Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Prof Tibaijuka lazima ajiuzulu

Ajiuzulu Seif Sharif Hamad kwa kuendesha harakati za kuvunja muungano huu na kuendeleza ubaguzi wa kuwabagua Watanzania kwa maeneo wanakotoka. Nalaani fikra za kibaguzi kwani mipaka hii haiongezi umri wenu bali kuzima fursa za kizazi kijacho kunufaika na Fursa za Muungano. Nawachukia wale wote wabinafsi na wasiopenda umoja kwa manufaa yetu sote

Ni vizuri uongeze wigo wa kufikiri badala ya kujikita zaidi katika Box. Fikiri sasa nje ya Box.

Chukia zaidi fisadi na yule anayedhulmu mali za umma na anayetumia madaraka yake kwa manufaa binafsi.

Tunamlaumu Tibaijuka kwa kuongeza wigo wa dhulma dhidi ya Znz na waZnz.

Tunamlaani kwa hilo la ghilba na dhulma wa rasilimali za znz na waznz.

 
bado umo humu unahangaika tu! nilifikiri saa hivi ungetuambia mshafikisha pingamizi UN, kumbe pingamizi lipo humu JF?

The article of the Union between Tanganyika and Zanzibar inasema
(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar shall remain in force in their respective territories

 
Ni vizuri uongeze wigo wa kufikiri badala ya kujikita zaidi katika Box. Fikiri sasa nje ya Box. Chukia zaidi fisadi na yule anayedhulmu mali za umma na anayetumia madaraka yake kwa manufaa binafsi. Tunamlaumu Tibaijuka kwa kuongeza wigo wa dhulma dhidi ya Znz na waZnz. Tunamlaani kwa hilo la ghilba na dhulma wa rasilimali za znz na waznz. [/QU Eneo hilo tutapewa tu,mkitaka chokochoko tunawa-bomb na jeshi letu kwa tear gase mkimbilie Lamu,
 
Ajiuzulu kutoka nafasi ipi? Nyie mnajichanganya! Kama mnamtambua,na mna-seek rerponsibility maanake mnakiri dhamana aliyonayo km waziri ktk serikali wa Tz,itakuwa haina maana kuhitaji ajiuzulu iwapo hamtambui nafasi yake,ni sawa na wewe kumtaka Kibaki,rais wa Kenya ajiuzulu wkt huna mandate na hawajibiki kwako,narudia ushauri wangu! Nendeni UN,ombeni TZ iwape state sovereinity,hlf mtumeni mwakilishi wa itakayokuwa nchi ya Zbr kuomba pia,if at all mnajua mnachohitaji!
 
Suala la ardhi halimo katika mkataba wenu wa makubaliano wa muungano wenu. Katika mambo mliokubaliana kuungana suala la ardhi halipo. Hivyo kukimbilia kuliomba suala hili la ongezeko la bahari ni kuingiza masuala ya ardhi kinyemela katika muungani kama ilivyofanyika kwa masuala 11 zaidi ambayo yaliongezwa kinyemela kwenye muungano nje ya ule mkataba wa awali wa muungano. Na mipaka ya Znz inetajwa wazi katika Katiba yake ya Znz. Ni vizuri ijulikane kuwa Tibaijuka madaraka yake ni kwa Tanganyika Tu na sio JMTz. Hapa amevunha sharia. [/QU Tangu uzaliwe umewahi kusikia serikali au nchi inayoitwa Tanganyika? Na Vuai na dr Bilal ni viongozi ktk serikali ipi? Wewe hujui kwamba Zbr siyo nchi? Unakua km mtoto mdogo kulilia magari yapitayo barabarani? Kwa taarifa yako, ni Tz pekee yenye uwezo wa kuweka pingamizi au kuridhia status ya Zbr.
 
Huna hoja , unaleta ushabiki...Sisi tunaelekea kuvunja huu Muungano wa ukandamizaji, ni haki yetu na hatutasita mpaka kieleweke. Na nakuahidi kipindi kisichozidi miaka 10 ,kazi hii tutakuwa tumeshaimaliza. Nendeni mkafanye Muungano na wakongo ,lakini sisi basi tumechoshwa .[/QU Umeme mtatoa wapi? Make kutulipa madeni hamuwezi wavivu nyiye,hlf mafuta hakuna huko! Ndo banda la vioo hilo tunalosema,tukirusha mawe ss twavunja mtakimbia nyie!
 
Mtwana Takashi,

Hivi kwani nini msiwaombe wabunge wenu wagome kwenda Dodoma? huyo Seif Idd si ni bunge? mwambieni kama atakubali kukosa marupurupu, kuhusu ramani nina wasiwasi na ilimu yako ya jiografia, inabidi urudi tena skuli, sijui umesoma wapi Skuli ya Maisara?

