Prof. Shivji katika hili amechanganya madesa

Tafadhali usinilishe maneno mdomoni kwangu. Sijasema kwamba wakivunja sheria wanaachwa, ila kuna ile fikra ya 'niguse uone'. Mbona hiyo hatuoni kwa makabila mengine?
Naona hatuelewani kwa jambo dogo kabisa. Hiyo "niguse uone" inakuwaje kama hajafanya kosa kwa kuvunja sheria?
 
Muhimu Masai wasepe ndani ya Ngorongoro, hatuwezi kupoteza urithi wa Dunia kwasababu ya ubinafsi wa watu wachache!
Waswagwe kama wanavyofanya kwa mifugo yao!
"Mheshemiwa Rais, sisi sote, wananchi pamoja na serikali tujiulize: Je, ondowaji wa wananchi kutoka ardhi yao, ambayo ni uhai na urithi wao, kwa minajili ya kupisha wanyama pori ili makampuni ya uwindaji, kwa mfano, yaweze kufanya shughuli zao kuwaleta wawindaji kuwinda wanyama pori bila kubughudiwa na wananchi, ni kwa manufaa mapana ya umma wa Tanzania? Nakiri sina jibu isipokuwa swali hili limenikosesha usingizi."
 
Nimependa ukivyomalizia, ".....au kuna kitu nyuma ya pazia?" >>Husikii Serikali katu ikimtamka Mwindaji Mwarabu ambaye 'yasemekana' ndiye sababu ya kuweka mipaka kwenye hizo km² 4000 ili Wafugaji wabakie na km² 2500. >>Huo ndiyo mgogoro, na unahusishwa na 'bakshishi' nono.
"Mheshemiwa Rais, sisi sote, wananchi pamoja na serikali tujiulize: Je, ondowaji wa wananchi kutoka ardhi yao, ambayo ni uhai na urithi wao, kwa minajili ya kupisha wanyama pori ili makampuni ya uwindaji, kwa mfano, yaweze kufanya shughuli zao kuwaleta wawindaji kuwinda wanyama pori bila kubughudiwa na wananchi, ni kwa manufaa mapana ya umma wa Tanzania? Nakiri sina jibu isipokuwa swali hili limenikosesha usingizi."
 
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCAA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Mkuu salama?
Je, unaijua Ngorongoro vizuri? Unaijua Loliondo vizuri?
Kama ni kweli waMaasai wanahamishwa kwa kuwa ni wengi na kwenda kinyume na sheria na taratibu za uhifadhi... Basi mjipange vizuri wakati wawekezaji na NCAA watakapoanza kufikishwa mahakamani kwa uharibifu wao wanaoendelea kufanya ndani ya Ngorongoro.
 
Na chizi linalojipachika hapo liweje?
Kila point uliyo raise nimei crush kwa logic.
Sasa huna kitu kichwani kuelezea propagation zako.
Ndio maana nasema kama mimi ni bogus, basi wewe unanizidi.
Ukiwa na limited thinking capacity, kubali tu.
In the meantime Profesa mnafiki, Prof Shivji ni kati ya watu waoga waoga na wanaongelea kwapani, na wakati wa Mwendazake hawakuthubutu kunyanyua mdomo.
Na nyie vilaza hamuwaoni kina wa ukweli Prof Mwandosya waliomwaga ukweli hadi Mwendazake akawavua vyeo vyote?
Prof Lwaitama naye hamumjui, kwani ninyi watu wa mitaani, zero thinking capacity, mnashida sana.
 
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCAA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
"Kuna haraka gani?" - Prof Shivji
 
Wewe ni mweupe kichwani..huna hadhi ya kumkosoa professor...Wewe tokea lini ukajua jambo
Amesha zeeka prof. Atulie kwa sasa ili aitunze heshima yake na michango yake muhimu kwa taifa letu, "Wingi wa masai mbugani na jinsi wanavyozaliana ni hatari kwa mbuga zetu"
 
1. Loliondo hakuna anayehamishwa, bali imewekwa mipaka kati ya kilomita za mraba 2,500 na 1,500 ambazo jumla ni kilomita za mraba 4,000.

2. Ngorongoro wanaohamishwa ni kutokana na wingi wao wa sasa, usalama wao na kukiuka masharti ya uhifadhi kwa kujenga nyumba za kudumu, kufanya kilimo na mengine mengi.

3. Prof. Shivji anasahau kuwa waliopo Ngorongoro si wazaliwa, bali walihamishiwa hapo mwaka 1958 kutoka Serengeti.

4. Prof. Shivji anapaswa kutambua haki ya urithi kizazi hadi kizazi. Ndani ya Ngorongoro sheria ya NCAA iko wazi kabisa hawamiliki ardhi, hivyo hawana cha kurithisha watoto wao.

5. Mimi nami nimebaki na swali litakalonikosesha usingizi, hivi Prof. Shivji hayajui haya au kuna kitu nyuma ya pazia?
Maneno yanajikana yenyewe. Sentensi ya kwanza inpongana na ya pili nakuendelea. Wewe we unahaweza kukosoa hoja za Prof kwa ujuha huu?
 
U
Ulipewa kichwa uweze kufikiri. Unapoambiwa kuna tofauti jaribu nawe kutumia hicho kichwa, usikibebe tu kama boga unalopeleka sokoni.
Umeamua kutafuta chaka badala ya kuleta fact hapa
 
Kuhimiza utumie kichwa ulichojaaliwa na Mungu kufikiri na kutatua matatizo ni'fact', siyo "kichaka."
Umesema wewe kuwa kuna tofauti, sasa nakwambia useme hizo tofauti unaanza bra braa tu. Surprisingly unakuta kuna watu wanakutegea
😂😂😂😂😂
 
EeeenHeeee!

Mkuu 'Allency' sidhani kuwa unataka twende huko unakoelekea, kwa sababu ninapaweza sana.

Sasa ninakwambia hivi: acha bangi. Zitakufanya uwe chizi, kama bado unayo akili kidogo ya kufikiri.
 
Mkuu kama nimekukosea samahani, tupo hapa kujadili hoja tu.
 
EeeenHeeee!

Mkuu 'Allency' sidhani kuwa unataka twende huko unakoelekea, kwa sababu ninapaweza sana.

Sasa ninakwambia hivi: acha bangi. Zitakufanya uwe chizi, kama bado unayo akili kidogo ya kufikiri.
Basi sawa tuishie hapa mjadala usije geuka vita ya maneno
 
Back
Top Bottom