Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,580
- 28,548
Yes, kwani kuwa bogus kuna tatizo gani?Wewe ni kati ya watu wachache ambao ni 'bogus' kabisa. Nchi inapokuwa na raia wa aina yako inakuwa 'shit country.'
Ila nikiri tu kuwa unanizidi!
Yes, kwani kuwa bogus kuna tatizo gani?Wewe ni kati ya watu wachache ambao ni 'bogus' kabisa. Nchi inapokuwa na raia wa aina yako inakuwa 'shit country.'
Duh, hii inakubalika mahala popote duniani?Njia endelevu ni kuwa piga Shindano ya kwa fanya wasiendele kuzaana
Ujuaji mwingi mpaka anakuwa mjinga1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Sitanii aisee, wewe ni mtu bogus kwelikweli, maanake huna unalosimamia maishani mwako.Yes, kwani kuwa bogus kuna tatizo gani?
Ila nikiri tu kuwa unanizidi!
Ha ha ha !Yes, kwani kuwa bogus kuna tatizo gani?
Ila nikiri tu kuwa unanizidi!
Mimi sio mweusi..samahani ehAcha kuvua nguo mbele za watu. So una amini wewe ni mjinga mbele ya watu weupe?
Mkuu mabogus wawili mkikutana kubali yaishe!!!!!Sitanii aisee, wewe ni mtu bogus kwelikweli, maanake huna unalosimamia maishani mwako.
Ortello Bussiness Corporation ni muhimu kuliko wamasai wote kwa ujumla! Kwanza waarabu wana uasili na raisi wetu!! Wamasai wa nini kwani!? Pochi tu tunasepa zetu! Hii ni laana itawatafuna wote hadi kizazi cha nne.Kwa hiyo kwa akili yako fupi, huoni kuwa inafaa wahamishiwe Serengeti, kwa mababu zao?
Hawa watu unadhani wao si waTanzania, kwa nini wawe ndio wanafurumushwa kila mara, tena kwa sababu za kipumbavu kabisa na kutotumia akili kwa viongozi waliomo serikalini!
Najua hutanielewa, kwa sababu inaelekea uko huko huko kwenye akili za kipumbavu kutetea ujuha huu wanaotendewa wananchi wenzako kwa maslahi ya wageni na kujaza matumbo ya hao wanaonyanyasa wananchi wenzao.
Hao wengine wanaofurumushwa, mfano wale wa Kidunda dam, kwani siyo raia wa nchi hii?Hawa watu unadhani wao si waTanzania, kwa nini wawe ndio wanafurumushwa kila mara, tena kwa sababu za kipumbavu kabisa na kutotumia akili kwa viongozi waliomo serikalini!
Maswala mawili tofauti kabisa, pamoja na kwamba hata wao hawakutendewa haki ipasavyo.Vp kuhusu wale wa kimara waliobomolewa nyumba zao kupisha maendeleo?
Ulipewa kichwa uweze kufikiri. Unapoambiwa kuna tofauti jaribu nawe kutumia hicho kichwa, usikibebe tu kama boga unalopeleka sokoni.Weka hizo tofauti badala ya hizi ngonjera
Hizo ni site mbili tafauti: Loliondo na NgorongoroP
Pinguza kunywa mataputapu,namba moja unasema hakuna anayehamishwa,namba 2 Kuna wanaohamishwa!!nini hiki.
Hapo mimi nakuelewa mkuu1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Na chizi linalojipachika hapo liweje?Mkuu mabogus wawili mkikutana kubali yaishe!!!!!
Huenda haya yanayotokea ni muhimu kutupa akili ya kujua kuwa tunapoteza uhuru wetu kwa kisingizio cha uwekezaji.Ortello Bussiness Corporation ni muhimu kuliko wamasai wote kwa ujumla! Kwanza waarabu wana uasili na raisi wetu!! Wamasai wa nini kwani!? Pochi tu tunasepa zetu! Hii ni laana itawatafuna wote hadi kizazi cha nne.
Ungekuwa na akili ungejua tofauti kubwa sana iliyopo kati ya hao wa Kidunda na hawa wa Loliondo.Hao wengine wanaofurumushwa, mfano wale wa Kidunda dam, kwani siyo raia wa nchi hii?
Akili ulizonazo wewe zinatosha kujua kwamba wamasai wanajifanya 'untouchables' kwenye taifa hili.Ungekuwa na akili ungejua tofauti kubwa sana iliyopo kati ya hao wa Kidunda na hawa wa Loliondo.
Sasa ninakupa 'assignment', nebda katafute tofauti hizo ili nawe uweze kuwa na mchango wa maana kwa waTanzania wenzako.
I am serious, kama hujui tofauti zake ni vyema ukajielemishe juu yake.
Hapa nilipo nimekwishajiridhisha kwamba serikali ina uongo mwingi sana, hili sihitaji assignment juu yake.Akili ulizonazo wewe zinatosha kujua kwamba wamasai wanajifanya 'untouchables' kwenye taifa hili.
Nikupe assignment wewe unayeshikia bango kwamba OBS ndiyo watapewa hilo eneo kama vile wewe ndiyo umedraft huo mkataba wa kupewa hilo eneo na serikali.
Hivi wale wa kimara kwani hawakufidiwa??Prof Shivji naamini amejichanganya katika suala la Loliondo/Ngorongoro.
Sijawahi kumsikia akizungumzia, wakati ule, suala ka waliohamishwa Kimara.
Tafadhali usinilishe maneno mdomoni kwangu. Sijasema kwamba wakivunja sheria wanaachwa, ila kuna ile fikra ya 'niguse uone'. Mbona hiyo hatuoni kwa makabila mengine?Sasa kuhusu u'untouchable' wa Masai, una maana kwamba wanachwa wanapovunja sheria? Kwa maana hiyo haya wanayofanyiwa ni adhabu kwao kwa kuwa wao wanajifanya kuwa 'untouchable'?