waziri?

Amevunja sheria za muungano , kwani mamlaka aliyopewa kisharia hayamruhusu kabisa kushughulikia mambo ya Znz au muungano.

Sasa mtafanya nini? Maana Tibaijuka hatajiuzulu na wala ombi la Tanzania UN halitaondolewa. Tukijua kuwa hupo sahihi, tukakuelewesha, na hutaki kuelewa, sisi hatuwezi kuungana nawe katika kutokuelewa kwako badala yake tutasonga mbele. Imani yetu ni kuwa siku moja utapata uelewa na kujua faida ya kilichofanyika, usipoelewa wewe, wataelewa watoto wako, wasipoelewa watoto wako, wataelewa wajukuu zako. Hii mada imetosha sasa, tujadili mambo mengine ya maana, Jussa furaha yake ni kubishana, sisi furaha yetu ni kujenga nchi, tukiendekeza matakwa ya Wazanzibari yasiyo na msingi baadaye Tanzania nzima itadidimia kama ilivyo Zanzibar leo.
 
Usibadili somo. Suala hapa sio faida au khasara. Ila ni uvunjifu wa sharia.

Mamlaka aliyopewa kama Waziri wa Ardhi wa Tz, je ana uwezo wowote kuweza kuiwakilisha JMTz katika suala la mahusiano ya kimataifa kama hilo?

Kwanini membe asiwasilishe ombi hilo kwa kufuatana na wataalamu na hata waziri huyo na wengine kutoka wizara ya Ardhi?

Kwanini Tibaijuka? au alitaka kujionyesha kwa UN kuwa naye sasa ni waziri?

Amevunja sheria za muungano , kwani mamlaka aliyopewa kisharia hayamruhusu kabisa kushughulikia mambo ya Znz au muungano.

What is your nationality?
 
[My Take:

Kwa kosa alilolifanya kupeleka ombi Un Pasi na kupata baraka za baraza la wawakilishi Znz wakti anajua fika suala la ardhi sio suala la muungano ni utovu mkubwa sana wa nidhamu na kutaka kufanya ubabe na kuvunja katiba ya Muungano na ile ya Zanzibar. Kiungwana anatakiwa ajiuzuru.
Your take ina makengeza! Kwa vile Tanzania kama nchi hutambulika kwa mipaka yake, na kutaka kuongeza mipaka hiyo ni jambo halali kwa vile mipaka hiyo ni ya Tanzania, na si ya Zanzibar ama Tanganyika! na km ambavyo imeshafafanuliwa na Katibu Mkuu wa wizara moja ya Tanzania kuwa Wajumbe kutoka zanzibar walishirikishwa kikamilifu katika mchakato huo kuanzia hatua za awali...sasa kinachovumishwa sasa hakina mshiko wala maslahi kwa zanzibar ama Tanzania. Ni ubinafsi uliokubuhu.[/QUOTE]

Hivi wewe ndiye KAPONGO ninayemfahamu mimi?.
 
Sijapata kuona watu wabishi na wanaopenda kugeuza maneno hapa duniani kama wanzazibar.
Mfano mdogo ni huyu Barubaru mnaemuoana hapa na avatar yake original....zee zima,lakini bishi kaa mshii...

Kinachoshindanishwa hapa ni hoja si matusi wala kejeli.

kwani miaka 46 ni uzee siku hizi? Ok kumbuka mie ni mwarabu original kwa baba na mama.

 
[h=2]
icon1.png
Jibu la prof sheriff kwa prof tibaijuka[/h]
HABARI ZENU,

The controversy about the extension of the sea boundary has come at the right time when Zanzibaris have shown that they will no longer be hijacked when their vital national interest are at stake, regardless of party affiliation. It was rather disingenuous for Prof Tubaijuka to try to introduce party divisions when she claimed that CUF was claiming that Zanzibar was not consulted. If she heard the debate in the House of Representatives, it was almost unanimous, and prominent CCM backbenchers made a point of saying that this was not the question of CUF but of the whole of Zanzibar. She should not try to divide Zanzibaris again. We have suffered enough from such tactics.

