This is absurd, do you people read between lines? Anayekwenda UN ni nani? Kuna mwakilishi yeyote wa serikali ya Zbr anayetambulika UN? Kama mnazo sheria (ati sharia) zenu kwa nini basi msizitumie kuchukua hilo eneo? Mnanu'gunika tu wakati ukweli mnaujua, ati Sharia zenu ni kama kanuni tu za kujiendesha ndani ya hilo eneo, hazitambuliwi na nchi ingine yeyote, kama unabisha taja hiyo nchi! What you are saying only exists in day dreams! Mbona hunijibu, nimekuuliza ukiulizwa kwa Kiingereza, au unapofill forms zozote i don't know if you ever do them at all, ukiulizwa what is your nationality, unajaza nini?
Suala la ardhi halimo katika mkataba wenu wa makubaliano wa muungano wenu.
Katika mambo mliokubaliana kuungana suala la ardhi halipo. Hivyo kukimbilia kuliomba suala hili la ongezeko la bahari ni kuingiza masuala ya ardhi kinyemela katika muungani kama ilivyofanyika kwa masuala 11 zaidi ambayo yaliongezwa kinyemela kwenye muungano nje ya ule mkataba wa awali wa muungano.
Barubaru inaelekewa wewe unaongelea jambo jingine tofauti? Ninaomba uweke sawa maana hapo kwenye RED sikuelewi.
Hivi Ombi alilopeleka UN Prof. Tibaijuka ni la kuomba kuongezewa eneo la ARDHI au Eneo Tengefu la Bahari (Exclusive Economic Zone EEZ)?
Au huko kwenu Oman Ardhi = Bahari (read EEZ)
Naomba nikuweke sawa kidogo kwani kuna mambo umeyasahau kidogo.
Tanganyika na Znz zimeungana kimkataba na sio kikatiba. Kuna mambo yamo katika mkataba huo nayo ndio mambo ya muungano. Suala la ardhi na makazi si suala la Muungano na ndio maana Znz kuna waziri wa wizara hiyo na Bara yupo.
Kumbuka kuwa Mamlaka ya Tibaijuka mwisho wake ni Chumbe akiwa Znz hana mamlaka yoyote ukilinganisha na waziri wa mambo ya nje au mambo ya ndani. hawa wana malka kote kote.
Kumbuka vile vile Znz ni nchi kamili yenye mamlaka kamili na hilo limebainishwa katika katiba ya Znz. Kwa msingi huo Katiba hiyo hiyo imeanisha eneo la Znz kiufasaha kabisa. sasa kwa ombi hilo la Tibaijuka ni lazima katiba ya Znz itabidi ibadilike kwa kuongeza eneo la milki yake au kupunguza miliki yake na hapo ili kubadilisha kipengele hicho cha katiba lazima BLW litahusika vilivyo kwani wao ndio wtunzi wa sheria za Znz na mambo yote yaliyo nje ya muungano.
Kumbuka kuwa katika Picha walopiga kule UN wakti wanawakilisha alikuweo Tibaijuka, balozi wa Tz katika UN, Mbunge wa Mafia na Katibu wa wizara kutoka Znz. Kwa mantiki hiyo inaonekana wazi Prof Tibaijuka alipata baraka zote za Bunge la Muungano dio maana akachukua muwakilishi wa Bunge.
Sasa upande wa BLW hawakuwa na taarifa zozote ongezeka hilo officially na aliku husishwa kwa lolote lile kitu ambacho Jussa amehoji. Ikumbukwe kuwa maombi haya yakifanikiwa lazima BLW litahusishwa katika kupitisha sheria za ongezeko la eneo la miliki la Znz.
sasa labda tujiulize.
Je Znz itaongezewa kiasi gani katika hicho kilicho ombwa? hilo ni suala ambalo limegubikwa na utata mkubwa na alijabainishwa katika mkataba au mbi hilo.
Lakini pia lazima ufahamu kuwa Tz na Znz zote zinaongozwa na Rules of Law. Na mihimili yote mikuu inajipambanua yaani Serikali, Bunge na Mahakama bila kuingilia katika utendaji kazi wake. Kila muhimili unajitegemea.
Limeanza baraza la wawakilishi kuhoji Serikali ya Znz kisha uzi utafuata. Kwani majibu ya Serikali ndio yatatoa mwangaza kwa sakata hilo. Lakin all in all Tibaijuka lazima ajiuzuru hapo.
Kwani mtiririko wa jambo hili unakuwa sawa kabisa na ule wa Tz kujiunga na OIC.
Kwanza nikupe pole sana kwa kutumia muda mwingi kufukuza kivuli ukiwa umesimama juani.
Hiyo ya kijani - Hivi umejaribu kuyatumia pembeni as rough hayo maneno mawili? Mkataba na katiba, kabla hujayatumia rasmi katika ujenzi wa hoja yako?
Hilo eneo la Chumbe tangu lini lilikuwa mpaka?
Mipaka ya Kimataifa ya bahari huanza kuhesabiwa kutoka toka pwani ya nchi kulekea baharini, na chochote kitakachopatikana ndani ya Km 242, hicho ni mali ya nchi yenye pwani, hivyo basi ili zanzibar iwe nchi au kisiwa kinachojitegemea ilitakiwa iwe nje ya umbali huo toka katika pwani ya Tanzania/Tanganyika (utaratibu huu hauhusisha visiwa kwa visiwa), sasa kwakuwa mupo ndani ya umbali huo, nawapunguzieni kazi ya ubishi usio na tija kuwa futeni ndoto za kufikiri eti mtakuja kuwa na nchi yenu, mipango iliyopo sasa ni kuiua hata hiyo serikali yenu kwa kuanzisha serikali za majimbo na zanzibar kuwa kati ya majimbo ya nchi hii.
Tatizo la kusoma shule za st ... st ... hata geograph hujui.