Pimbi mluga,
Seif Iddi, ni miongoni wa vibaraka ambao kwa maslahi ya tumbo lake anakubali kutumiwa na watanganyika kwa Maslahi ya kanisa, Yes, kwa maslahi ya kanisa. Lakini harakati zinaendelea vizuri kwanza tutaondoa vibaraka wote baadae tutaanza kubambana na makaburu wa kitanganyika.
Tamaa itawaeka pabaya....
 
Eneo lilioombwa ni eneo la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania. Hakuana suala la Tanganyika wala Zanzibar kwenye ECS. Mipaka ya JMT imetajwa vizuri kwenye katiba.

Tanganyika ,mtairudisha ...Huo ujanja ujanja mkawafanyie wa Congo . Dhuluma haita dumu .
 
Pimbi mluga,
Seif Iddi, ni miongoni wa vibaraka ambao kwa maslahi ya tumbo lake anakubali kutumiwa na watanganyika kwa Maslahi ya kanisa, Yes, kwa maslahi ya kanisa. Lakini harakati zinaendelea vizuri kwanza tutaondoa vibaraka wote baadae tutaanza kubambana na makaburu wa kitanganyika.
Tamaa itawaeka pabaya....

Pimbi Takashi,
Wewe mtoto wa mtumwa wewe hujui usemalo hapa, hivi mtu anaweza vimbiwa mkate wa kumimina? maana hujui unachoandika, sasa ni Seif Idd anayezuia wabunge wa Zenji kurudi Zenji pamoja na kupewa ukweli wenu?
 
Pimbi Takashi,
Wewe mtoto wa mtumwa wewe hujui usemalo hapa, hivi mtu anaweza vimbiwa mkate wa kumimina? maana hujui unachoandika, sasa ni Seif Idd anayezuia wabunge wa Zenji kurudi Zenji pamoja na kupewa ukweli wenu?
Naona temperature inapanda...Taratibu
 
Pimbi Takashi,
Wewe mtoto wa mtumwa wewe hujui usemalo hapa, hivi mtu anaweza vimbiwa mkate wa kumimina? maana hujui unachoandika, sasa ni Seif Idd anayezuia wabunge wa Zenji kurudi Zenji pamoja na kupewa ukweli wenu?[/QUOT E]

Pimbi mluga,
Kama kawaida yenu ukweli unawauma sana...Lakini mambo bado kabisa lakini muda utafika kila mtu atakujua kwao. Huwo wizi wa mchana tumechoka nao. Harakati zinaendelea mpaka kieleweke.
 
Kwa kweli nimekaa sana Tz kwa takriban 30 yrs na nimesomea UDSM lakin sikuwahi kumsikia huyu mama. Na nimejaribu kwa kila hali kuitafuta CV yake bila mafanikio.

Nimeanza kumsikia pale alipochaguliwa na UN kuwa Mkurugenzi wa UN Habt na afisi yake kuwa Nairobi.
Ambapo hakuweza kufanya vizuri kwani alikuwa ni mkabila sana na mengine mengine kiasi cha Katibu mkuu UN kuamua badala ya kufukuza alitumia busara na kumpunguzia madaraka na baadae alipomaliza mkataba kumtema.

Sasa sijui katika hilo suala la Ardhi huko Tanganyika, je ataweza?

Mwenye CV yake huyu mama aiweke tuichambue.
 
Hata mimi nimebaki nashangaa lini kikao cha bunge la JMT liliondoa mafuta na gesi !.

Mzee Barubaru nachelea kukuita mwongo kwa umri na elimu yako. Bunge letu la JMT limekaa lini likayaondoa mafuta na gas asilia. Unazijua taratibu za kuliondoa suala hili kwenye mambo ya Muungano?
Hili la ving'ora na ulinzi lisikupe shida. Hata harusi na misiba kuna ving'ora pia na ulinzi mkali. Jamaa hawa hawamo kwenye Katiba yetu ya JMT.
 
Hata mimi nimebaki nashangaa lini kikao cha bunge la JMT liliondoa mafuta na gesi !.

Naomba nikujuze hili.

Katika aya ya 5 , BLW lilipitisha uamuzi wa kukataa umiliki wa pamoja wa EEZ tarehe 8 Aprili 2009 na kwamba uamuzi huo unajulikana na serikali ya muungano kwa barua ya Shamsi V. Nahodha kwenda kwa Pinda.

Na ukisoma Katiba ya JMTz.
The article of the Union between Tanganyika and Zanzibar inasema
(v) The existing laws of Tanganyika and of Zanzibar
shall remain in force in their respective territories suject to (a) to any provision made hereafter by a competent legislature;


Kwa huo muntiki hiyo ndio maana makamo wa kwanza na wa Pili wa Znz wametambulika na wanapewa stahiki zote kama ulizi na mengine wakiwa Tanganyika.

