Prof. Shivji katika hili amechanganya madesa

MIMI BABA YENU

JF-Expert Member
Joined
Mar 1, 2019
Posts
319
Reaction score
755
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCAA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
 
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
Kwa hiyo kwa akili yako fupi, huoni kuwa inafaa wahamishiwe Serengeti, kwa mababu zao?

Hawa watu unadhani wao si waTanzania, kwa nini wawe ndio wanafurumushwa kila mara, tena kwa sababu za kipumbavu kabisa na kutotumia akili kwa viongozi waliomo serikalini!

Najua hutanielewa, kwa sababu inaelekea uko huko huko kwenye akili za kipumbavu kutetea ujuha huu wanaotendewa wananchi wenzako kwa maslahi ya wageni na kujaza matumbo ya hao wanaonyanyasa wananchi wenzao.
 
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Mwenye kitu kilichoko "nyuma ya pazia" ni nyinyi, mnaowafanya wananchi wenzenu kuwa na nusu haki, huku nyinyi mkipandia juu ya migongo yao kwa faida zenu.

Kwani njia pekee ya ku'manage' eneo hilo ni kuvuruga maisha ya hawa watu? Hakuna njia endelevu zinazoweza kufanyika zikifaidisha pande zote bila ya kuathiri eneo husika?

Inashindikana vipi kuweka na kusimamia taratibu hizo katika eneo hilo. Kwenu kuhakikisha kuwa hakuna mifugo inayoletwa kutoka nje ni kazi kubwa zaidi kuliko kuvuruga wakazi wa eneo hilo?

Hata kuwaelimisha wananchi wenyewe waelewe maana ya kuwa na utulivu katika eneo lao, na wao wakifaidika na mali hiyo, kwenu haiwezekani; ila mnachoweza ni kutumia mabavu na vitisho?

Nyinyi ni serikali ya watu gani, hao wanaowajaza matumbo yenu kwa hasara yetu?
 
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Mimi nikajua unakuja na vifungu vya sheria.
 
Mwenzio ameandika out in the open...na wewe kama una hoja peleka makala gazeti la mwananchi jamii isome hoja zako...
 
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Prof Shivji naamini amejichanganya katika suala la Loliondo/Ngorongoro.
Sijawahi kumsikia akizungumzia, wakati ule, suala ka waliohamishwa Kimara.
 
Unajua Ngorongoro kuna sehemu inaitwa Loliondo
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
 
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Nimependa ukivyomalizia, ".....au kuna kitu nyuma ya pazia?" >>Husikii Serikali katu ikimtamka Mwindaji Mwarabu ambaye 'yasemekana' ndiye sababu ya kuweka mipaka kwenye hizo km² 4000 ili Wafugaji wabakie na km² 2500. >>Huo ndiyo mgogoro, na unahusishwa na 'bakshishi' nono.
 
Shivj ni mchonganishi sana achunguzwe.
 
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Unamjadili Shivji kwa hoja nyepesi
 
Back
Top Bottom