kikokotoo kipya
JF-Expert Member
- Dec 18, 2018
- 441
- 488
Huwezi kupata tusi la kupinga ukweli, wewe umeandika kishabiki kana kwamba unajua na una uhakika profesa analipwa bila kazi yoyote, tena pesa nyingi. Hata ungepata hilo au ukipata tusi Rudi Mimi hakuna tusi jipya sijawahi sikia. Zaidi ya Leo kushangazwa na mtu mzushi na mbea asubuhi.. wewe ukiwa kiongozi ni hatari unaweza kumpa mtu kesi kubwa kwa uzushi wakoNimekosa tusi la…