Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Usitake kuchanganya mambo na kuleta hoja zako za udini. Nilisema huko juu kuwa hata kwa mujibu wa Katiba ya Zanzibar ambayo imerekebishwa mnamo mwaka 2009, Zanzibar yenyewe imetangaza kuwa mipaka yake ni kama iliyokuwapo kabla ya Muungano. Kwa kutokujua hao wanaojifanya ni wasomi na wanaopigania masilahi ya Zanzibari wamekana haki yao ya Ukanda Tengefu wa Kiuchumi (UTK). Madhari huna haki huwezi ukawa na haki ya kupata Ukanda-Nyongeza wa Kibara (Extended Continental Shelf).

Hoja ya kuvimeza visiwa vya Zanzibar ni hoja isiyo na msingi, kwa muundo wa muungano wetu Tanzania Bara ndiyo imemezwa na Zanzibar kwani, Zanzibar inayo serikali yake na bunge na mahakama yake, wakati Tanzania Bara haina. Wabunge wa Zanzibar wanatoa maamuzi juu ya Tanzania Bara hata kwa mambo yasiyo ya Muungano.

Hoja ya udini inatolewa na watu wasio na hoja na wenye kujua kupayuka, kama wewe na Juha Jussa. Mtu mwenye akili zake zilizotimia(timamu) anajua kuwa njama hiyo haipo na wale wanaoifikiria wanapoteza muda wao. Uislamu na Ukiristu na Uyahudi, si dini ambazo unaweza kuzipatiliza duniani hata ukila njama na shetani. Kama ilishindikana kung'oa Uislamu Ulaya inawezakana kuung'oa Tanzania? Kama imeshindikana kuupatilliza hapa Marekani, na kwa kweli hapa Marekani miji kama ya Minneapolis-St-Paul (Miji Pacha), Dearborn(Michigan) Uislamu unazidi kushamiri sembuse Tanzania. Uchina na Urusi licha ya kufuata Ukomunisti zilishindwa kuipatiliza dini hiyo pamoja na Ukristu, sasa hilo Kanisa Katoliki litaweza hapa Tanzania?

Jibu ni kuwa vioja hivi vya chuki vinasambazwa na watu wenye lengo la kuleta utengano na kujipatia masilahi binafsi kama wewe na Juha Jussa.

Watanzania wenye mapenzi mema hatuwezi kunyamazia upuuzi kama huu na tutambana ha vioja hivi vichafu bila kurudi nyuma.

Kama Wazanzibari hawataki muungano ni vema isemwe hivyo ili kila upande wa muungano ufanye mambo yake kwa uhuru bila kulazimishwa kuzungumzia vioja badala ya hoja za msingi zinazoleta maendeleo.

Rugemeleza,

Nilipo Blue.

Kumbuka kuwa Katiba sio msahafu , kwani inaweza kufanyiwa marekebisho na kuingiza kipengele hicho au kingine chochote kile wakti wowote pindi wakikihitaji. Hivyo hoja yako naomba isihalalishe hata kidogo Tanganyika kuomba eneo la Znz au kuifanyia dhulma zozote kwa kutumia mwanya wa sharia za Znz.

Lakin hoja iliyopo mezani ni Uhalali wa Tibaijuka kama waziri wa Ardhi na makaazi , wizara ambayo si ya Muungano kuiwakilisha Znz katika UN.

Kumbuka kuwa Katiba ya Muunganio haimruhusu kabisa Tibaijuka kuwakilisha Znz kwa aina yoyote ile katika mambo ya kimataifa.

Mamlaka yake Tibaijuka ni kama angeomba UN kuongeza eneo la maji la ziwa victoria, Nyasa au tanganyika lakin sio bahari.

Sasa nakuomba na wewe kama muungwana usome vizuri katiba na kuona mamlaka ya wizara zote za JMT zisizokuwa za muungano kisha tuanze kujadili.

Sheria iliyotumika ina-apply na Zanzibar, na isitoshe anayewasilisha maombi ni lazima nchi yake iwe ni mwanachama wa UN. JMT ndiyo mwanachama wa UN, na mipaka ya JMT ni pamoja na visiwa vyote vya Zanzibar.

