Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Mwanamayu, hawa Wazanzibari ni kama mtoto mchoyo ambaye yeye anaamini kuwa sahani ya wali iliyotengwa ili wale yeye na wenzake ni kwake peke yake. Mtoto huyu yuko tayari kuificha hiyo sahani uvunguni ili wenzake wasile kabisa wakati huo akitimua mbio kwenda kwa mama yake kudai chakula kingine!!!!

Dawa ya mtoto mchoyo ni kiboko na kuamrisha chakula kiliwe chote na wenzake ili siku nyingine ajifunze kuwa uchoyo ni tabia mbaya isiyoweza kuvumiliwa.
Tamaa itawapeleka pabaya...Ukubwa wa ardhi na rasilimali zote za Tanganyika bado mnataka eneo la Zanzibar! lakini kamwe kwa hilo hatutakubali...Kama Muunagano na ufe ,lakini hatuta kaa kimya kuendelea kukandamizwa haki zetu.
 
natamani ningekuwa rais ningeifanya zenj mkoa na hao vimbelembele kama jusa ningewarudisha kwao uaharabuni, hawa ndio wanaotududisha nyuima. Tanahitaji raisi mbabe ndio tuendelee. La sivyo hatutafika mahali. Huyu jussa ni ni mtu hatari na si mzalendo kabisa ni mamluki
kweli kbisa........
 
Barubaru,

..Balozi wa Tanzania UN alikuwepo na huyo anayo mamlaka ya kumuwakilisha Waziri wa Mambo ya Nje.

..pia alikuwepo mwakilishi toka wizara ya Ardhi ya serikali ya mapinduzi Zanzibar.

..binafsi nadhani hili suala mnalikuza bila sababu zozote zile za msingi.

..mwanzo mlidai ZNZ haikushirikishwa kabisa, lakini imebainika kwamba Zanzibar walikuwa na taarifa toka mwaka 2007 wakati mchakato ulipoanza. Makamu wa Mwenyekiti wa Tume ya wataalamu walioshughulika na suala hili alikuwa ni afisa toka Zanzibar.

buka hilo ni suala zito na lina maslahi makubwa sana ya Taifa lenu.

Balozi wa UN yupo kila siku. kama ilikuwa si muhimu kwanini wasitume kwa DHL kisha balozi wenu kule azipokee na kuziwasilisha. Kwanini akina Tibaijuka na wenzake walisafiri kwenda huko?

Vile vile issue nzito kama hii kwanini Znz iwakilishwe na Mkurugenzi wakti Bara wametoa Waziri kamili. Kumbuka kuwa wizara hii ya ardhi znz ina waziri na naibu wake.

Lakin yote si kitu nitachosema hapa Tibaijuka kwa mujibu wa madaraka yake kama waziri wa ardhi tanganyika, wizara ambayo si ya muungano, hakuwa na mamlaka yoyote kikatiba kuweza kuwasilisha issue kama hiyo mambayo ni ya muungano?

Hivyo amevunja sharia za muungano. ndipo ninaposema laazima ajiuzuru tu hakuna jinsi.

Kwanza tuangalie eneo la ardhi yetu jinsi ya kuilinda tunawauzia watu wa nje hasa majirani zetu na watu kutoka Ulaya. Bila kuangalia mapanga na vita vitakapotokea wakati wa kuidai upya. Tusisingizie uwekezaji.Kwani kwao hakuna uwekezaji? kaulize ardhi kwao ndipo upate jibu. Ardhi ya Tanzania imekuwa kama shamba la bibi kila mtu anavuna tu.

Hapa ndipo pa kumshangaa Tibaijuka. Eneo la ardhi la nchi kavu limemshinda sasa anavamia na bahari pia. Hakika kwa issue hii ameingizwa choo cha kiume. l

Lazima limshuke tu.

Au alitaka kuwaonyesha UN kuwa pamoja na kumvua madaraka yake kule nairobi kuwa sasa amepata ulaji mkubwa zaidi. kazi kweli kweli.

Je wajua kashfa yake nairobi? aliajiri wafanyakazi wake wote kuanzia tarishi, mpika chai, dereva na maofisa wengine wote toka Bukoba, na ofisini kwake lugha ikawa kihaya.

Hongera mama kwa uzalendo wa kihaya.
 
buka hilo ni suala zito na lina maslahi makubwa sana ya Taifa lenu.