It seems that mainland leaders feel that if you have a few Zanzibaris in your gang, then Zanzibaris are represented – and it is never difficult to get a few vibaraka, as we know all too well from our history. The question is whether the people in Zanzibar even knew this business was cooking – certainly the House of Representatives, a body that was elected by the whole people of Zanzibar, did not know about it until the professor was in New York presenting the document to the UN. I and many of my friends who try to keep up with events affecting our country were taken by surprise.
Prof Tibaijuka may be right that some people even in the Zanzibar Government may have been aware of this project, but the Minister of Lands in Zanzibar, Mr Shamhuna himself said in the House of Representatives that he know about it, but the Zanzibar Government did not know it officially. The Executive Summary of Tanzania's submission to the UN has 2 long lists of institutions and people who were involved in this project, but mentions only Shamhuna's Ministry of Lands out of 9 institutions, and only one State Attorney from Zanzibar out of 8 members of the Technical Core Group. Now Professor Tubaijuka mentions a few more names of Zanzibari ‘representative', including my friend and former student Zakia Meghji, but if my memory serves me right, she used to be an MP for Moshi, and has never pretended to be representing Zanzibar except as a person who was born in Zanzibar. This is definitely a case of desperation in looking for Zanzibari faces.
But all this still does not cover the substantive issue involved. It is well known that Foreign Affairs is a Union matter, and therefore any dealings with the UN has to involve the Minister of Foreign Affairs, even if the exact issue involves only one side of our Union. There are plenty of cases when this has been done about issues concerning non-Union matters of Mainland Tanzania. Therefore, it is not a favour to Zanzibar that once in a while the Ministry of Foreign Affairs has to take up the case when Zanzibar's interests are concerned – it is our right, iof we are part of the Union. The same applies to the defence of Tanzania's territorial boundaries, which include the now extended boundaries in the Indian Ocean – that is its responsibility.
But this does not mean that the Union Government therefore becomes the owner of all the resources within the territorial boundaries of Tanzania. The Articles of Union had defined 11 Union Matters that came under the Union Government, and the sea is not one of them. Since 1964, the Union Matters have been increased to 22, illegally according to Prof. Shivji, but even in this extended list you will look in vain for the blue seas. It is for this reason that Prof. Tubaijuka is the Minister of Lands, Housing and Human Settlements Development (all non-Union matters), but the seas are not included. Why she was sent and not the Minister of Foreign Affairs is for the Union President to explain.
Therefore, it has to be admitted that since the oceanic resources are not a Union matter, but are of vital concern for the islands of Zanzibar which are surrounded by the sea on all sides, the people of Zanzibar have a direct stake in what is decided about their resources. And here it is not enough to mention a few names, however, highly placed they may be, and say Zanzibaris were represented.
The same argument was used in the case of the first draft of the Constitution Bill. Former Speaker Samuel Sitta claimed that Zanzibaris were consulted, naming the Zanzibar Minister of Good Governance and the AG, but it turned out that they were asked to submit their recommendations, but adopted only two out of 13, and threw the rest in the dustbin, and then went on to add many more without consulting even the Zanzibar Government.
Don't they ever learn?
What the Representative Ismail Jussa was trying to do was to teach our Big Brother another lesson, and the mainland-based Swahili newspaper dares to ask him to apologise to Prof Tubaijuka? I think it is Prof Tubaijuka and the Union Government that need to apologise to the people of Zanzibaris for trying once gain to take us for a ride. But as the old politician Hasan Nassor Moyo told Samuel Sitta, the new generation in Zanzibar is not the same as the old generation of the 1960s, and will not say ‘hewallah bwana.'
Abdul Sheriff
 