Pamoja na hayo. Prof. Tibaijuka keshatolea ufafanuzi, ikiwa hujaridhika, ni matatizo yako mwenyewe.

Ngereja.

Naona wengi wa Watanganyika ni wavivu wa kusoma katiba yao na vile vile hawajui muundo wa Muungano wao.

lakin nitatumia muda kidogo kukufanulia mambo mawili matatu.

Mosi. kumbuka nchi yenu inaitwa Jamhuri ya Muungano wa Tz na SIO Tanzania.
Kuita Jamhuri ya Muungano maana yake ni kuwa kuna nchi huru zaidi ya moja hapo zimeungana nazo ni Tanganyika na Znz kuunda JMTz. Soma katiba hautaona TZ bali imeandika kama JMTz.

Pili. Kuna mgawanyika wa majukumu ya wizara zote za JMTz. nazo zimegawanywa katika sehemu mbili.
a. Wizara zenye muundo na sura ya muungano.
wizara hizi ni zile zilizokubaliwa katika mkataba wa muungano. Kumbuka Tanganyika na Znz zimeungana KIMKATABA na sio Kisheria.

Wizara hizi utaona kama waziri atatoka upande mmoja wa muungano basi naibu wake atatoka upande mwingine wa Muungano.

Mfano.
Wizara ya Ulinzi. Waziri Znz (Mwinyi) naibu Mtanganyika (xx)
Wizara mambo ya Ndani. . Waziri Mznz (Shamsi Nahodha) Naibu Mtanganyika (xx)
Wizara ya mambo ya nje .Waziri Mtanganyika) Membe. Naibu Mznz, Mahadhi Maalim
Wizara ya Afrika mashariki. Waziri Mtanganyika (Sitta) Naibu Mznz ( xx) N.k

Wizara sisizo za muungano. Hizi zinashughulikia mambo yasiyo ya muungano na mamlaka yao ni kwa tanganyika tu.
Mfano
Wizara Afya, Elimu, Ardhi, Fedha, Miundombinu, Nishati N.k

Kwa darsa dogo la hapo juu utaona wazi Tibaijuka hana mamlaka ya Kuiwakilisha nchi katika mambo ya kimataifa hususan mambo ya muungano.

Kwa issue yake aliyetakiwa kufanya hivyo ni Waziri wa mambo ya Nje. Tibaijuka alivunja sharia za Muungano. Na ndio nasema ni vyema alione hilo na ikibidi ajiuzuru.

Sasa kama una hoja lete.

Ngereja.

Naona wengi wa Watanganyika ni wavivu wa kusoma katiba yao na vile vile hawajui muundo wa Muungano wao.

lakin nitatumia muda kidogo kukufanulia mambo mawili matatu.

Mosi. kumbuka nchi yenu inaitwa Jamhuru ya Muungano wa Tz na SIO Tanzania. Kuita Jamhuri ya Muungano maana yake ni kuwa kuna nchi huru zaidi ya moja hapo zimeungana nazo ni Tanganyika na Znz kuunda JMTz. Soma katiba hautaona TZ bali imeandika kama JMTz.

Pili. Kuna mgawanyika wa majukumu ya wizara zote za JMTz. nazo zimegawanywa katika sehemu mbili.
a. Wizara zenye muundo na sura ya muungano.
wizara hizi ni zile zilizokubaliwa katika mkataba wa muungano. Kumbuka Tanganyika na Znz zimeungana KIMKATABA na sio Kisheria.

Wizara hizi utaona kama waziri atatoka upande mmoja wa muungano basi naibu wake atatoka upande mwingine wa Muungano.

Mfano.
Wizara ya Ulinzi. Waziri Znz (Mwinyi) naibu Mtanganyika (xx)
Wizara mambo ya Ndani. . Waziri Mznz (Shamsi Nahodha) Naibu Mtanganyika (xx)
Wizara ya mambo ya nje .Waziri Mtanganyika) Membe. Naibu Mznz, Mahadhi Maalim
Wizara ya Afrika mashariki. Waziri Mtanganyika (Sitta) Naibu Mznz ( xx) N.k

Wizara sisizo za muungano. Hizi zinashughulikia mambo yasiyo ya muungano na mamlaka yao ni kwa tanganyika tu.
Mfano
Wizara Afya, Elimu, Ardhi, Fedha, Miundombinu, Nishati N.k

Kwa darsa dogo la hapo juu utaona wazi Tibaijuka hana mamlaka ya Kuiwakilisha nchi katika mambo ya kimataifa hususan mambo ya muungano.