Kwani ukitaka kwenda zaidi utaona hata huo Muungano wenu na Znz haupo kisheria kwa upande kwani mpaka leo BLW hawajapatewa hati ya muungano ili na wao waweze kuiridhia na hivyo kuufanya muungano kuwa halali kwa mujibu wa sharia za Znz.

ndio maana nasema siku zote ndoa haramu inazaa watoto haraamu.

 
Na vile vile Tibaijuka alitakiwa aende na faili la Tanganyika sio Tanzania. Kwani Tanzania ni muungano wa Tanganyika na Zanzibar. Je unalijua hilo?

Kwani madaraka ya Tibaijuka mwisho msasani wala hayafiki Znz. Kwa kuwa amejivika kilemba cha Tanzania ndipo tunapomuhoji alipewa na nani madaraka ya kuiwakilisha kwenye jambo lisilo la muungano? Je aliowawakilisha wanalijua hilo?

Kwa vyovyote lazima kiungwana ajiuzuru.

This is absurd, do you people read between lines? Anayekwenda UN ni nani? Kuna mwakilishi yeyote wa serikali ya Zbr anayetambulika UN? Kama mnazo sheria (ati sharia) zenu kwa nini basi msizitumie kuchukua hilo eneo? Mnanu'gunika tu wakati ukweli mnaujua, ati Sharia zenu ni kama kanuni tu za kujiendesha ndani ya hilo eneo, hazitambuliwi na nchi ingine yeyote, kama unabisha taja hiyo nchi! What you are saying only exists in day dreams! Mbona hunijibu, nimekuuliza ukiulizwa kwa Kiingereza, au unapofill forms zozote i don't know if you ever do them at all, ukiulizwa what is your nationality, unajaza nini?
 
This is absurd, do you people read between lines? Anayekwenda UN ni nani? Kuna mwakilishi yeyote wa serikali ya Zbr anayetambulika UN? Kama mnazo sheria (ati sharia) zenu kwa nini basi msizitumie kuchukua hilo eneo? Mnanu'gunika tu wakati ukweli mnaujua, ati Sharia zenu ni kama kanuni tu za kujiendesha ndani ya hilo eneo, hazitambuliwi na nchi ingine yeyote, kama unabisha taja hiyo nchi! What you are saying only exists in day dreams! Mbona hunijibu, nimekuuliza ukiulizwa kwa Kiingereza, au unapofill forms zozote i don't know if you ever do them at all, ukiulizwa what is your nationality, unajaza nini?

Mkuu hawezi kukujibu na ni kawaida yake ukipiga ikulu huwa anajifanya kuwa hajaona. Wewe fuatilia uzi huu uone anavyojifanya kupotezea maswali ya msingi na kujaza uhuni na uhaini unaofanywa visiwani wa kutaka kuwa huru ndani ya muungano.
 
Huyo ni Mtanzania kuliko wewe, kalagabaho.

Kwa kuwa huna sababu ya kuzurura nje ndio maana nikakwambia huna exposure ya dunia, na mara nyingi ni vigumu sana kukupa ilmu ambayo ilibidi uwe nayo, ilmu si madarasa tu, kutenbea duniani kuna fundisha sana. Hata wachangiaji humu utawajuwa tu huyu ana upeo na huyu hana, kama tulivyokujuwa wewe, mchangi wako tu unaonesha kuwa una mengi ya kujifunza hususan kuhusu elimu na kisomo na wapi mtu amesoma na kwanini anasoma, ni kwa kuwa hujatembea duniani na hujui wanachokijuwa wenzako.

Tena hao wa Oman kwa Tanzania hii usijaribu kuwasema, unaweza kukuta kama si shemeji yako, mjomba'ko. Wengi wao, wengi sana tena wamechanganya damu na karibu kila kabila ya Tanzania. Hata Sultan wao inasemekana mama yake ana asili ya hapa. Usishangae ukijikuta una ukoo na Qaboos.
At least mngekuwa na uwezo wa kuchagua viongozi wenu wenyewe! Rais wa Zbr anachaguliwa Dodoma, mnapangiwa makamu wa pili wa rais ndiye mwenye madaraka makubwa kuliko wa kwanza, still manazungumza kwa hasira, kuzurura abroad siyo lazima uwe umejifunza mambo ya maana, hebu nambie, wamnaokwenda kufanya biashara yenu inayowapa pesa, hii ya madawa ya kulevya nao vipi? I hope na wewe utakuwa unasaga hapo sasahivi, ushauri mzuri ni huu, mobilize yourself, mwende huko UN mjitambulishe tene baada ya kupata ridhaa yetu, ndipo mnaweza kuwa na nchi mtakayoiendesha wenyewe! Poleni.
 
Back
Top Bottom