Tuzungumze facts.
Je nilichoandika hapa chini sio sahihi.
Mfano.
Wizara ya Ulinzi. Waziri Znz (Mwinyi) naibu Mtanganyika (xx)
Wizara mambo ya Ndani. . Waziri Mznz (Shamsi Nahodha) Naibu Mtanganyika (xx)
Wizara ya mambo ya nje .Waziri Mtanganyika) Membe. Naibu Mznz, Mahadhi Maalim
Wizara ya Afrika mashariki. Waziri Mtanganyika (Sitta) Naibu Mznz ( xx) N.k

Turudi kwenye mzizi mkuu wa uzi huu.
Je Tibaijuka ana mamlaka yoyote kisheria kuweza kuwasilisha suala la muungano kimataifa? Je hajavunja sharia?


Tatizo lako wewe Barubaru una KATIBA yako na "sharia" zako kichwani tu. Ukiambiwa taja ibara ya KATIBA ya JMT au sheria aloovunja Mama Tibaijuka kwa kuwasilisha ombi hili UN unabaki tu " someni katiba yenu". Ya TANZANIA yameshakupa kisogo siku nyingi ingawa unatamani sana Sultani wa Oman arudi Zanzibar. Haitakuwa. Angalau miaka 50 mingine ijayo.
 
Ngereja.

Naona wengi wa Watanganyika ni wavivu wa kusoma katiba yao na vile vile hawajui muundo wa Muungano wao.

lakin nitatumia muda kidogo kukufanulia mambo mawili matatu.

Mosi. kumbuka nchi yenu inaitwa Jamhuri ya Muungano wa Tz na SIO Tanzania.
Kuita Jamhuri ya Muungano maana yake ni kuwa kuna nchi huru zaidi ya moja hapo zimeungana nazo ni Tanganyika na Znz kuunda JMTz. Soma katiba hautaona TZ bali imeandika kama JMTz.

Pili. Kuna mgawanyika wa majukumu ya wizara zote za JMTz. nazo zimegawanywa katika sehemu mbili.
a. Wizara zenye muundo na sura ya muungano.
wizara hizi ni zile zilizokubaliwa katika mkataba wa muungano. Kumbuka Tanganyika na Znz zimeungana KIMKATABA na sio Kisheria.

Wizara hizi utaona kama waziri atatoka upande mmoja wa muungano basi naibu wake atatoka upande mwingine wa Muungano.

Mfano.
Wizara ya Ulinzi. Waziri Znz (Mwinyi) naibu Mtanganyika (xx)
Wizara mambo ya Ndani. . Waziri Mznz (Shamsi Nahodha) Naibu Mtanganyika (xx)
Wizara ya mambo ya nje .Waziri Mtanganyika) Membe. Naibu Mznz, Mahadhi Maalim
Wizara ya Afrika mashariki. Waziri Mtanganyika (Sitta) Naibu Mznz ( xx) N.k

Wizara sisizo za muungano. Hizi zinashughulikia mambo yasiyo ya muungano na mamlaka yao ni kwa tanganyika tu.
Mfano
Wizara Afya, Elimu, Ardhi, Fedha, Miundombinu, Nishati N.k



Kwa darsa dogo la hapo juu utaona wazi Tibaijuka hana mamlaka ya Kuiwakilisha nchi katika mambo ya kimataifa hususan mambo ya muungano.

Kwa issue yake aliyetakiwa kufanya hivyo ni Waziri wa mambo ya Nje. Tibaijuka alivunja sharia za Muungano. Na ndio nasema ni vyema alione hilo na ikibidi ajiuzuru.

Sasa kama una hoja lete.

Barubaru,
Muungano wetu huu wa "KIMKATABA" haupo kisheria? Mamlaka ya kumkataza Mama Tibaijuka asiwasilishe ombi hili UN yako wapi? Kifungu gani cha katiba yetu ya JMT kimekiukwa? UN wamelipokea ombi hili kama mazuzu? Mwambie Jussa &Co ajaribu kupeleka ombi kama hili kwa ajili ya Zanzibar tuone kama litapokelewa.
 