Kwa issue yake aliyetakiwa kufanya hivyo ni Waziri wa mambo ya Nje. Tibaijuka alivunja sharia za Muungano. Na ndio nasema ni vyema alione hilo na ikibidi ajiuzuru.

Sasa kama una hoja lete.

Usidanganye watu, ni wapi kwenye katiba ya JMT ilipoandikwa, 'kama waziri atatoka upande mmoja wa muungano basi naibu wake atatoka upande mwingine wa Muungano'. Hakuna sehemu hiyo mahali popote. Kinachofanyika ni busara tu ya Rais, hakuna sheria inayomfunga. Na ndiyo maana mara nyingi wizara hizo zenye sura ya mwungano zimewahi kuongozwa na waziri bila naibu waziri, na kuna wakati wazanzibari wamewahi kuwa mawaziri kwenye wizara zisizo za mwungano. Na kwa vile mlikuwa mnafaidika, hamkukataa kwa vile hazikuwa za mwungano. Ninyi tunawafahamu, ni 'changu changu, chako chetu', uchoyo na ubinafsi wa Wazanzibari. Kazaneni mvunje mwungano, kwa Tanganyika itakuwa ni 'kuvuja kwa pakacha ---------'
 
Tuzungumze facts.
Je nilichoandika hapa chini sio sahihi.
Mfano.
Wizara ya Ulinzi. Waziri Znz (Mwinyi) naibu Mtanganyika (xx)
Wizara mambo ya Ndani. . Waziri Mznz (Shamsi Nahodha) Naibu Mtanganyika (xx)
Wizara ya mambo ya nje .Waziri Mtanganyika) Membe. Naibu Mznz, Mahadhi Maalim
Wizara ya Afrika mashariki. Waziri Mtanganyika (Sitta) Naibu Mznz ( xx) N.k

Turudi kwenye mzizi mkuu wa uzi huu.
Je Tibaijuka ana mamlaka yoyote kisheria kuweza kuwasilisha suala la muungano kimataifa? Je hajavunja sharia?

Mi nataka kuuliza.

Prof. Tibaijuka sasa hivi anatambua mipaka ya Jamhuri ya Muungano, kuna suala la kupanua hizo miles baharini, primarily kwa kuangalia mambo ya rasilimali.

Ikiwa nchi sovereign yenye uanachama UN inaruhusiwa kufanya hivyo, na Zanzibar si nchi hivyo, na siku yoyote Zanzibar ikitoka kwenye muungano nayo inaweza kudai kufanya hivyo hivyo (angalau kwa pwani yake ya mashariki), kelele nyiingi kuhusu hili swala za nini?

Au ni njia moja tu ya kuusema muungano vibaya? Maandamano ya kutaka kura ya maoni 2015 yako wapi nijiunge?

Au itabidi nianzishe mwenyewe Dar-es-salaam December hii kwenye sherehe za Uhuru wa Tanganyika ?

Mimi nafikiri kama kweli Wazanzibari wanajivunia nchi yao, wajitoe kwenye muungano kwanza, wawe na nchi yao, wawe na uanachama UN na uhakika wote wa ku deal na "Tanganyika" kama a sovereign state, tutamaliza hizi nyepesi nyepesi zote.

Ya nini kutaka kutibu TB kwa Cofta? Deal na tatizo la msingi, tibu ugonjwa, kata mzizi wa fitina, sio unadeal na vi symptoms na vijani vya mti wa fitina.

Hivyo vijani kama hujakata mzizi kila siku vitaota vipya, matokeo hata wanaofanya kazi zao kama Tibaijuka mtawaona maadui wa Waanzibari.

Vunjeni muungano tujue moja, then mnaweza kuongea kama watu wenye nchi yenu. Sasa hivi mnapalilia dhana tu kwamba Wazanzibari wabishi.