Balozi wa UN yupo kila siku. kama ilikuwa si muhimu kwanini wasitume kwa DHL kisha balozi wenu kule azipokee na kuziwasilisha. Kwanini akina Tibaijuka na wenzake walisafiri kwenda huko?

Vile vile issue nzito kama hii kwanini Znz iwakilishwe na Mkurugenzi wakti Bara wametoa Waziri kamili. Kumbuka kuwa wizara hii ya ardhi znz ina waziri na naibu wake.

Lakin yote si kitu nitachosema hapa Tibaijuka kwa mujibu wa madaraka yake kama waziri wa ardhi tanganyika, wizara ambayo si ya muungano, hakuwa na mamlaka yoyote kikatiba kuweza kuwasilisha issue kama hiyo mambayo ni ya muungano?

Hivyo amevunja sharia za muungano. ndipo ninaposema laazima ajiuzuru tu hakuna jinsi.

Barubaru,

..nadhani kwasababu suala hili lina umuhimu kwa taifa basi ndiyo maana ukaenda ujumbe mzito badala ya kutuma maombi hayo kwa DHL.

..kuhusu suala la ZNZ kuwakilishwa na Mkurugenzi badala ya Waziri au Naibu Waziri wanapaswa kuulizwa serikali ya Mapinduzi. Pia hoja hii imehama kutoka kuwa suala la uwakilishi wa ZNZ na sasa inahojiwa kama Waziri wa Ardhi wa ZNZ amekiuka azimio la baraza la wawakilishi.

..binafsi nadhani hoja yako ingekuwa na nguvu kama Prof.Tibaijuka angewasilisha maombi yale bila kuushirikisha ubalozi wa Tanzania UN, na zaidi bila presence ya mwakilishi toka serikali ya mapinduzi ZNZ.
 
Na Mwinyi Sadallah
23rd January 2012

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitapinga Umoja wa Mataifa (UN) kuiongezea Tanzania mipaka ya eneo la kiuchumi la bahari Kuu kabla ya kupatikana muafaka kati ya Serikali ya Muungano na Zanzibar.

naona kwamba eneo linaloombwa sio la zanziba
r wala bara. Lingekuwa la Zanzibar au lingekuwa la Tanganyika lisingeombwa. Kwa sababu Zanzibar na Tanganyika kwa pamoja ndio jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa Hiyo kinachoombwa sio chetu, na mwenye mamlaka ya kuomba sio Zanzibar bali ni Jamhuri ya muungano wa tanzania. Unapinga usichokijua.........................?
 
Suala hapa ni kuwa kwa kusoma katiba yoyote ile. Tibaijulka kama waziri wa ardhi Tanganyika. Wizara ambayo sio ya muungano hana mamlaka yoyote kisharia kuwasilisha jambo lolote lile la muungano kitaifa au hata kimataifa.

Kwani mamlaka yake kisharia ni kwa Tz bara pekee.

kama angeomba kuengeza eneo la ziwa victoria au tanganyika hapo alikuwa sawa. lakin hili la bahari tena kuihusisha Znz amevunja sharia za Muungano. ndio maana nasema ajiuzuru tu hakuna mjadala.

Suala kama hili lilitakiwa liwasilishwe na Membe waziri wa mambo ya nje. Kwani wizara yake ni ya muungano na ina kipengele cha uhusiano wa kimataifa.

prof hashuo lake ndilo limemponza. alitaka kujionyesha kule UN pasi na kujuwa hana mamlaka ya kuwakilisha kitu cha muungano.

Na Mwinyi Sadallah
23rd January 2012

Chama cha Wananchi (CUF) kimesema kwamba kitapinga Umoja wa Mataifa (UN) kuiongezea Tanzania mipaka ya eneo la kiuchumi la bahari Kuu kabla ya kupatikana muafaka kati ya Serikali ya Muungano na Zanzibar.

naona kwamba eneo linaloombwa sio la zanziba
r wala bara. Lingekuwa la Zanzibar au lingekuwa la Tanganyika lisingeombwa. Kwa sababu Zanzibar na Tanganyika kwa pamoja ndio jamhuri ya muungano wa Tanzania. Kwa Hiyo kinachoombwa sio chetu, na mwenye mamlaka ya kuomba sio Zanzibar bali ni Jamhuri ya muungano wa tanzania. Unapinga usichokijua.........................?