Barubaru,
Muungano wetu huu wa "KIMKATABA" haupo kisheria? Mamlaka ya kumkataza Mama Tibaijuka asiwasilishe ombi hili UN yako wapi? Kifungu gani cha katiba yetu ya JMT kimekiukwa? UN wamelipokea ombi hili kama mazuzu? Mwambie Jussa &Co ajaribu kupeleka ombi kama hili kwa ajili ya Zanzibar tuone kama litapokelewa.


Nisome vizuri utanielewa tu.
Mumeungana KIMKATABA sio KISHERIA. Na kuungana kimkataba maana yake ni kuwa kuna mambo mnakubaliana kuungana na kushirikiana .

Katika masuala ya ardhi na makaazi hamjakubaliana kabisa kushirikiana , hivyo kila upande unashughulikia wenyewe ndio maana kila upande una waziri wa wizara hii.

Lakin kumbuka Hakuna Tanzania bila Zanzibar. Kwani nje ya Zanzibar katika Tanzania kunakuwa na Tanganyika.

Sasa Tibaijuka kamuwakilisha nani huko?

soma vizuri concept zangu na kama mtaalam na mwenye kuelewa utaelewa nimenena nini.

Ijumaa njema.
 
Tatizo lako wewe Barubaru una KATIBA yako na "sharia" zako kichwani tu. Ukiambiwa taja ibara ya KATIBA ya JMT au sheria aloovunja Mama Tibaijuka kwa kuwasilisha ombi hili UN unabaki tu " someni katiba yenu". Ya TANZANIA yameshakupa kisogo siku nyingi ingawa unatamani sana Sultani wa Oman arudi Zanzibar. Haitakuwa. Angalau miaka 50 mingine ijayo.

Mbona alisharudi siku nyingi, weye ulijui hilo!!!

 
What is your nationality?

Uraia wangu sifikirii kama utakusaidia katika kujibu hoja zangu.

Ok Mimi ni Mu Oman.
tafadhali jibu hoja zangu, uraia wangu usukushughulishe.

 
Don’t they ever learn? WATANAYIKA
:eyebrows:

What the Representative Ismail Jussa was trying to do was to teach our Big Brother another lesson, and the mainland-based Swahili newspaper dares to ask him to apologise to Prof Tubaijuka? I think it is Prof Tubaijuka and the Union Government that need to apologise to the people of Zanzibaris for trying once gain to take us for a ride. But as the old politician Hasan Nassor Moyo told Samuel Sitta, the new generation in Zanzibar is not the same as the old generation of the 1960s, and will not say ‘hewallah bwana.’
 