Kuvunjika kwa mwungano kwa mtazamo mwepesi ingeweza kuwa nafuu sana kwa Tanganyika lakini kwa mtazamo wa kina huenda Tanganyika tukapata hasara kubwa sana au kwa kupokea wakimbizi wengi toka Zanzibar au Majeshi ya Tanganyika kuombwa na UN na AU kwenda kulinda amani Zanzibar kwa miaka yote. Zanzibar wakijitenga tuu na Tanganyika ni lazima wataanza kupigana wenyewe kwa wenyewe kwa sababu ni watu wenye kupenda chokochoko. Wale wa asili ya bara hawashikamani na wenye asili ya Uarabuni. Na uvivu umejenga taswira kuwa wao wanapata shida kwa vile kuna wanaopata raha.

Mataifa ya magharibi pia yana wasiwasi kuwa Zanzibar ikijitenga huenda kikageuka kuwa kituo cha Magaidi, au ikawa Somalia ya pili.
 
Tuzungumze facts.
Je nilichoandika hapa chini sio sahihi.
Mfano.
Wizara ya Ulinzi. Waziri Znz (Mwinyi) naibu Mtanganyika (xx)
Wizara mambo ya Ndani. . Waziri Mznz (Shamsi Nahodha) Naibu Mtanganyika (xx)
Wizara ya mambo ya nje .Waziri Mtanganyika) Membe. Naibu Mznz, Mahadhi Maalim
Wizara ya Afrika mashariki. Waziri Mtanganyika (Sitta) Naibu Mznz ( xx) N.k

Turudi kwenye mzizi mkuu wa uzi huu.
Je Tibaijuka ana mamlaka yoyote kisheria kuweza kuwasilisha suala la muungano kimataifa? Je hajavunja sharia?

Hakuna sheria iliyovunjwa kwa vile pande zote zilishiriki. Na uwakilishaji kwenye umoja wa Mataifa umefanywa na timu iliyoundwa kwa kujumuisha wajumbe kutoka Zanzibar na Tanganyika. Lakini ukija kwenye hekima ya kawaida, ni hasara gani ambayo Zanzibar imepata au itapata kwa ombi kuwakilishwa na timu iliyoongozwa na Tibaijuka kama kumekuwepo na ushiriki wa pande zote mbili tangu hatua za mwanzo? Wazanzibari wamepoteza nini au watapoteza nini katika maombi haya?
 
Kwenye masuala ya mwungano, ipo haki ya kuunda kamati yeyote kwaajili ya jambo la mwungano alimradi uundwaji wa kamati hiyo umehusisha pande zote mbili, na hili ndilo lililofanyika katika suala hili. Wizara ya mambo ya nje haikuwa na uwezo wa kushughulikia jambo hili kitaalam kwa 100%. Kwa kuzingatia maombi ya mataifa mengine kuwa yanawasilishwa na mamlaka za ardhi na bahari, ombi la Tanzania liliwasilishwa na mamlaka za ardhi zinazoshughulikia Tanganyika na Zanzibar wakishirikiana na wizara ya mambo ya nchi za nje. Hapo kuna kosa gani?
 
Nadhani hapa mtamuonea bure tu huyu mama. Hakuna nchi mbili au mataifa mawili. Kuna nchi moja tu nayo inaitwa Tanzania. Prof. Tibaijuka anatumikia Jamhuri ya Muungano wa TAnzania. Na kinyume na wanasiasa wa CUF wanavyojaribu kushawishi, uamuzi huo ulipewa baraka na serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar ndio maana Waziri toka kwenye serikali hiyo naye alikuwepo UN wakati wa kupeleka ombi hilo. Lakini vile vile kwa wanaofahamu mchakato wa mambo haya wanajua kabisa kuwa maamuzi haya ya kimataifa toka chini ngazi za wataalamu hadi inapofikia ngazi ya mawaziri serikali zote mbili hushirikiana vizuri sana.

Kuongeza eneo la bahari haiongezi eneo la bahari ya Tanganyika! Linaonekana eneo la bahari ya Tanzania ambayo Zanzibar ni sehemu yake. Kwa hiyo labda kama kuna sababu nyingine. Sioni mahali popote ambapo pana msingi wa kuliuliza Baraza la Wawakilishi juu ya hili kwani suala la eneo la Muungano ni eneo zima la Tanzania. Hakuna bahari ya Zanzibar!