Kumbuka kuwa mamlaka ya Tibaijuka kama waziri wa ardhi kwa tanzania lakin sio kwa JMT.

JMT ni wote tanganyika ambao mnakataa jina lenu na kujiita tanzania na Zanzibar.

Tibaijuka hana mamlaka Znz. na kumbuka nje ya Znz hakuna JMT bali kuna Tanganyika,
 
Tamaa itawapeleka pabaya...Ukubwa wa ardhi na rasilimali zote za Tanganyika bado mnataka eneo la Zanzibar! lakini kamwe kwa hilo hatutakubali...Kama Muunagano na ufe ,lakini hatuta kaa kimya kuendelea kukandamizwa haki zetu.

Takashi
Hivi eneo lipi la bahari Zanzibar inanyanga'anywa? bara haina mwambao na ina haki kuongeza eneo la bahari?
 
Swali kwa watwana wote (wazanzibari na wanzanzibara), hivi hao viongozi wote wa Zenji walioambata na mama Tibaijuka huko UN, je walitoroka kazini? na je hawa watwana walioko serikali ya muungano kazi yao nini? Mbona hamtaki kujiuliza vitu vidogo tu? Ila picha iliyopo ni kuwa viongozi wote wa bara na Zenji hawautaki muungano, kinachoendelea ni kuwa wote wanaogopa kubeba lawama za kuvunja muungano, mwenye ubavu tu akigusa, na wala hauchukui miezi sita, kila mmoja atachukua nepi yake akimbie kwake.
 
umeongea ukweli,muungano hautakiwi!!!na ndio chanzo cha migogoro yote!.......
 
Swali kwa watwana wote (wazanzibari na wanzanzibara), hivi hao viongozi wote wa Zenji walioambata na mama Tibaijuka huko UN, je walitoroka kazini? na je hawa watwana walioko serikali ya muungano kazi yao nini? Mbona hamtaki kujiuliza vitu vidogo tu? Ila picha iliyopo ni kuwa viongozi wote wa bara na Zenji hawautaki muungano, kinachoendelea ni kuwa wote wanaogopa kubeba lawama za kuvunja muungano, mwenye ubavu tu akigusa, na wala hauchukui miezi sita, kila mmoja atachukua nepi yake akimbie kwake.

Suala lililopo mezani ni uhalali wa kuwasilisha maombi na si vinginevyo.

Na kwa taarifa yako wizara ya Ardhi tanganyika ndio iliyogharamia safari za wote. sasa jiulize je walikuwa na bajeti ya kuwasafirisha watu wasio wafanyakazi wao.

lakin kubwa ni kuvujna Sheria kwahuyu mama na kuvamia mambo ya muungano ambayo yeye hayamukhusu hata kidogo kwa mujibu wa katiba ya JMTz na ile ya Znz
 
Takashi
Hivi eneo lipi la bahari Zanzibar inanyanga'anywa? bara haina mwambao na ina haki kuongeza eneo la bahari?
Eneo lanalo ombwa ni mashariki ya Zanzibar, ukiangalia ramani ni upande wa kulia ya Zanzibar...Sasa hapa Tanganyika wanahusika vipi? Eneo limepakana na eneo la bahari ya Zanzibar, kwahiyo haki ya kuomba eneo ni Zanzibr.
 
Eneo lilioombwa ni eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuana suala la Tanganyika wala Zanzibar kwenye ECS. Mipaka ya JMT imetajwa vizuri kwenye katiba.
 
Mtwana Takashi,

Hivi kwani nini msiwaombe wabunge wenu wagome kwenda Dodoma? huyo Seif Idd si ni bunge? mwambieni kama atakubali kukosa marupurupu, kuhusu ramani nina wasiwasi na ilimu yako ya jiografia, inabidi urudi tena skuli, sijui umesoma wapi Skuli ya Maisara?
 
Eneo lilioombwa ni eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuana suala la Tanganyika wala Zanzibar kwenye ECS. Mipaka ya JMT imetajwa vizuri kwenye katiba.

Suala la ardhi halimo katika mkataba wenu wa makubaliano wa muungano wenu.

Katika mambo mliokubaliana kuungana suala la ardhi halipo. Hivyo kukimbilia kuliomba suala hili la ongezeko la bahari ni kuingiza masuala ya ardhi kinyemela katika muungani kama ilivyofanyika kwa masuala 11 zaidi ambayo yaliongezwa kinyemela kwenye muungano nje ya ule mkataba wa awali wa muungano.