Nimesoma makala
ambayo inaelekea kuwa
imechapishwa katika
gazeti moja la Kiswahili
kuhusu matamshi ya
Waziri wa Muungano wa Ardhi na Makazi,
Professa Anna Tibaijuka
na kufadhaishwa na
udhaifu wa ufahamu
wake katika suala
linalohusu Hoja Binafsi ya Mheshimiwa Ismail
Jussa. Kama Profesa Ana
Tibaijuka na gazeti hilo
wangefahamu Hoja
Binafsi ya Jussa basi
wasingetamka kabisa kuwa Jussa aombe
radhi, wala
asingetamka kabisa
kuwa Serikali ya
Zanzibar
ilirishirikishwa. Alichosema Jussa na
anachokisema Professa
Tibaijuka ni vitu viwili
tofauti, na kama
Professa Tibaijuka
alipita baina ya mstari kwa mstari wa Tamko
la Jussa basi kwa hakika
wao walipaswa
kuilaumu Serikali ya
Zanzibar na sio Jussa.
Lakini hata hilo la kuilamumu Serikali ya
Zanzibar halipo, kama
ambavyo nitaeleza. Anavyodai Profesa
Tibaijuka ni kuwa
mchakato si wa leo na
jana na kwamba ulianza
tokea mwaka 2007 na
wakati wote kulikuwa na ushiriki kamili wa
maafisa wa Serikali ya
Zanzibar na hata
kushiriki katika safari ya
kwenda New York
kukabidhi andiko hilo. Tukubali hilo la ushiriki
wa SMZ, lakini ndio
linalifanya jambo hilo
kwa ukubwa na upana
wake liwe halali? La. Kwanza ni haramu kwa
kuwa mwaka 2009
Baraza la Wawakilihsi
lilipitisha Azimio la
Baraza kwamba
mambo yote kuhusu mafuta na suala la
bahari na mipaka yake
litoke au litolewe na
kusimamiwa na
Zanzibar wenyewe. Kwa hivyo kuanzia
2009 mtu yoyote
aliyefanya chochote
kinyume na Azimio la
Baraza alikuwa
anakwenda kinyume na sheria na kinyume na
Katiba. Pili, kuanzia mabadiliko
ya Katiba ya Zanzibar ya
mwaka jana kuwa
Zanzibar inarudisha
mipaka yake yote
ilikuwa yake kabla ya kuja kwa Jamhuri ya
Muungano, inakifanya
kila kitu kinachohusu
mipaka kikifanywa na
Serikali ya Muungano
bila ya ridhaa ya Zanzibar ni haramu na
batili. Najua hapa kunaweza
kuwa hoja kwamba
Katiba ya Muungano ni
Katiba mama na kwa
hivyo mabadiliko ya
Katiba ya Zanzibar hayawezi kukiuka
matakwa ya Katiba ya
Muungano, lakini hilo ni
kosa kuamini hivyo kwa
sababu katiba hizo
mbili ni sawa katika ukubwa wake. Tatu, Profesa Tibaijuka
ajue kuwa Hoja ya Jussa
haijakataa uwepo wa
mipaka ya Tanzania,
lakini ilichokuwa ikitaka
ni pande mbili hizi kufahamiana ndani ya
mipaka ya Tanzania
haki za Zanzibar ni zipi
kwa sababu katika
bahari kuna suala la
uchumi, uvuvi na uwekezaji mambo
ambayo yote si ya
Muungano, Bila ya kwanza
kumalizana ndani kujua
haki za Zanzibar
itakuwa kama vile suala
la Jumuia ya Afrika
Mashariki ambapo katika Mambo 14 ya
Afrika Mashariki ni 3 tu
ambayo ni ya
Muungano na kwa
hivyo Tanzania
inaisemea na kuichukulia maamuzi
Zanzibar katika mambo
11 ambayo si ya
Muungano. Profesa Tibaijuka ni
Waziri wa Ardhi, Makazi