Kama wapo watu wa CUF au wengine wanaoamini kitendo hiki kiko nje ya madaraka ya serikali ya Muungano; wafungue kesi ya Kikatiba kukipinga na kukizuia. Of course, I know no one will.

Habari! ndugu zangu mimi ningepata ufafanuzi ulio wazi kwanza kabla ya kuendeleza huu mjadala, kwa fikra za kawaida, na kwa jinsi ninavyofikiria ni kwamba mwanachama wa UN ndiye mwenye haki ya aidha kuomba, kulalamika, kupinga n.k. maamuzi yoyote, matakwa n.k yaliyo ndani ya mamlaka ya chombo hiki, na nchi mwanachama wa UN anawakilishwa na balozi, je, hawa wenzetu wanaolalama huko Zbr ni wanachama wa UN? Au labda kuna upotoshaji ambao labda unahitaji ufafanuzi kwa wananchi ili waelewe? au pia mimi naweza kuwa nimepotoka, tueleweshane!
 
Kwenye masuala ya mwungano, ipo haki ya kuunda kamati yeyote kwaajili ya jambo la mwungano alimradi uundwaji wa kamati hiyo umehusisha pande zote mbili, na hili ndilo lililofanyika katika suala hili. Wizara ya mambo ya nje haikuwa na uwezo wa kushughulikia jambo hili kitaalam kwa 100%. Kwa kuzingatia maombi ya mataifa mengine kuwa yanawasilishwa na mamlaka za ardhi na bahari, ombi la Tanzania liliwasilishwa na mamlaka za ardhi zinazoshughulikia Tanganyika na Zanzibar wakishirikiana na wizara ya mambo ya nchi za nje. Hapo kuna kosa gani?
Jamani Tanganyika haipo kwa sasa, msijaribu kuiingiza kwenye hiyo equation yenu, it is invalidi mpaka mchakato wa kufafanua muungano utakapo kamilika, otherwise nchi inayotambulika ni Tanzania na hata hiyo Zanzibar ni sehemu tu ya TZ,halafu ,mnajua ni eneo kwa umbali gani ambalo Mainland inayopakana na bahari linatakiwa kumilikiwa ni hiyo mainland?
 
Habari! ndugu zangu mimi ningepata ufafanuzi ulio wazi kwanza kabla ya kuendeleza huu mjadala, kwa fikra za kawaida, na kwa jinsi ninavyofikiria ni kwamba mwanachama wa UN ndiye mwenye haki ya aidha kuomba, kulalamika, kupinga n.k. maamuzi yoyote, matakwa n.k yaliyo ndani ya mamlaka ya chombo hiki, na nchi mwanachama wa UN anawakilishwa na balozi, je, hawa wenzetu wanaolalama huko Zbr ni wanachama wa UN? Au labda kuna upotoshaji ambao labda unahitaji ufafanuzi kwa wananchi ili waelewe? au pia mimi naweza kuwa nimepotoka, tueleweshane!

Naomba nikujuze kuwa Tanzania sio member wa Un bali member ni JMTz ambapo katiba yake haimruhusu Tibaijuka kwa mujibu wa madaraka aliyopewa kutoweza kuiwakilisha katika mambo ya kimataifa hususan yale ya muungano.

Kumbuka kuwa JMTz maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Znz.

Tanzania = tanganyika.

Sasa usichanganye Tz na JMTz.

Ngereja.

Kwa issue yake aliyetakiwa kufanya hivyo ni Waziri wa mambo ya Nje. Tibaijuka alivunja sharia za Muungano. Na ndio nasema ni vyema alione hilo na ikibidi ajiuzuru.

Sasa kama una hoja lete.

Hatuna Sharia tuna Sheria na Hakuna neno kujiuzuru ni Kujiuzulu.
 
