DOKEZO Prof. Shukuru Manya, Naibu Waziri wa Madini yuko wapi na analipwa kwa kazi gani?

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Nimekosa tusi la…
Huwezi kupata tusi la kupinga ukweli, wewe umeandika kishabiki kana kwamba unajua na una uhakika profesa analipwa bila kazi yoyote, tena pesa nyingi. Hata ungepata hilo au ukipata tusi Rudi Mimi hakuna tusi jipya sijawahi sikia. Zaidi ya Leo kushangazwa na mtu mzushi na mbea asubuhi.. wewe ukiwa kiongozi ni hatari unaweza kumpa mtu kesi kubwa kwa uzushi wako
 
Attachments

  • 6326E96C-17EF-41CA-AB9B-3FAB92825580.jpeg
    6326E96C-17EF-41CA-AB9B-3FAB92825580.jpeg
    84 KB · Views: 5
Wewe unaishi nchi hii? Manya aliisha nyangwanywa huo unaibu Waziri, sijajua alipewa mzanzibar au mwisiramu, maana Sasahivi nipunguza wasoma rozali, ila ngoja nifungue mafaili yangu nione kapewa nani.
Wasomi rozali ni hisia zako binafsi tu. Serikali inatazama kama cheo kinaenda sambamba na uwezo wa anayepewa.
 
Binti hili ndo tusi ulilopata, kweli wasichana wa miaka ya elfu mbili kuja juu mnataabu sana, ndo maa tunawatumia halafu tunawaacha.
 
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.

Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.

Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye na CV ya hiyo kazi.

Matokeo yake Tume ya madini kila mtu anafanya lake tena bila uoga.

Huyu Professor mwambieni aliko asaidie watanzania walio maskini kwani alisomeshwa kwa kodi za watanzania, analipwa mshahara mkubwa kwa kodi zetu na yafanyi kazi yoyote.
Pro. Manya ni Mbunge, wewe unataka afanye kazi gani?
 
Kwani mleta Uzi wewe upo wapi na unafanya Nini?
Mleta mada ni raia wa kawaida, humlipi wewe mshahara, huna uwezo wa kumuuliza yuko wapi anafanya nini. Waziri analipwa kwa kod ndio maana anatafutwa yuko wapi.

Typical third world tax payer, hujui haki zako za kuhoji kama mlipa kodi maskini ya Mungu. Upeo wa civic knowledge mdogo.
 
I met him once,he is very very smart,anaijua vzr sana sekta ya madini.Ila si Naibu waziri tena.
Ni kweli Proffessor Shukuru Manya ni kichwa hasa sio utani sekta ya Madini

Anyway wangemuacha tu chuo kikuu badala ya kumpa hizo Political Post wanamharibia tu CV yake huyo sio saizi ya ubunge wala uwaziri wala uraisi

Huyo ni technocrat ambaye nchi inahitaji kumtegemea consultation sekta ya madini
 
Pro. Manya ni Mbunge, wewe unataka afanye kazi gani?

1. Sunlodges v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub.
2. Agro EcoEnergy and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
3. Symbion Power and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
4. Saab v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
5. Winshear v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
6. Nachingwea and others v. Tanzania | Investment Dispute Settlement Navigator | UNCTAD Investment Policy Hub
 
Ni kweli Proffessor Shukuru Manya ni kichwa hasa sio utani sekta ya Madini

Anyway wangemuacha tu chuo kikuu badala ya kumpa hizo Political Post wanamharibia tu CV yake huyo sio saizi ya ubunge wala uwaziri wala uraisi

Huyo ni technocrat ambaye nchi inahitaji kumtegemea consultation sekta ya madini
Mkuu Njoo inbox Nitumie kamilion kwa kumwaga madini Jf
 
  • Thanks
Reactions: Ame
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.

Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.

Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye na CV ya hiyo kazi.

Matokeo yake Tume ya madini kila mtu anafanya lake tena bila uoga.

Huyu Professor mwambieni aliko asaidie watanzania walio maskini kwani alisomeshwa kwa kodi za watanzania, analipwa mshahara mkubwa kwa kodi zetu na yafanyi kazi yoyote.
Peno Hesagawa ,Mwandishi uliejaa uongo na uzandiki

Kwann unapenda kuzusha uongo?ungejitahidi hata kuandika ukweli hata siku moja ungesaidia nchi,hizi stories zako za kuzusha unatumia Muda wako Vibaya ndg yangu

Nakushauri penda kusema ukweli kwenye maisha yako punguza fitina kwa umri wako havina faida hata siku moja
 
Ni kweli Proffessor Shukuru Manya ni kichwa hasa sio utani sekta ya Madini

Anyway wangemuacha tu chuo kikuu badala ya kumpa hizo Political Post wanamharibia tu CV yake huyo sio saizi ya ubunge wala uwaziri wala uraisi

Huyo ni technocrat ambaye nchi inahitaji kumtegemea consultation sekta ya madini
Watu kama Professor Shukuru Manya ni watu ambao walistahili kuwa Rais au Waziri wa madini.
Msomi mzuri, jembe na rushwa kwake ni sumu.
 