Na mipaka ya Znz inetajwa wazi katika Katiba yake ya Znz.

Ni vizuri ijulikane kuwa Tibaijuka madaraka yake ni kwa Tanganyika Tu na sio JMTz. Hapa amevunha sharia.
 
Mtwana Takashi,

Hivi kwani nini msiwaombe wabunge wenu wagome kwenda Dodoma? huyo Seif Idd si ni bunge? mwambieni kama atakubali kukosa marupurupu, kuhusu ramani nina wasiwasi na ilimu yako ya jiografia, inabidi urudi tena skuli, sijui umesoma wapi Skuli ya Maisara?

Kwanini na nyie msiwazuie kuingia Bungeni. kama ni rahisi wazuieni wasifike bara na kwenda bungeni na hapo ndipo itakapojulikana way forward.

Lakn pia inaonekana kuna tatizo kubwa sana la kusoma skuli za st.. st.. kwani huko ni kukariri na wizi wa mitihani tu.

nakupa pole.

Hilo aliwezekani hata kidogo. Kwani Tanganyika na Znz zimeungana KIMKATABA na sio KIKATIBA. Kuna mambo apo nje ya mkataba wa Muungano likiwemo hili la ardhi na makazi.

Sasa unapozungumzia maslahi ya eneo la milki ya arrdhi ni lazima uziusishe pande zote mbili kwani hili si suala la muungano. Alichofanya Tibaijuka ni ubabe kitu ambacho hakikubaliki. Ni mawili tu yanatakiwa hapo ima a withdraw hayo maombi na kuanza mchakato mpya kama nchi zote mbili zitakubaliana au kuanisha kila nchi itanufaika vipi in terms of eneo hilo.

kama OIC ilizimwa na Muungano kwanini na hili lisizimwe.

Tibaijuka amechamke lazima ajiuzuru tu hakuna mjadala.

Ajiuzulu Seif Sharif Hamad kwa kuendesha harakati za kuvunja muungano huu na kuendeleza ubaguzi wa kuwabagua Watanzania kwa maeneo wanakotoka. Nalaani fikra za kibaguzi kwani mipaka hii haiongezi umri wenu bali kuzima fursa za kizazi kijacho kunufaika na Fursa za Muungano. Nawachukia wale wote wabinafsi na wasiopenda umoja kwa manufaa yetu sote
 
Tatizo lako wewe Barubaru una KATIBA yako na "sharia" zako kichwani tu. Ukiambiwa taja ibara ya KATIBA ya JMT au sheria aloovunja Mama Tibaijuka kwa kuwasilisha ombi hili UN unabaki tu " someni katiba yenu". Ya TANZANIA yameshakupa kisogo siku nyingi ingawa unatamani sana Sultani wa Oman arudi Zanzibar. Haitakuwa. Angalau miaka 50 mingine ijayo.

WC
The article of the Union between Tanganyika and Zanzibar inasema
(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their respective territories subject-

The initial “Union Matters” included the following elevenareas as Union matters:
· The constitution and government of the UnitedRepublic;
· External affairs;· Defense;· Police;· Emergency powers;· Citizenship;· Immigration;· External trade and borrowing;· The Public service of the United Republic;· Income tax, corporation tax, customs and excise duties,and· Harbours, civil aviation, posts and telegraph.

22 were: · All matters concern coinage, currency for thepurposes of legal tender (including notes), banks(including savings banks) and all banking business;foreign exchange and exchange control · Industrial licensing and statistics · Higher education · Mineral oil resources, including crude oil and naturalgas · The National Examinations Council of Tanzania andall matters connected with the functions of thatCouncil · Civil Aviation · Research · Meteorology · Statistics · The Court of Appeal of the United Republic · Registration of political parties and other mattersrelated to political parties

Zanzibar retains jurisdiction over issues whichinclude:
· Information, Agriculture, Natural Resources,Environment and Cooperatives, Trade, Industry,Marketing, Tourism, Education, Culture and Sports,Health and Social Welfare, Water, Construction,Energy and Land, Communication and Transport andfinally, youth, employment, women and childrendevelopment, etc ZANZIBAR: A “SOVEREIGN STATE’’

Je umeliona hilo?
 
Miji yao inaitwa mchamba wima, kibanda maiti sijui nini ndio maana na akilizinakuwa hivyo za kichamba wima.
 
Back
Top Bottom