Tuzungumze facts.
Je nilichoandika hapa chini sio sahihi.
Mfano.
Wizara ya Ulinzi. Waziri Znz (Mwinyi) naibu Mtanganyika (xx)
Wizara mambo ya Ndani. . Waziri Mznz (Shamsi Nahodha) Naibu Mtanganyika (xx)
Wizara ya mambo ya nje .Waziri Mtanganyika) Membe. Naibu Mznz, Mahadhi Maalim
Wizara ya Afrika mashariki. Waziri Mtanganyika (Sitta) Naibu Mznz ( xx) N.k

Turudi kwenye mzizi mkuu wa uzi huu.
Je Tibaijuka ana mamlaka yoyote kisheria kuweza kuwasilisha suala la muungano kimataifa? Je hajavunja sharia?

Katiba gani unayo refer unaposema sheria? Katiba ya JMT ambayo ndiyo inayotambuliwa haijaaninsha huo mpangilio ambao wewe unaupendelea,pili katiba hiyo ambayo hata wewe ukiwa hapa DSM unaiheshimu na kuitii inasema kwamba Zbr ni sehemu ya JMT hapana ilipotamkwa kwamba ni nchi, na katika katiba hiyo hiyo hakuna nchi inayoitwa Tanganyika, so kama una maswali mengi ungependa kuyaweka wazi majibu ni kwamba moja mpigane mchomoke kwenye muungano, mpate baraka za TZ halafu mwende UN mkatafute uanachama ndipo mwaweza kusikilizwa, sasahivi ni kama vile chura anapiga kelele ndani ya dimbwi, kama unamfahamu tembo, haachi kunya maji yake!
 
Kwani wewe mheshimiwa jusa,unailewaje tanzania au bado mawazo yako unawaza tanganyika tu.tukiuleta utanganyika na uzanzibari usijejikuta wewe humo kati ya pande mbili.take care.
 
Hakuna sheria iliyovunjwa kwa vile pande zote zilishiriki. Na uwakilishaji kwenye umoja wa Mataifa umefanywa na timu iliyoundwa kwa kujumuisha wajumbe kutoka Zanzibar na Tanganyika. Lakini ukija kwenye hekima ya kawaida, ni hasara gani ambayo Zanzibar imepata au itapata kwa ombi kuwakilishwa na timu iliyoongozwa na Tibaijuka kama kumekuwepo na ushiriki wa pande zote mbili tangu hatua za mwanzo? Wazanzibari wamepoteza nini au watapoteza nini katika maombi haya?

Usibadili somo. Suala hapa sio faida au khasara. Ila ni uvunjifu wa sharia.

Mamlaka aliyopewa kama Waziri wa Ardhi wa Tz, je ana uwezo wowote kuweza kuiwakilisha JMTz katika suala la mahusiano ya kimataifa kama hilo?

Kwanini membe asiwasilishe ombi hilo kwa kufuatana na wataalamu na hata waziri huyo na wengine kutoka wizara ya Ardhi?

Kwanini Tibaijuka? au alitaka kujionyesha kwa UN kuwa naye sasa ni waziri?

Amevunja sheria za muungano , kwani mamlaka aliyopewa kisharia hayamruhusu kabisa kushughulikia mambo ya Znz au muungano.

Naomba nikujuze kuwa Tanzania sio member wa Un bali member ni JMTz ambapo katiba yake haimruhusu Tibaijuka kwa mujibu wa madaraka aliyopewa kutoweza kuiwakilisha katika mambo ya kimataifa hususan yale ya muungano.

Kumbuka kuwa JMTz maana yake ni Muungano wa Tanganyika na Znz.

Tanzania = tanganyika.

Sasa usichanganye Tz na JMTz.

Tuelewane basi, Tanzania =Tanganyika+Zanzibar, maanake ni kwamba ukisema TZ unamaanisha Zbr iko ndani humo, ukitaka kuhakikisha just google Tanzania utaona nini, kama siyo {Tanzania; United republic of} na mawaziri wa Tanzania wana-apply kote mpaka Zbr, hii kutowatambua ni kiburi chenu tu wakati mnaelewa Zbr si mwanachama wa UN sasa Tanzania ni nchi gani kwa mawazo yako?
 
Hiyo mpya. Tanzania = Tanganyika. Tutajua mengi.
 