na Nyumba mambo
ambayo yote si ya
Muungano, anapataje
haki na uwezo wa kwenda kuiwakilisha
Tanzania na kuisemea
Zanzibar wakati katika
wizara yake suala la
bahari halimo. Na hata kama
lingekuwemo basi
bahari si suala la
Muungano na kwa
hivyo pande hizi mbili
zingebidi zikae upya kuamua kufikiria iwapo
ipo au hakuna haja ya
kulitia suala hilo katika
Mambo ya Muungano. Au kwa wakati huu
kwa kuwa si la
Muungano pande hizi
mbili lingelikabili vipi
suala hilo kama ajenda
ya Muungano. Kwamba mawaziri wameshiriki
na Serikali kutoa
wajumbe hakulifanyi
jambo hilo liwe halali
kama ambavyo
hakulifanyi jambo hilo liwe la Muungano. Pia Professa Tibaijuka
kama angemfahamu
Jussa na kwa hivyo
mawazo ya
Wazanzibari ni kuwa
hawaamini jambo lolote linalofanywa na
Serikali ya Muungano
kuhusiana na Zanzibar
na kwa hivyo chochote
kile kinapaswa kufikiwa
maamuzi na hata kukatibiana na
mapema. Sijui kama Professa
Tibaijuka anajua kuwa
shaka hii ni kubwa na
imeonekana katika
mambo kadhaa wa
kadhaa na kama anataka afaidi mtizamo
wa Wazanzibari juu ya
wanavyouona
Muungano na pingamizi
zake asome makala ya
Mwanasheria Mkuu wa Zanzibar Othman
Masoud “ Masuala ya
Muungano Yasiokuwa
na Majibu.” Hadaa, mbinu na hila
mbali na udhaifu katika
utekelezaji na maamuzi
umeonekana katika
mambo mengi kiasi
ambacho inatisha na Muungao huu umekuwa
ukenda msege mnege
na kupindana mkono
kuliko ridhaa ya upande
mmoja. Maamuzi kadhaa
yanayofanywa kwa
kuwa hayana mashiko
ya kikatiba na sheria
katika zile zinaozoitwa
kero za Muungano, yamebaki kama yalivyo
na kwa kweli asilimia
95 ya kero za Muungano
ni zile zenye kuibana na
kuikandamiza Zanzibar. Waziri Professa
Tibaijuka ambaye ni
mgeni sana katika
kilinge cha Muungano
alipaswa afahamu
taswira yote hii na asione malalamiko ya
Jussa ni ya kuzuka tu na
yasiokuwa na mashiko. Kwa kumalizia hata
kama Serikali ya
Zanzibar ilishiriki basi
wananchi wanasema
wamefanyiwa khiyana
na Serikali yao na kwa kupitia kwa Baraza la
Wawakilishi wanataka
Serikali yao ijue kuwa
ilifanya makosa
kushiriki katika
mchakato huo bila ya kwanza kujua nafasi ya
Zanzibar. Profesa Tibaijuka fikiri
jambo moja tu juu ya
Serikali ambayo
unasema ilishiriki katika
mchakato huo. Wewe ni
Waziri lakini uliyepewa kufuatana naye kwenda
New York alikuwa ni
Mkurugenzi Ayoub
Muhammed Mahmoud
wakati Wizara hiyo ina
Naibu Waziri mzima… wewe ulijisikiaje
kufananishwa na
Mkurugenzi kuwa ndio
colleague wako? Kwa hili Ismail Jussa
hana haja ya kuomba
radhi. Ni kama
alivyosema Muhammed
Ghassany mwandishi
wa habari wa Zanzibar. Mwizi anakamatwa
amemebeba vitu vya
watu anasepa navyo na
alipokabiliwa akasema,
“Mwizi mie…niombeni
radhi.” Ally Saleh
 
