Jidu La Mabambasi
JF-Expert Member
- Oct 20, 2014
- 17,573
- 28,533
Mpeni Profesa ukuu wa wilaya, ataelewa tuWewe unaamini wakati professor anatoa hoja kwa facts,data na vifungu ...wewe unatuletea hoja za kina kibajaji hapa.

Safi, wamjibu professor kwa hoja sio vihoja.Prof katukumbusha utamaduni wa kujenga hoja kwa njia ya kistaarabu
mnaomkosoa nanyi leteni paper ili tusome
mjadala wa wasomi lazima uwe tofauti na wanasiasa ambao wao hoja zao huwa nyepesi nyepesi na za blaa blaa
Common denominator: wote wameondolewa na serikali katika maeneo waliyokuwa wanaishi.Huwezi kabisa ukaona tofauti kubwa zilizopo kati ya sehemu hizi mbili?
Ungejituma kupanua akili yako zaidi ya hapo ungeona tofauti kubwa zilizopo katika sehemu hizo mbili.Common denominator: wote wameondolewa na serikali katika maeneo waliyokuwa wanaishi.
Mbaya zaidi waliokuwa Kimara wengi walikuwa na hati.
Mimi nafikiri utafiti wa watu weusi kujua kama wana asili ya Mungu au la..iyanzie kwako...Shivj ni mchonganishi sana achunguzwe.
Pinguza kunywa mataputapu, namba moja unasema hakuna anayehamishwa, namba 2 Kuna wanaohamishwa! nini hiki.1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Halafu eti ni mwanasheria. Uzee unamtafuna, akili inarudi kuwa ya kitoto.1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Nafikiri wewe ndio una akili finyu.Ungejituma kupanua akili yako zaidi ya hapo ungeona tofauti kubwa zilizopo katika sehemu hizo mbili.
Wakati ukiamua kufanya hivyo, nakukumbusha kwamba sisemi kuwa watu wa Kimara hawakustahiri haki.
Oooh. Mungu akusamehe kwa haya uliyoandika hapa.Nafikiri wewe ndio una akili finyu.
Tofautisha prperty value ya watu wa kimara na wale wa huko maporini.
Wamasai ni watanzania ndio maana wako kila mkoa. Na wanatambulika kama wa Tz sio WAKENYAKwa hiyo kwa akili yako fupi, huoni kuwa inafaa wahamishiwe Serengeti, kwa mababu zao?
Hawa watu unadhani wao si waTanzania, kwa nini wawe ndio wanafurumushwa kila mara, tena kwa sababu za kipumbavu kabisa na kutotumia akili kwa viongozi waliomo serikalini!
Najua hutanielewa, kwa sababu inaelekea uko huko huko kwenye akili za kipumbavu kutetea ujuha huu wanaotendewa wananchi wenzako kwa maslahi ya wageni na kujaza matumbo ya hao wanaonyanyasa wananchi wenzao.
Sasa kwa kuwa ni waTanzania hasa, msiwaonee kwa kuwanyanyasa kwa kuwanyima haki yao ya kuishi huko mnakotaka kuwafukuza na kuwapa wageni. Waacheni wafaidi nchi yao bila manyanyaso.Wamasai ni watanzania ndio maana wako kila mkoa. Na wanatambulika kama wa Tz sio WAKENYA
Hata wewe ni mweupe pee kichwani! Elewa mada wacha mihemko utasutwa!Wewe ngozi nyeupe?? Mjibu kwa hoja usilete dharau za ngozi ya mtu.
Kukuuuu![]()
Professor Emeritus alivyouliza na kueleza, kaweka reference, na kutoa shule vizuri, quantitatively na qualitatively, wewe unakuja na majibu mepesiiii! Yeye kauliza ardhi ni ya nani? Anzia hapo kwanza1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.
2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.
3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.
4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.
5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Wewe jamaa Wamasai watakuroga.Muhimu Masai wasepe ndani ya Ngorongoro, hatuwezi kupoteza urithi wa Dunia kwasababu ya ubinafsi wa watu wachache!
Waswagwe kama wanavyofanya kwa mifugo yao!
Haya nenda wewe ukamchunguze.Shivj ni mchonganishi sana achunguzwe.
Na wewe mwangikie barua ya wazi mhusika. Au unamjibia labda?1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.