Peno Hesagawa ,Mwandishi uliejaa uongo na uzandiki

Kwann unapenda kuzusha uongo?ungejitahidi hata kuandika ukweli hata siku moja ungesaidia nchi,hizi stories zako za kuzusha unatumia Muda wako Vibaya ndg yangu

Nakushauri penda kusema ukweli kwenye maisha yako punguza fitina kwa umri wako havina faida hata siku moja
Huu Ndio ukweli mnao upenda?
 
Attachments

  • 2A2C2EC7-AA40-46CB-83E1-50A1E5EE6CE4.jpeg
    2A2C2EC7-AA40-46CB-83E1-50A1E5EE6CE4.jpeg
    105.1 KB · Views: 4
Wasomi rozali ni hisia zako binafsi tu. Serikali inatazama kama cheo kinaenda sambamba na uwezo wa anayepewa.
Sasa wewe unamyanganya cheo Professor tena wa madini na miamba unakwenda kumkabidhi wizara, Mtu wa education Mwalimu wa digree ambaye ajui chochote kuhusu madini, kwanini tusiwe na maswali?
 
Ndugu watanzania, mtajwa hapo juu ni mtumishi wa Serikali ya Tanzania.

Hajulikani aliko, anachokifanya ndani ya Wizara ya Madini tangu ateuliwe na JPM hadi sasa.

Cha kushangaza na kusikitisha nafasi aliyokuwa nayo huko Tume ya Madini, awali ilikaimishwa mtu hadi leo imekaimishwa tena mtu asiye na CV ya hiyo kazi.

Matokeo yake Tume ya madini kila mtu anafanya lake tena bila uoga.

Huyu Professor mwambieni aliko asaidie watanzania walio maskini kwani alisomeshwa kwa kodi za watanzania, analipwa mshahara mkubwa kwa kodi zetu na yafanyi kazi yoyote.
Profesa Manya ni mbunge wa kuteuliwa nafasi 10 za rais, yuko bungeni anafnya kazi za kibunge.- UTAKUWA NA CHUKI, ROHO MBAYA,NA AKILI MBOVU
 
Ni kweli Proffessor Shukuru Manya ni kichwa hasa sio utani sekta ya Madini

Anyway wangemuacha tu chuo kikuu badala ya kumpa hizo Political Post wanamharibia tu CV yake huyo sio saizi ya ubunge wala uwaziri wala uraisi

Huyo ni technocrat ambaye nchi inahitaji kumtegemea consultation sekta ya madini
Ukiongea nae na we ukawa unajua issue za madini utaona hapa unaongea na kichwa
 
Mleta mada ni raia wa kawaida, humlipi wewe mshahara, huna uwezo wa kumuuliza yuko wapi anafanya nini. Waziri analipwa kwa kod ndio maana anatafutwa yuko wapi.

Typical third world tax payer, hujui haki zako za kuhoji kama mlipa kodi maskini ya Mungu. Upeo wa civic knowledge mdogo.
Mimi sawa na upeo mdogo wa covcs, wewe unamjua huyu mleta nada ni nani, na anafanya Nini, au na wewe na wale watu wa makasiriko. Mwenye upeo mkubwa mleta mada hajui hata kama ni mbunge na bunge lipo live , yaani mwenye uelewa mkubwa hajui urai wa kawaida kuwa profesa si kamishina wa madini mpaka anaamini kuwa analipwa pasi na kufanya kazi yoyote, wewe mwenye uelewa mkubwa civics ni pamoja na kuwa current na mambo ya kitaifa na kimataifa.
 
Sasa wewe unamyanganya cheo Professor tena wa madini na miamba unakwenda kumkabidhi wizara, Mtu wa education Mwalimu wa digree ambaye ajui chochote kuhusu madini, kwanini tusiwe na maswali?
JPM aliyewatoa chuoni hao waalimu alipokuwa anawafukuza kazi hakuongelea huo ujinga wa rozali. Mnapenda kukimbilia chokochoko na umbeya wa masuala ya kidini lakini hayawasaidii.
 
Back
Top Bottom