Safi sana. Lazima watambue uwepo wa Zanzibar na serikali yake
 
Barubaru said:
Kwa darsa dogo la hapo juu utaona wazi Tibaijuka hana mamlaka ya Kuiwakilisha nchi katika mambo ya kimataifa hususan mambo ya muungano.
Barubaru said:
Kwa issue yake aliyetakiwa kufanya hivyo ni Waziri wa mambo ya Nje. Tibaijuka alivunja sharia za Muungano. Na ndio nasema ni vyema alione hilo na ikibidi ajiuzuru.



Barubaru,

..Balozi wa Tanzania UN alikuwepo na huyo anayo mamlaka ya kumuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje.

..pia alikuwepo mwakilishi toka wizara ya Ardhi ya serikali ya mapinduzi Zanzibar.

..binafsi nadhani hili suala mnalikuza bila sababu zozote zile za msingi.

..mwanzo mlidai ZNZ haikushirikishwa kabisa, lakini imebainika kwamba Zanzibar walikuwa na taarifa toka mwaka 2007 wakati mchakato ulipoanza. Makamu wa Mwenyekiti wa Tume ya wataalamu walioshughulika na suala hili alikuwa ni afisa toka Zanzibar.


 
natamani ningekuwa rais ningeifanya zenj mkoa na hao vimbelembele kama jusa ningewarudisha kwao uaharabuni, hawa ndio wanaotududisha nyuima. Tanahitaji raisi mbabe ndio tuendelee. La sivyo hatutafika mahali. Huyu jussa ni ni mtu hatari na si mzalendo kabisa ni mamluki

Ndio maana wewe sio raisi - Jussa kwao si uaharabuni au uarabuni, kwao ni Makunduchi, Zanzibar...labda umrudishe huko, yeye ni mzanzibari halisi na asili yake sio uarabu, familia yake imekuwepo Zanzibar si chini ya generations nne, kama unataka kuwarejesha waarabu kwao basi sijui watu wangapi watabakia Zanzibar maana asilimia kubwa ya wa Zanzibar ambao familia zao zimeishi kwenye visiwa vile zaidi ya miaka 100 basi wana damu japo kidogo ya kiarabu, kwa hivyo ukitaka kuwafukuza waarabu anza na Amani Karume, Hussein Mwinyi...........nao pia wana damu za kiarabu....hujui?, au ubaguzi umekufanya usione hayo? una haki ya kuchukia/kufurahia anayoyasema Jussa lakini sio kuanza kuleta ubaguzi uliopitwa na wakati.
 
Kwanza tuangalie eneo la ardhi yetu jinsi ya kuilinda tunawauzia watu wa nje hasa majirani zetu na watu kutoka Ulaya. Bila kuangalia mapanga na vita vitakapotokea wakati wa kuidai upya. Tusisingizie uwekezaji.Kwani kwao hakuna uwekezaji? kaulize ardhi kwao ndipo upate jibu. Ardhi ya Tanzania imekuwa kama shamba la bibi kila mtu anavuna tu.
 
Hakuna cha kujiuzulu mtu hapa. Mtatokwa povu mtachoka. Tena huyu ndiye anayefaa kuwa rais wetu 2015.

Hh....povu limeshakauka . Watu wako mkao wa kula, kinachosubiriwa ni " AL -faat-ha...
 
Nilidhani unanijibu kumbe una ajenda tofauti na thread hii.. waswahili bwana... na sijui tulitoana wapi na watu wasioelewa kiasi hiki.... Lakini one day waana wa nchi wataamka na kila kitu kitakuwa shwari.. endeleeni tu kutupa mawe huku mkiwa kwenye nyumba ya vioo. Matokeo yake mtayaona na nina uhakika hakuna kitu kitakachoitwa zanzibar baada ya muungano kuvunjika. Usidhani pia bila muungano mtaendelea kutanua huku bara bila utaratibu... think loud....
Huna mpya wewe, kauli hizo alizianza dikteta Nyerere kuwatishia wazanzibari. Kaondoka yeye na Zanzibar bado ipo. Muungano una miaka 47...Zanzibar ipo kwa miaka isipungua 800. Hakuna mtu anataka Muungano wa ukandamizaji.
 
Nimetoa hoja ukashindwa kuzijadili na kuanza kuzungumza upupu wako. Nasema kwa mujibu wa katiba yenu Zanzibar haina haki ya UTK na ule wa nyongeza. Piga ua hilo halitabadilika tena mmechamba sana sasa mmeshika mavi.

Huna hoja , unaleta ushabiki...Sisi tunaelekea kuvunja huu Muungano wa ukandamizaji, ni haki yetu na hatutasita mpaka kieleweke. Na nakuahidi kipindi kisichozidi miaka 10 ,kazi hii tutakuwa tumeshaimaliza. Nendeni mkafanye Muungano na wakongo ,lakini sisi basi tumechoshwa .
 
Back
Top Bottom