[My Take:

Kwa kosa alilolifanya kupeleka ombi Un Pasi na kupata baraka za baraza la wawakilishi Znz wakti anajua fika suala la ardhi sio suala la muungano ni utovu mkubwa sana wa nidhamu na kutaka kufanya ubabe na kuvunja katiba ya Muungano na ile ya Zanzibar. Kiungwana anatakiwa ajiuzuru.
[/QUOTE] Your take ina makengeza! Kwa vile Tanzania kama nchi hutambulika kwa mipaka yake, na kutaka kuongeza mipaka hiyo ni jambo halali kwa vile mipaka hiyo ni ya Tanzania, na si ya Zanzibar ama Tanganyika! na km ambavyo imeshafafanuliwa na Katibu Mkuu wa wizara moja ya Tanzania kuwa Wajumbe kutoka zanzibar walishirikishwa kikamilifu katika mchakato huo kuanzia hatua za awali...sasa kinachovumishwa sasa hakina mshiko wala maslahi kwa zanzibar ama Tanzania. Ni ubinafsi uliokubuhu.
 
Sijapata kuona watu wabishi na wanaopenda kugeuza maneno hapa duniani kama wanzazibar.
Mfano mdogo ni huyu Barubaru mnaemuoana hapa na avatar yake original....zee zima,lakini bishi kaa mshii...
 
Katiba gani unayo refer unaposema sheria? Katiba ya JMT ambayo ndiyo inayotambuliwa haijaaninsha huo mpangilio ambao wewe unaupendelea,pili katiba hiyo ambayo hata wewe ukiwa hapa DSM unaiheshimu na kuitii inasema kwamba Zbr ni sehemu ya JMT hapana ilipotamkwa kwamba ni nchi, na katika katiba hiyo hiyo hakuna nchi inayoitwa Tanganyika, so kama una maswali mengi ungependa kuyaweka wazi majibu ni kwamba moja mpigane mchomoke kwenye muungano, mpate baraka za TZ halafu mwende UN mkatafute uanachama ndipo mwaweza kusikilizwa, sasahivi ni kama vile chura anapiga kelele ndani ya dimbwi, kama unamfahamu tembo, haachi kunya maji yake!

Naomba nikufahamisha kuwa hakuna nchi inayoitwa Tanzania Bali nchi inaitwa JMTz. Soma popote pale katika Katiba utaliona hilo.

Na unaposema JMTz maana yake kuna muungano wa jamhuri zaidi ya moja kwa case ya Tz utaona kuna jamhuri ya Znz na Jamhuri ya Tanganyika ziliungana na kuunda JM Tanzania.

Katiba ina haki ya kusema kuwa Jamhuri ya Znz au Znz ni sehemu ya Jamhuri ya TZ, kama ilivyo Tanganyika ni sehemu ya Jamhuri ya TZ.
sasa kuwa sehemu maana yake kitu husika. Ni sawa na kusema Moyo ni sehemu ya ubinadamu. basi sawa na kuwa moyo ni bin'Adam kwani bila moyo hakuna Bina'Adam

Vile vile bila Znz hakuna Tanzania. bali kuna Tanganyika. Kwa mantiki hiyo Katiba ya Znz ibara ya 3 na 4 zimeanisha na kusema wazi Znz ni nchi. kwa maana ni nchi ndani ya Muungano wa TZ. Na ndio maana nchi inaitwa JMTz na sio TZ.

Tz ni Tanganyika, kwa sababu nyie mumekataa Utanganyika wenu...joke.

Tuelewane basi, Tanzania =Tanganyika+Zanzibar, maanake ni kwamba ukisema TZ unamaanisha Zbr iko ndani humo, ukitaka kuhakikisha just google Tanzania utaona nini, kama siyo {Tanzania; United republic of} na mawaziri wa Tanzania wana-apply kote mpaka Zbr, hii kutowatambua ni kiburi chenu tu wakati mnaelewa Zbr si mwanachama wa UN sasa Tanzania ni nchi gani kwa mawazo yako?

Soma katiba na nilisha fafanua vizuri sana hapa.
Naona wengi wa Watanganyika ni wavivu wa kusoma katiba yao na vile vile hawajui muundo wa Muungano wao.

lakin nitatumia muda kidogo kukufanulia mambo mawili matatu.

Mosi.
kumbuka nchi yenu inaitwa Jamhuri ya Muungano wa Tz na SIO Tanzania.

Back
Top Bottom